Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tunayazingatia mafundisho ya Mwalimu wetu?

Tarehe 14 Aprili ilikuwa ni siku ya kukumbuka tarehe ya kuzaliwa Mwalimu Julius Nyerere.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Tuimarishe mafundisho ya dini kulea watoto wetu

Mwandishi mmoja wa gazeti hili aliwahi kuandika makala kuhusu nafasi ya mafunzo ya dini katika kuliandaa Taifa lenye maadili mema.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mwalimu ni ng’ombe wetu wa maziwa, tumtunze

RAIS Jakaya Kikwete, alifurahi na kuonyesha furaha yake hiyo kwa kicheko, baada ya kusikia maneno ya walimu waliokuwa wakipita mbele yake kwa maandamano. Walimu hao walimuomba awasaidie kwa sababu hadi...

 

11 years ago

Mwananchi

Tuzingatie mafundisho, sherehe za Maulid

Jana ilikuwa ni Siku ya Maulid, siku maalumu ambayo waumini wa dini ya Kiislamu duniani kote walisherehekea kuzaliwa kwa Kiongozi wao Mtume Muhammad (SAW), aliyezaliwa miaka 1435 iliyopita.

 

10 years ago

Mwananchi

Tuunge mkono kukemea mafundisho potofu ya dini

Wiki moja iliyopita katibu wa Umoja wa Wanazuoni wa Kiislamu, Sheikh Khamis Mattaka, akiwa mbele ya Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Alhaji Ali Hassan Mwinyi alitoa kauli kali ya kukemea mawaidha na mafundisho yaliyotolewa na masheikh waliotoka Oman wakiwa mkoani Kigoma.

 

11 years ago

Michuzi

Mafundisho: Matumizi sahihi ya Facebook kwa Wafanyabiashara

Katika dunia ya leo, kama wewe ni mfanyabiashara basi hauwezi epuka ushawishi wa mitandao jamii. Ingawa wengi wetu tumekuwa tukiitumia mitandao jamaa kwa ajili ya mawasiliano pekee, ila kuna mengi yanaweza kufanyika na kusaidia kukuza ufannisi wa biashara yako.
Kwa kulitambua hilo, Dudumizi Technologies LTD inakuletea mafunzo juu ya njia na namna sahihi za kutumia Facebook kukuza na kuboresha Biashara.

Mafunzo haya yatakuwa ya wiki mbili, bila kukuchosha (tukitambua muda ni kitu muhimu kwa...

 

10 years ago

Michuzi

msaada tutani: mwalimu wa kiswahili sweden anatafuta mwalimu mwenzie kubadilishana nondo

Mimi ni mwalimu wa Kiswahili Sweden natafuta mwalimu yoyote anayefundisha kiswahili hapa ili tuweze badilishana materials. Nashindwa kufundisha kwa ufasaha vile sijapata mwenzangu.Email yangu ni linda.johansson5@kungsbacka.se
Kwa mawasiliano nitumie email.

 

11 years ago

Michuzi

Mwalimu Dodoma matatani kwa tuhuma za kuua mwalimu mwenzake kisa deni la buku moja

JESHI la Polisi Mkoani Dodoma linamshikilia Mwalimu wa Shule ya Sekondari ya Hombolo Justus Jackson (28) kwa tuhuma ya kumuua mwalimu mwenzie kwa kukataa kulipa sh. 1,000 ya bili ya umeme aliyotakiwa kuchangia marehemu.  Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma, David Missime amemtaja mwalimu aliyeuwawa kuwa ni Freddy Ndahani (29) mwalimu wa shule ya Hombolo.Kamanda  Misime amesema walimu hao wote wawili wanalikuwa wakiishi katika nyumba moja na walikuwa wakichangia bili ya umeme katika nyumba...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani