BAVICHA watoa misaada Mwananyamala
BARAZA la Vijana la CHADEMA (BAVICHA), limefanya kazi za kijamii ikiwemo usafi wa mazingira na kutoa msaada wa vifaa tiba mbalimbali kwenye wodi za wazazi na watoto katika hospitali ya...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
9 years ago
CHADEMA BlogBAVICHA WATOA TAMKO
Katibu wa uenezi wa Baraza hilo la vijana BAVICHA Taifa Bwana EDWARD SIMBEYE akizungumza na wanahabari mapema leo juu ya hali ya mauaji ya mwenyekiti wa chama hicho mkoani Geita ALPHONCE MAWAZO na hatua ambazo watazichukua
Na Exaud Msaka HabariBaraza la vijana la chama cha Demkocrasia na maendeleo chadema BAVICHA wametoa siku tatu kwa jeshi la polisi nchini kumwachia Mwenyekiti wa baraza
10 years ago
Mwananchi05 Nov
Bavicha Moro watoa tamko Jeshi la Polisi
Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bavicha) Mkoa wa Morogoro, limetoa tamko na kulitaka Jeshi la Polisi kuwachukulia hatua vijana wanaodaiwa kumfanyia fujo aliyekuwa Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji mstaafu Joseph Warioba.
10 years ago
GPLBAVICHA WATOA TAMKO JUU YA DAFTARI LA WAPIGA KURA
Katibu wa BAVICHA, Julius Mwita, akitoa tamko kuhusu muda mfupi uliopangwa wa kuandikisha wapiga kura nchini kwa ajili ya uchaguzi mkuu. Kulia ni Mratibu Uhamasishaji wa BAVICHA, Edward Simbeye. BARAZA la Vijana wa Chadema (BAVICHA) wametoa tamko juu ya daftari la wapiga kura kwa mfumo wa ‘BVR’. Akizungumza na wanahabari jijini Dar es Salaam leo Katibu Mkuu wa BAVICHA, Julius Mwita, amesema kuwa Tume ya Taifa ya...
10 years ago
GPLWASANII WATOA MISAADA KWA WATOTO YATIMA
Mponji akiwakabidhi watoto zawadi. Wasanii Kizibo wa kundi la Uaridi (mwenye tisheti nyekundu) akiwa na mwenzake wakibeba baadhi ya vifaa vya zawadi muda mfupi kabla ya kukabidhi.
Baadhi ya vitu hivyo vilivyotolewa zawadi.…
11 years ago
MichuziWASANII WA BONGO MOVIE KWA KUSHIRIKIANA NA KAMPUNI YA MABIBO BEER WATEMBELEA HOSPITALI YA MWANANYAMALA LEO NA KUTOA MISAADA KWA WAGONJWA.
10 years ago
MichuziZIMAMOTO IRINGA WATOA MISAADA KWA WATOTO YATIMA
NA DENIS MLOWE,IRINGA
JESHI la Zimamoto mkoani Iringa limesheherekea sikukuu ya pasaka na watoto wanaoishi katika kituo cha kulea yatima cha Sister Theresia kilichoko Tosamaganga mkoani Iringa kwa kuwapatia misaada mbalimbali.
Akikabidhi msaada huo Kamanda wa Jeshi la Zimamoto mkoa wa Iringa Inspekta Kennedy...
11 years ago
Habarileo09 Feb
PSPF watoa misaada kwa watoto yatima wa Karoli Lwanga
MFUKO wa Pensheni wa Watumishi wa Umma (PSPF) umetoa msaada wa vitu mbalimbali vikiwemo vya shule vyenye thamani ya Sh milioni nne kwa Kituo cha watoto yatima katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Karoli Lwanga Parokia ya Yombo Dovya, Dar es Salaam.
10 years ago
VijimamboACCESS BANK WATOA MISAADA KWA WAJASILIAMALI WAO WA MVUA YA MAWE MWAKATA
10 years ago
Vijimambo09 Jan
BAN KI MOON ASIKITISHWA NA ONGEZEKO LA MASHAMBULIZI DHIDI YA WALINZI WA AMANI NA WATOA MISAADA YA KIBINADAMU
![](https://images-blogger-opensocial.googleusercontent.com/gadgets/proxy?url=http%3A%2F%2F1.bp.blogspot.com%2F-4vrDwntgzbg%2FVK8zuD6sBRI%2FAAAAAAADVHQ%2FI4RKP3dJPKI%2Fs1600%2F618806%252B-%252BCopy.jpg&container=blogger&gadget=a&rewriteMime=image%2F*)
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania