Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Barua ya Tupac aliyoandika akiwa jela mwaka 1995 kuuzwa sh milioni 491

Barua iliyoandikwa na marehemu Tupac Shakur alipokuwa jela mwaka 1995 imewekwa sokoni tayari kwa kuuzwa. Barua hiyo yenye kurasa 5 aliyoiandika kwenda kwa aliyekuwa mfanyakazi wa Death Row, Nina Bhadreshwar inauzwa kwenye mtandao wa Moments in Time. kwa mujibu wa TMZ barua hiyo iliyoandikwa kwa mkono inauzwa kwa $225,000 sawa na shilingi 491,000,000. Sehemu ndogo […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Mashairi ya wimbo wa Tupac ‘Ambitionz Az A Ridah’ aliyoandika kwa mkono kupigwa mnada

Ikiwa ni miaka 19 imepita toka legend wa Hip Hop, Tupac Amaru Shakur afariki dunia (Sept 13, 1996), karatasi zenye mashairi ya wimbo wake uitwao ‘Ambitionz Az A Ridah’ zinatarajiwa kupigwa mnada baadae mwezi huu huko jijini London. Kwa mujibu wa New York Daily News, karatasi mbili zenye mashairi hayo aliyoandika kwa mkono mwaka 1995 […]

 

9 years ago

Bongo Movies

Haya Ndiyo Maneno Aliyoandika JB Juu Ya Picha Hizi Akiwa na Shamsa na Aunt

Kufuatia tofauti za kimitazamo ya kisiasa baina ya mastaa hawa, ambapo JB akiwa upande wa CCM  wakati Shamsa na Aunt Ezekiel wakiwa UKAWA, JB kiutani kupitia ururasa wake mtandaoni ameibuka na hii kuonyesha kuwa siasa sio vita.

Imenibidi nifute picha hizi (hapo juu)...watu wamepaniki sana...Jamani siasa sio vita nilikuwa nawatania na wao wakacheka na wakati naandika wapo...mashabiki... Daah .. Daah...Jamani Bungeni wanataniana vyama tofauti na sisi pia...Tunashirikiana....Mashabiki...

 

5 years ago

Michuzi

Mwandishi wa habari ahukumiwa jela mwaka mmoja au faini ya shilingi milioni tano kwa kosa la kutoa maudhui kwenye mtandao wa youtube bila leseni




Mahakama ya Hakimu Mkazi Njombe imemtia hatiani na kumhukumu kulipa faini ya Shilingi Milioni 5 au kifungo Cha Mwaka mmoja jela Mwandishi wa habari Prosper Mfugale baada ya mwandishi huyo kukiri kutoa maudhui Katika Mtandao wa YouTube bila ya kuwa na leseni kutoka mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA), hata hivyo Mfugale amelipa faini hiyo na kuachiwa huru.

Mfugale alikamatwa mnamo Februari 29 Mwaka huu na kushikiliwa kwa siku nne kituo cha polisi Njombe na tarehe 4 Machi alifunguliwa...

 

10 years ago

Michuzi

JE UMECHUKUA MKOPO NA NYUMBA YAKO INATAKA KUUZWA, HAIRUHUSIWI KUUZWA MPAKA UTARATIBU HUU.

Wakopwaji/wadaiwa  wamekuwa  wakipata shida sana  kutoka  kwa wanaokopesha. Mkopesha awe ni mtu binafsi, taasisi ya fedha , kampuni  binafsi au mwingine  yeyote  wamekuwa  wakiwasumbua sana  wadeni  wao. Kubwa  zaidi hasa taasisi za fedha hutumia masharti ya mikataba ambayo  huwa yameandaliwa kitaalam kiasi cha  mtu ambaye  si mwanasheria  kutoelewa kwa undani maana  yake  kuwabana wadeni  ambao  hushtukia  masharti hayo baada  ya  kuwa wameshaanza  kudaiwa. Mbaya  zaidi  wamekuwa  wakifanya...

 

11 years ago

BBCSwahili

Jela kwa kumtumia Obama barua yenye sumu

Muigizaji mwanamke aliyemtumia Rais Barack Obama barua iliyokuwa na sumu ya Ricin nchini Marekani amefungwa jela kwa miaka 18.

 

10 years ago

GPL

JACK PATRICK ATWANGWA TALAKA AKIWA JELA

Na Imelda Mtema
Masikini! Wakati akiendelea kutumikia kifungo cha miaka saba jela huko Macau nchini China, mwanamitindo mwenye mvuto wa kipekee Bongo, Jacqueline Fitzpatrick Cliff ‘Jack Patrick, ametwangwa talaka na aliyekuwa mumewe, Abdullatif Fundikira ‘Tiff’ na tayari amemuoa Miss Tanzania 2011, Salha Israel. Wakati mwanamitindo Bongo, Jacqueline Fitzpatrick Cliff ‘Jack Patrick akiwa na mumewe,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani