Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BASI LA KLM EXPRESS LAKAMATWA BAADA YA KUSAFIRISHA SHEHENA YA MILIPUKO ENEO LA KOROGWE

Milipuko hiyo baada ya kukamatwa mchana huu ikiwa ndani ya boksiKuna shehena kubwa ya milipuko ya hatari inayotumika kutengenezea Mabomu ya Kuvulia samaki na kutengenezea milipuko ya kupasulia miamba migumu imekamatwa eneo la Korogwe mchana huu wakati wa Jeshi la Polisi walipokamata Basi la KLM EXP lenye usajili wa namba T491 ARB kwa ajili ya Ukaguzi. Milipuko hiyo ambayo imesafirishwa kwa njia ambayo sio sahihi kutokana na hatari yake ya kuwa kulikuwa na abiria na kama Basi Lingetingishika...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Mbaroni kusafirisha milipuko kwenye basi

JESHI la Polisi mkoani Mtwara, linawashikilia watu wawili Shaha Saidi (45) na Shedrack Alaya (47), fundi seremala mkazi wa Mkuti, kwa kosa la kusafirisha pakiti 166 za milipuko ndani ya basi kinyume cha sheria.

 

10 years ago

Vijimambo

WATU WANNE WAFARIKI BAADA YA BASI LA SABUNI EXPRESS KUGONGAA USO KWA USO NA TOYOTA LAND CRUISER ENEO LA BUGORORA MKOANI KAGERA

 Watu wanne wanasadikiwa kufariki dunia baada ya Basi la Kampuni ya Sabuni Express linalofanya safari zake kati ya Karagwe na Mwanza kugongana uso kwa uso na Gari ndogo aina ya Toyota Land Cruiser iliyokuwa imebeba Masister eneo la Bugorora,ikitokea Bukoba mjini kuelekea Mutukura.Baadhi ya miili ya marehemu waliofariki katika ajali hiyo
Askari wa Usalama barabarani akiwa eneo la tukio.
Endelea kutufuatilia kwa taarifa zaidi

 

11 years ago

Michuzi

BASI LA DAR EXPRESS LAPATA AJALI ENEO LA WAMI


Bari mali ya kampuni ya Dar Express iliyokua ikitokea jijini Dar na kuelekea Jijini Nairobi,Nchini Kenya limepata ajali mapema leo asubuhi katika eneo la kijiji cha jirani na Mto Wami.Chanzo cha ajali hiyo hakijajulikana. Abiria wengi wamenusurika na kufanikiwa kutoka,japo kuna wachache ambao wamejeruhiwa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Basi la timu ya taifa TZ lakamatwa

Basi la timu ya taifa ya soka TZ, limekamatwa kutokana na deni la shilingi milioni 140.

 

10 years ago

Habarileo

Mtuhumiwa wa milipuko Kilimanjaro Express kukabidhiwa Tanga leo

Kaimu Kamanda wa Polisi mkoa wa Tanga, Juma NdakiMKAZI wa mtaa wa Kitianjala mkoani Arusha, Efatar Molel (45) anatarajiwa kukabidhiwa kwa Jeshi la Polisi mkoa wa Tanga leo(kesho) kwa tuhuma za kusafirisha milipuko isivyo halali.

 

10 years ago

GPL

BASI LA WANAFUNZI WALEMAVU SINZA LAKAMATWA, WASHINDWA KWENDA SHULE

Mwalimu Mkuu Msaidizi, Gabriel Mselemu, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani). Walimu wakiwa darasani na wanafunzi wawili.…

 

10 years ago

Vijimambo

BASI LA ALLYS STAR LAKAMATWA NA MBAO ZIKIWA ZIMEFICHWA NDANI YA VITI VYA ABIRIA KAHAMA

 Hili ndiyo basi la Allys star likiwa kituo cha polisi wilayani kahama baada ya raia wema kutoa ripoti ya basi hilo limebeba mbao ndani  kwenye viti na abiria .huku afisa wa mistu mwenye shati jeupe mohamed Dossa akisimia kushushwa kwa mbao hizo . Basi la Ally star likiwa kituo cha polisi kabla ya kutoa mbao hizi . Maafisa wa maliasili wilayani kahama wakishangaa jinsi gani mbao hizo zilivyofichwa ndani ya basi la abiria vikiwemo vitanda na mbao Hii ndiyo hali halisi wa maliasili zetu...

 

10 years ago

BBCSwahili

Milipuko mitano yalikumba eneo la Gaza

Takriban milipuko mitano iliyotokea katika ukanda wa Gaza imeharibu magari ya wanachama wa kundi la Hamas na makundi mengine ya Jihad

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani