Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PAC yaagiza Wasira aondolewe kwenye nyumba anayoishi

Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), imeiagiza Bodi ya Sukari Tanzania (SBT) kumwondoa katika nyumba ya bodi hiyo, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu), Stephen Wasira kutokana na kuishi katika nyumba hiyo kinyume na taratibu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Barua kumtaka Wasira aachie nyumba ya SBT yatua rasmi PAC

 Agizo la kumwandikia barua Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Uhusiano na Uratibu), Stephen Wasira ya kumtaka kurejesha nyumba ya bodi hiyo, limetekelezwa baada ya barua hiyo kuwasilishwa kwenye Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC).

 

11 years ago

Bongo5

Kanye West afunga camera kibao kwenye nyumba anayoishi ili kumuona mwanae North hata akiwa ziarani

Kanye West amefunga idadi kubwa ya camera kwenye nyumba yake ili kumchunga na kumuona binti yake, North popote pale duniani. Rapper huyo mwenye miaka 37 amedaiwa kumkera mke wake Kim Kardashian kwa kufunga camera hizo kwenye kila chumba ndani ya nyumba yao ya Los Angeles hadi kwenye bafu ili kuhakikisha anamuona North muda wote. Chanzo […]

 

10 years ago

Habarileo

PAC yaagiza marejeo ya sheria ya Bodi ya Sukari

Mwenyekiti wa PAC, Kabwe ZittoKAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), imeiagiza Bodi ya Sukari kufanya marejeo ya sheria inayoiunda, iruhusu marekebisho yatakayowaondoa wajumbe wenye maslahi binafsi katika masuala yanayohusu uzalishaji na uuzaji sukari.

 

5 years ago

Michuzi

KESI YA KUGOMBEA MALI ZA BILIONEA ULOMI YARUDI MAHAKAMANI KUTAKA MJANE AONDOLEWE

Mjane Zainabu Mkwama na mtoto wa marehemu Mume wake Julius Olomi wakiwa mahakamani wakipinga kutaka kuondolewa katika usimamizi wa mirathi**** Na Mwandishi wetu,KESI ya kugombea mali za marehemu bilionea  Jubilate Olomi imerejeshwa tena mahakamani kuu Kanda ya Moshi,baada ya mdogo bilionea huyo, Werandumi Ulomi kuomba Mjane wa bilionea huyo,Zainabu Mkwama kuondolewa kusimamia mirathi.
Werandumi kupitia Wakili wake,Joseph Ngiloi amewasilisha maombi ya dharura mahakama kuu kanda ya Moshi,kuomba...

 

10 years ago

GPL

MASKINI BI. CHEKA: MAISHA ANAYOISHI YANASIKITISHA!

Stori: Gladness Mallya na Mayasa Mariwata
DAH MASIKINI! Hivi ndivyo unavyoweza kusema wakati unapomuona msanii wa muziki wa kizazi kipya, Cheka Hija, maarufu kama Bi. Cheka kutoka Kundi la Mkubwa na Wanawe, linaloongozwa na Said Fella ‘Mkubwa’ lenye maskani yake, Temeke jijini Dar es Salaam. Bi Cheka akiwa nje ya nyumba anayoishi. Mtoa habari wetu aliwasiliana na gazeti hili na kulieleza kuwa msanii huyo mwenye...

 

10 years ago

Mwananchi

Tabia inaweza kumjengea mtu uwezo wa kuaminiwa katika jamii anayoishi

Watu wengi bado hawajajua nini maana ya uaminifu. Wengi wetu tunadhani kwamba kupeleka fedha ulizoombwa kuzifikisha ni uaminifu, lakini siyo kumfikisha salama mke wa mtu.

 

9 years ago

Global Publishers

Wema atimuliwa kwenye nyumba

IMG_5532

Mizigo ikipakizwa kutoka kwenye nyumba hiyo.

Musa Mateja
UFALME umeanguka! Unaweza kusema hivyo! Hatimaye Miss Tanzania 2006, aliye pia staa wa filamu za Bongo, Wema Isaac Sepetu amedaiwa kutimuliwa kwenye nyumba ambayo alipanga kwa mbwembwe na kualika waandishi wa habari ili watoe ‘nyuzi’ hewani, akidai ni yake kwa kuinunua kwa shilingi milioni 280, fuatana na Ijumaa Wikienda.

Kwa mujibu wa chanzo chetu makini, Wema amekumbwa na kadhia hiyo ya kuhamishwa kwenye nyumba hiyo iliyopo...

 

10 years ago

GPL

MJAMZITO ATIMULIWA KWENYE NYUMBA

Dustan Shekidele, Morogoro

Haijakaa poa! Katika hali isiyo ya kawaida, mjamzito aliyefahamika kwa jina la Jamila Jalala amepambana na polisi akigoma kuhama kwenye nyumba ya mwarabu aliyokuwa akiishi zaidi ya miaka mitano hivyo kutimuliwa kwa nguvu.

Mkasa huo wa kusikitisha ulioshuhudiwa live na mwanahabari wetu ulijiri kwenye nyumba hiyo iliyopo Mtaa wa Mindu Kata ya Uwanja wa Taifa mkoani hapa.

Awali, mmiliki wa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wizi kwenye nyumba za ibada

WIZI ni tendo la tabia ya kuiba, vivyo hivyo udokozi kwa kuchukua kitu au mali ya mtu mwingine bila ridhaa yake.  Ni kitendo cha kihuni kinachoendana na tabia mbaya, yaani...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani