BASATA WAMPONGEZA MAYUNGA KWA KUWAKILISHA VYEMA TANZANIA
Mkurugenzi Ukuzaji Sanaa na Masoko Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), Vivian Msao Shalua (kulia)akipokea tuzo aliyoipata Nalimi Mayunga mara baada ya kuibuka  mshindi wa shindano la Airtel Trace Music Afrika. Shughuli hii imefanyika jana katika halfa ya kumpongeza  Mayunga kwa kuiwakilisha vyema Tanzania katika mashindano ya Airtel Trace Music Stars iliyofanyika  katika ofisi za BASATA. Akishuhudia  kushoto ni...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziBASATA wampongeza Mayunga kwa kuwakilisha vyema Tanzania
10 years ago
GPLBASATA WAMPONGEZA MAYUNGA KWA KUWAKILISHA VYEMA TANZANIA
10 years ago
GPLBASATA YAMKABIDHI BENDERA MSHINDI WA AIRTEL TRACE MUSIC KWA AJILI YI KUWAKILISHA NCHI KATIKA MASHINDANO YA AFRIKA NCHINI KENYA
10 years ago
Michuzi
DIAMOND,VANNESA NA OMMY DIMPOZ WALIVYOIPEPERUSHA VYEMA BENDERA YA TANZANIA UGHAIBUNI, BASATA LAWAPONGEZA



Inaweza ikawa siyo mara ya kwanza kwa msanii Diamond Platnumz kuchukua tuzo mbalimbali za kimataifa lakini kwa Vanessa Mdee inaweza ikawa moja kati ya historia nzuri kwake huku Ommy Dimpoz akiwa na kila sababu ya kufurahia tuzo yake ya kwanza ya kimataifa baada ya kujinyakulia tuzo maarufu za Afrimma.
Wasanii hao walijinyakulia tuzo hizo usiku...
10 years ago
GPL
BASATA YATOA MAFUNZO KWA WASANII
10 years ago
GPLBASATA KUENDESHA MAFUNZO YA SANAA KWA WATOTO
11 years ago
MichuziRT WAMPONGEZA WAZIRI MEMBE KWA KUUNGA MKONO KUENDELEZA RIADHA TANZANIA
Na John Nditi, Morogoro
RAIS wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT), Anthony Mtaka amemshukuru Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe kwa kuanzisha diplomasia ya michezo na nchi za nje pamoja na kufadhili maandalizi ya wanariadha 40 na makocha sita.
Wanamichezo na makocha hao wanapelekwa nje kwa ajili ya...
10 years ago
Vijimambo
MARAIS WA MAHAKAMA ZA KIMATAIFA ZA MAUAJI YA KIMBARI WAMPONGEZA JK, TANZANIA KWA USHIRIKIANO


9 years ago
GPL
MSHINDI WA AIRTEL TRACE NALIMI MAYUNGA KUKUTANA NA AKON MAREKANI