Tuunge mkono kukemea mafundisho potofu ya dini
Wiki moja iliyopita katibu wa Umoja wa Wanazuoni wa Kiislamu, Sheikh Khamis Mattaka, akiwa mbele ya Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Alhaji Ali Hassan Mwinyi alitoa kauli kali ya kukemea mawaidha na mafundisho yaliyotolewa na masheikh waliotoka Oman wakiwa mkoani Kigoma.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-44sPQzgczwM/Xk4MUSYweGI/AAAAAAALeZQ/AHIADni5ZsMl8ZdC9yN1NTE0xf6POUXlwCLcBGAsYHQ/s72-c/1B-1024x683.jpg)
BASHUNGWA: TUUNGE MKONO BIDHAA ZA NDANI ‘MADE IN TANZANIA’
![](https://1.bp.blogspot.com/-44sPQzgczwM/Xk4MUSYweGI/AAAAAAALeZQ/AHIADni5ZsMl8ZdC9yN1NTE0xf6POUXlwCLcBGAsYHQ/s640/1B-1024x683.jpg)
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe.Innocent Bashungwa akizungumzana Waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhuhu bidhaa za kiwanda cha vifaa vya umeme cha Africab Jijini Dar es Salaam kinachozalisha vifaa mbalimbali ikiwemotransfoma, katika mwendelezo wa Ziara ya kutembelea viwanda Jijini Dar esSalaam.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/02/2B-1024x683.jpg)
11 years ago
Mwananchi25 Feb
Tuimarishe mafundisho ya dini kulea watoto wetu
10 years ago
Dewji Blog04 Sep
MNEC Ikungi awataka viongozi wa dini kukemea maovu kwa vijana
Mjumbe wa halmashauri kuu (NEC) CCM taifa wilaya ya Ikungi, Jonathan Njau, akizungumza na viongozi wa makanisa ya Free Pentekoste, KKKT na Roman katoliki kijiji cha Kipumbuiko muda mfupi kabla ya kuwakabidhi msaada wa mifuko 60 kwa ajili ya ujenzi, uboreshaji wa majengo ya makanisa yao.
Na Nathaniel Limu, Ikungi
VIONGOZI wa madhehebu ya dini jimbo la Singida mashariki mkoa wa Singida, wameombwa kuwaelimisha na kuwahimiza vijana kuishi maisha mema na ya uadilifu, ili kupunguza kasi ya...
10 years ago
Vijimambo03 Nov
WAZIRI NYALANDU ATOA WITO KWA VIONGOZI WA DINI KUHUSU KUKEMEA UJANGILI NCHINI.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/nyalandu-jan23-2014.jpg)
Na Anitha Jonas – Maelezo.03 Novemba, 2014.WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Mhe. Lazaro Nyalandu ametoa wito kwa Viongozi wa dini wote nchini kupaza sauti kwa pamoja kukemea vitendo vya Ujangili pamoja na Uharibifu wa mazingira nchini.
Wito huo ameutoa leo jijini Dar es Salaam alipokuwa akifungua mkutano wa viongozi wa dini unaolenga kuwaelimisha viongozi hao kutoa elimu kwa waumini wao juu ya kupinga suala la ujangili na kuwasihi juu ya...
10 years ago
Mwananchi02 Sep
Vita ya dondosha ‘mkono wa sweta’ na imani potofu
11 years ago
Mwananchi22 Apr
Waunga mkono kauli za viongozi wa dini
11 years ago
Habarileo16 Jul
Viongozi wa dini waunga mkono hoja ya kuombea Bunge
KIONGOZI wa Jumuiya ya Ahamadiyya Mkoa wa Dodoma na Singida Bashart ur Rehman Butt ameunga mkono kauli ya Rais Jakaya Kikwete ya kutaka viongozi wa dini kuombea Bunge la Katiba ili liweze kuendelea.
11 years ago
Mwananchi14 Jan
Tuzingatie mafundisho, sherehe za Maulid
10 years ago
Mwananchi29 Apr
Tunayazingatia mafundisho ya Mwalimu wetu?