MASKINI BI. CHEKA: MAISHA ANAYOISHI YANASIKITISHA!
![](http://api.ning.com:80/files/-*rcMYSmUcWeKHmwohozD2lrLp6wR5PJV2KSRCQMEteacterFIxirecLihR-Etu6Bttzqvy23xp7QKAiYoDQzrSZhpAyKOAl/BACKAMANI.jpg?width=650)
Stori: Gladness Mallya na Mayasa Mariwata DAH MASIKINI! Hivi ndivyo unavyoweza kusema wakati unapomuona msanii wa muziki wa kizazi kipya, Cheka Hija, maarufu kama Bi. Cheka kutoka Kundi la Mkubwa na Wanawe, linaloongozwa na Said Fella ‘Mkubwa’ lenye maskani yake, Temeke jijini Dar es Salaam. Bi Cheka akiwa nje ya nyumba anayoishi. Mtoa habari wetu aliwasiliana na gazeti hili na kulieleza kuwa msanii huyo mwenye...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/7zqEL_P_B4U/default.jpg)
21.12.2013 - Fedor Chudinov vs Francis Cheka huyu ndiyo Cheka aliefungwa miaka 3 magereza
BONDIA maarufu nchini wa ngumi za kulipwa, Francis Cheka amehukumiwa kifungo cha miaka 3 jela na kutakiwa kulipa fidia ya Sh. millioni 1 kwa kosa la kumpiga na kumjeruhi meneja wa baa yake (Cheka) iitwayo Vijana Social iliyopo Morogoro Mjini.Akimsomea mashitaka, Hakimu wa Mahakama ya Mkoa wa Morogoro, Said Msuya alisema Cheka alikutwa na hatia ya kumpiga aliyekuwa meneja wa baa yake aitwaye Bahati Kabanda 'Masika'.
Alisema kuwa Cheka alitenda kosa hilo Julai 2, mwaka jana ambapo meneja huyo...
10 years ago
Mwananchi17 Jan
PAC yaagiza Wasira aondolewe kwenye nyumba anayoishi
10 years ago
Mwananchi06 Sep
Tabia inaweza kumjengea mtu uwezo wa kuaminiwa katika jamii anayoishi
11 years ago
Bongo525 Jul
Kanye West afunga camera kibao kwenye nyumba anayoishi ili kumuona mwanae North hata akiwa ziarani
10 years ago
VijimamboIBADA YA KUMBUKUMBU NA SHUKURANI YA MAISHA YA MAISHA YA MAREHEMU WILBARD KENTE DMV
10 years ago
Bongo515 Nov
6 legends; 6 stars; 1 spotlight: Maisha Magic kuja na shindano la muziki ‘Maisha Supastar’
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-Y2YQkI6Vg9U/VNYc0sVxV6I/AAAAAAAHCW8/lGLRBvgj-qE/s72-c/unnamed%2B(18).jpg)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/XK5BrsN2RVe8*mFnsWvgyg0qNREEuxX6btZadJZsGERD2tYHPUZg-rgvYxjMnfvLefN3kGGOphhHUm4UI3diFbiGJ*XHvCDb/JOHARI2.jpg?width=650)
MASKINI JOHARI!
11 years ago
Tanzania Daima08 Dec
Maskini Tanzanite