Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbaroni kwa tuhuma kusafirisha wahamiaji haramu

Jeshi la Polisi mkoani Tanga, limemkamata mtu anayedaiwa kuwa kinara wa biashara ya kusafirisha wahamiaji haramu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mbaroni kuhifadhi wahamiaji haramu

 Idara ya uhamiaji mkoani Geita, inawashikilia wakazi wawili wa Nyamboge, wilayani Geita, kwa tuhuma za kuhifadhi wahamiaji haramu 18 kutoka nchini Burudi.

 

10 years ago

Habarileo

Wahamiaji haramu 64 mbaroni Kilimanjaro

 Kaimu Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kilimanjaro, Moita KokaPOLISI mkoani Kilimanjaro inashikilia wahamiaji haramu 64, raia wa Ethiopia, walioingia nchini na kujificha katika wilaya za Mwanga na Rombo mkoani.

 

9 years ago

Mwananchi

Washikiliwa kwa tuhuma za kutaka kusafirisha kobe 201

eshi la Polisi Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius Nyerere (JNIA), limewakamata watu wawili kwa tuhuma za kutaka kusafirisha kobe hai 201 wenye thamani ya Sh30.4 milioni waliokuwa kwenye soksi kwenda Kaula Lumpa, Malaysia.

 

11 years ago

Habarileo

Mbaroni kwa kusafirisha maiti yenye mihadarati

POLISI mkoani Morogoro inawashikilia watu watatu kwa tuhuma za kusafirisha maiti akiwa na kete 17 tumboni kati ya 24 zinazodhaniwa kuwa ni dawa za kulevya wakitokea mjini Tunduma, mkoani Mbeya kwenda jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

Habarileo

Mwinjilisti matatani kwa wahamiaji haramu

Kamanda wa Polisi mkoani Kilimanjaro, Geofrey KamwelaJESHI la Polisi mkoani Kilimanjaro linamshikilia Mwinjilisti wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Chekereni wilayani Moshi vijiji, Mbazi Manase (36) kwa tuhuma za kuwahifadhi wahamiaji haramu wanne raia wa Ethiopia.

 

5 years ago

Michuzi

MKAZI WA JIJINI DAR KORTINI KWA TUHUMA ZA KUSAFIRISHA DAWA ZA KULEVYA GRAMU 1523.25

MKAZI wa Jiji la Dar es Salaam Pedro Chongo a.k.a Salim Mgana amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na kosa moja la kusafirisha dawa za kulevya aina ya Cocaine zenye uzito wa gramu 1523.25.

Katika hati ya mashtaka iliyosomwa na Wakili wa Serikali Janet Magoho leo Juni 26, 2020 mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Richard Kabate  imedai kuwa, Aprili 9, 2011 huko katika uwanja wa Ndege wa Mwalimu JK Nyerere ndani ya Wilaya ya Ilala Dar es Salaam, mshtakiwa alikutwa akisafirisha...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mbaroni kwa uvuvi haramu

JESHI la Polisi mkoani Kigoma, linawashikilia watu watano wakiwemo raia wa Burundi kwa tuhuma za uvuvi haramu katika Ziwa Tanganyika eneo la kijiji cha Kiziba Wilaya ya Kigoma Vijijini, baada...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani