Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BASHUNGWA: TUUNGE MKONO BIDHAA ZA NDANI ‘MADE IN TANZANIA’




Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe.Innocent Bashungwa akizungumzana Waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhuhu bidhaa za kiwanda cha vifaa vya umeme cha Africab Jijini Dar es Salaam kinachozalisha vifaa mbalimbali ikiwemotransfoma, katika mwendelezo wa Ziara ya kutembelea viwanda Jijini Dar esSalaam.Baadhi ya Vifaa vya Umeme vinavyozalishwa na kiwanda cha Africabkilichopo Jijini Dar es salaam, kiwanda hicho kinatengeneza vifaa mbalimbalizikiwemo transfoma na nyaya za...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Tuunge mkono kukemea mafundisho potofu ya dini

Wiki moja iliyopita katibu wa Umoja wa Wanazuoni wa Kiislamu, Sheikh Khamis Mattaka, akiwa mbele ya Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Alhaji Ali Hassan Mwinyi alitoa kauli kali ya kukemea mawaidha na mafundisho yaliyotolewa na masheikh waliotoka Oman wakiwa mkoani Kigoma.

 

5 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI MAVUNDE AWATAKA WATANZANIA KUUNGA MKONO BIDHAA ZINAZOZALISHWA NA VIJANA

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,Vijana Na Ajira Mh Anthony Mavunde ametoa rai kwa Watanzania kuunga mkono bidhaa zinazozalishwa na Vijana wa Tanzania kwa kuwa soko  la bidhaa zao.

Naibu Waziri Mavunde ameyasema hayo leo Jijini Mwanza alipotembelea Kiwanda cha Vijana cha Soma bags cha mabegi ya wanafunzi ambacho kimepewa mkopo wa Tsh 30,000,000 kupitia Mfuko wa maendeleo ya Vijana-YDF.

"Mkopo mlioupata mmeutumia vyema na kuongeza uzalishaji kwa kiwango kikubwa,ninyi mnatuma...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bidhaa za ndani zinaweza kukuza uchumi wa nchi

KUKUZA fursa za mitaji ni miongoni mwa dhana zilizojengeka midomoni mwa walio wengi huku wakiita ni dhana ya kijasiriamali. Kila mmoja aliyeweza kukuza mitaji kwa njia yoyote ile, hujiita mjasiriamali...

 

10 years ago

Michuzi

WATANZANIA WAASWA KUTHAMINI BIDHAA ZINAZOZALISHWA NDANI YA NCHI

KAIMU MENEJA WA SIDO MKOA WA IRINGA, MR NIKO MAHINYA AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI OFINI KWAKE

NA FRANK KIBIKI, IRINGA



SHIRIKA la kuhudumia viwanda vidogo (SIDO), mkoani Iringa limewataka watanzania kujenga utamaduni wa kupenda bidhaa zinazotengenezwa ndani, badala ya zile zinazoingizwa kutoka nje ili kukuza uchumi wan chi.

Akizungumza na waandishi wa habari mjini Iringa, Kaimu meneja wa SIDO mkoani Iringa, Niko Mahinya alisema ikiwa watanzania wataenzi bidhaa zinazotengenezwa ndani...

 

11 years ago

Tanzania Daima

BoT yadhibiti bidhaa za ndani kununuliwa kwa fedha za kigeni

SHERIA ya usimamizi wa fedha za kigeni ya mwaka 1992 na kanuni za fedha za kigeni za mwaka 1998 zinaeleza kwamba Watanzania wanaruhusiwa  kupokea, kumiliki na kutumia fedha za kigeni...

 

5 years ago

Michuzi

Kitengo cha uhandisi Mitambo kuhakikisha viwango vya bidhaa zinazalishwa ndani na nje ya nchi

*TBS iko kwa ajili ya kuweka Viwango vya Kitaifa.
*Miradi ya Ujenzi mbalimbali wa Serikali unatumia bidhaa za Viwanda vya ndani kutokana Viwango kufikiwa

Na Ripota wetu-Michuzi TV.

Kitengo Cha Uhandisi wa Mitambo wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kimesema kuwa Nondo, Bati na Misumari na bidhaa zingine za kiuhandisi zimekuwa na viwango na kukubalika katika Kanda mbalimbali

Akizungumza na michuzi Tv Afisa Viwango Mwandamizi Kitengo Cha Uhandisi Mitambo wa TBS Joseph Mwaipaja amesema kuwa tangu...

 

5 years ago

Michuzi

Kitengo cha uhandisi Mitambo (TBS) kuhakikisha bidhaa zinazozalishwa ndani na nje ya nchi zinakidhi kiwango husika

Afisa Viwango Mwandamizi Kitengo Cha Uhandisi Mitambo wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) Joseph Mwaipaja akizungumza na Michuzi TV kuhusiana na Viwango katika bidhaa za kiuhandisi ikiwemo Nondo,Bati ,Misumari pamoja mabomba ya palatiki na Chuma.Afisa Viwango Mwandamizi Kitengo Cha Uhandisi Mitambo wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) Joseph Mwaipaja akizungumza na Michuzi TV kuhusiana na Viwango katika bidhaa za kiuhandisi ikiwemo Nondo,Bati ,Misumari pamoja mabomba ya palatiki na...

 

10 years ago

Vijimambo

KUNDI LA VIJANA LA 4U MOVEMENT LATANGAZA KUUNGA MKONO UKAWA, AWALI LILIKUWA LIKIMUUNGA MKONO LOWASSA

Kiongozi wa Kundi Vijana wa 4U Movement, liliokuwa likimuunga mkono Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa, Hemed Ali akizungumza na waandishi wa habari jjini Dar es Salaam leo Julai 18, 2015 kuhusu msimamo wao wa kuungamkono UKAWAVijana wa Kundi la 4U Movement, liliokuwa likimuunga mkono Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa, washangilia baada kuzungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana kuhusu msimamo wao wa kuungamkono UKAWA.KUNDI la vijana la 4U Movement, lililokuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani