Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbaroni kusafirisha milipuko kwenye basi

JESHI la Polisi mkoani Mtwara, linawashikilia watu wawili Shaha Saidi (45) na Shedrack Alaya (47), fundi seremala mkazi wa Mkuti, kwa kosa la kusafirisha pakiti 166 za milipuko ndani ya basi kinyume cha sheria.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

BASI LA KLM EXPRESS LAKAMATWA BAADA YA KUSAFIRISHA SHEHENA YA MILIPUKO ENEO LA KOROGWE

Milipuko hiyo baada ya kukamatwa mchana huu ikiwa ndani ya boksiKuna shehena kubwa ya milipuko ya hatari inayotumika kutengenezea Mabomu ya Kuvulia samaki na kutengenezea milipuko ya kupasulia miamba migumu imekamatwa eneo la Korogwe mchana huu wakati wa Jeshi la Polisi walipokamata Basi la KLM EXP lenye usajili wa namba T491 ARB kwa ajili ya Ukaguzi. Milipuko hiyo ambayo imesafirishwa kwa njia ambayo sio sahihi kutokana na hatari yake ya kuwa kulikuwa na abiria na kama Basi Lingetingishika...

 

10 years ago

Mwananchi

Mbaroni kwa tuhuma kusafirisha wahamiaji haramu

Jeshi la Polisi mkoani Tanga, limemkamata mtu anayedaiwa kuwa kinara wa biashara ya kusafirisha wahamiaji haramu.

 

11 years ago

Mwananchi

Mbaroni wakidaiwa kusafirisha ‘unga’ kutumia maiti

>Polisi mkoani  Morogoro, wanawashikilia watu watatu kwa tuhuma za kusafirisha maiti inayosadikiwa kuwa na dawa za kulevya.

 

11 years ago

Habarileo

Mbaroni kwa kusafirisha maiti yenye mihadarati

POLISI mkoani Morogoro inawashikilia watu watatu kwa tuhuma za kusafirisha maiti akiwa na kete 17 tumboni kati ya 24 zinazodhaniwa kuwa ni dawa za kulevya wakitokea mjini Tunduma, mkoani Mbeya kwenda jijini Dar es Salaam.

 

11 years ago

Habarileo

Dereva wa basi mbaroni Pwani

MADEREVA wawili akiwemo wa basi la Kampuni ya BM, wanashikiliwa na Polisi mkoani Pwani, kwa tuhuma za kugonga watu na kusababisha vifo kwenye matukio tofauti.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Dereva basi la Muro mbaroni kwa kuua

JESHI la Polisi mkoani Iringa linamshikilia dereva wa basi la Prince Muro, Said Mtatifikolo kwa tuhuma za kumuua mtembea kwa miguu baada ya kumgonga. Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa...

 

11 years ago

Habarileo

Kesi ya kusafirisha twiga kwenye ndege yakwama

UPANDE wa mashitaka katika kesi ya usafirishaji wa wanyama hai aina ya twiga kwenda Doha, Qatar wameomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Kilimanjaro, kutoa hati ya kukamata mshitakiwa wa kwanza raia wa Pakstani, Kamran Ahmed ambaye hakufika mahakamani.

 

11 years ago

Michuzi

watu watatu mbaroni kwa kukutwa na bangi ndani ya basi la new force dodoma

 Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linawashikilia abiria wa tatu waliokuwa wakisafiri na Basi la New Force kutoka Kahama kuelekea Jijini Dar es Salaam.Kwa Mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma David Misime, wamekamatwa leo mchana wakiwa wanasafirisha Debe ishirini za bangi.Wanaoshikiliwa ni Kevin Prospar(aliyekaa pichani kulia),Joseph Charles (aliyekaa kulia) na John Joseph(aliye kaa katikati)  Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma David Misime kushoto akikagua bangi iliyo kamatwa.
Basi la...

 

10 years ago

Habarileo

Bomu laua watu 3 kwenye basi

WATU watatu wamekufa na wengine sita kujeruhiwa na bomu la kurusha kwa mkono lililotupwa kwenye gari la abiria na watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi wilayani Buhigwe, katika Mkoa wa Kigoma.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani