Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BASATA yamkabidhi Bendera Mshindi wa Airtel Trace Music

Mkurugenzi wa Ukuzaji Sanaa na Masoko wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), Nsao Shalua (kushoto), akikabidhi bendera ya taifa kwa mshindi wa Airtel Trace Music Stars, Mayunga Nalimi kwa ajili ya kwenda kuiwakilisha nchi katika fainali za Afrika za Airtel Trace Music Stars zitakazofanyika Jumamosi Machi 28, nchini Kenya na kushirikisha nchi 13, katika hafla ya makabidhiano iliyofanyika kwenye ofisi za BASATA jijini Dar es Salaam jana. Anayeshuhudia (katikati), ni Meneja Masoko wa Airtel,...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

BASATA YAMKABIDHI BENDERA MSHINDI WA AIRTEL TRACE MUSIC KWA AJILI YI KUWAKILISHA NCHI KATIKA MASHINDANO YA AFRIKA NCHINI KENYA

Meneja Masoko wa Airtel, Anet Muga. akiongea wakati wa tukio la kumuaga na kumkabithi bendera ya taifa kwa ajili ya kwenda kuiwakilisha nchi katika fainali za Afrika za Airtel TraceMusic Stars zitakazofanyika Jumamosi Machi 28, nchini Kenya na kushirikisha nchi 13, katika hafla ya makabidhiano iliyofanyika kwenye ofisi za BASATA jijini Dar es Salaam jana. pichani katikati ni Mkurugenzi wa Ukuzaji Sanaa na Masoko wa Baraza la...

 

10 years ago

GPL

MAYUNGA MSHINDI WA AIRTEL TRACE MUSIC STAR AFRIKA

Nalimi Mayunga (katikati) akiwa amefurahi hadi akitaka kuanguka baada ya kutangazwa mshindi kwenye Shindano la Airtel Trace Music Star.
Mayunga (kushoto) akiwa haamini kama jina lake ndio limetajwa ndiye mshindi wa shindano hilo.…

 

10 years ago

Bongo5

Benjamin Webi aibuka mshindi wa shindano la Airtel TRACE Music Star Kenya

Kampuni ya simu ya Airtel Kenya na Trace International imemtangaza Benjamin Webi kama mshindi wa shindano la Airtel TRACE Music Star upande wa Kenya. Shindano hilo lililoanza October 5, 2014 ni la kipekee kwakuwa waimbaji walikuwa wakishiriki kwa kujirekodi kwenye simu zao.Nafasi ya pili imekamatwa na Phyllis Mwihaki huku nafasi ya tatu ikienda kwa Trina […]

 

10 years ago

GPL

AIRTEL YAMTANGAZA MSHINDI WA "AIRTEL TRACE MUSIC STAR"

Meneja masoko wa Airtel Tanzania, Bi.Aneth Muga, akizungumza jambo kabla ya kumkabidhi hundi ya shilingi milioni 50 mshindi wa Airtel Trace Music Star, Nalimi Mayunga. ...Akimkabidhi hundi ya shilingi milioni 50 Nalimi Mayunga.…

 

9 years ago

Michuzi

mshindi wa shindano la Airtel Trace Music Stars Malimi Mayunga aenda marekani, kuimba na akon

Nalimi Mayunga , mshindi wa shindano la Airtel Trace Music Stars Afrika, ameondoka nchini Jana kuelekea nchini Marekani kwa lengo la kupata mafunzo na kurekodi nyimbo yake Nalimi ameondoka usiku usiku wa kuamkia leo  kwenda kufanya kazi na nguli wa mzuki wa R&B nchini Marekani Bwana Akon ambapo anatarajiwa kukaa muda wa wiki moja kisha kurejea nyumbani tarehe 24 Novemba. Akiongea wakati halfa ya kumuaga, Afisa habari mwandamizi wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), Aristide Kwizera alisema”...

 

10 years ago

Michuzi

MSHINDI WA AIRTEL TRACE NALIMI MAYUNGA KUACHIA VIDEO YA KIBAO CHAKE CHA "NICE COUPLE" KWENYE CHANEL YA TRACE LEO.


Mshindi wa shindano la Airtel Trace Music Star Nalimi Mayunga ameachiakibao chake kipya cha " Nice Couple" video itakayorushwa kuanzia leokatika kituo cha DSTV chanel ya Trace Urban 325
MWANZONI mwa mwezi huu, Mshindi huyo wa Airtel Trace Music star alituamjini Johannesburg South Afrika akitokea nchini Tanzania  ili kuanzasafari yake kujiendeleza kimuziki na kufikia ndoto zake mara baada yakuibuka mshindi wa mashindano makubwa yaliyoshirikisha nchi 13 baraniAfrika  yaliyofanyika tarehe 18...

 

10 years ago

Michuzi

Airtel yaandaa uzinduzi wa Airtel Music Trace kesho Coco Beach

Kampuni ya simu za mkononi Airtel inawatangazia wateja wake, wasanii na wanamuziki kuwa yale mashindano yanayotoa fulsa kwa wenye vipaji ya Airtel Trace yanazinduliwa rasmi kesho katika viwanja vya Coco beach jijini Dar es saalam kuanzia saa 12 jioni.
Uzinduzi huu utawashirikisha wasanii Wakali nchini akiwemo Ommy Dimples pamoja na kundi zima la ya YAMOTO BAND kwa burudani kabambe kwa umati utakao jitokeza hapo kesho katika viwanja hivyo.
Akitoa maelezo kuhusu uzinduzi huo, Meneja Masoko wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani