Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BAWATA WATOA TAMKO VIFO VYA ALBINO

BARAZA la Wanganga wa Tafiti wa Tiba Asilia (BAWATA) limetoa tamko la kulaani mauaji ya Albino yanayotakana na imani za kishirikina kwani ni kinyume cha haki za binadamu. Mwenyekiti wa BAWATA, Shaka Mohamed kupitia taarifa yake aliyoitoa kwenye vyombo vya habari amesema wanalaani vitendo vya mauaji ya Albino kwani vinawadhulumu binadamu hao haki yao ya kuishi kwa amani na usalama kama binadamu wengine. Ili kukomesha vitendo hivyo,...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

UKATILI: Liwale watoa tamko mauaji ya albino

>Wilaya ya Liwale, mkoani Lindi, imetoa tamko la kulaani vitendo vinavyoendelea vya kuwaua watu wenye ulemavu wa ngozi (albino) kwa imani za kishirikina.

 

5 years ago

BBCSwahili

Vifo vya corona: Kwanini Uingereza imerekodi vifo vingi vya corona Ulaya?

Hadi kufikia sasa Uingereza inaongoza kwa idadi ya walioambukizwa virusi vya corona Ulaya na kote duniani kulingana na takwimu rasmi. Kipi kilichokoseka?

 

9 years ago

CHADEMA Blog

BAVICHA WATOA TAMKO

Katibu wa uenezi wa Baraza hilo la vijana BAVICHA Taifa Bwana EDWARD SIMBEYE akizungumza na wanahabari mapema leo juu ya hali ya mauaji ya mwenyekiti wa chama hicho mkoani Geita ALPHONCE MAWAZO na hatua ambazo watazichukua Na Exaud Msaka HabariBaraza la vijana la chama cha Demkocrasia na maendeleo chadema BAVICHA wametoa siku tatu kwa jeshi la polisi nchini kumwachia Mwenyekiti wa baraza

 

9 years ago

Global Publishers

CUF watoa tamko Zanzibar

Kaimu Mkurugenzi wa habari, uenezi na mawasiliano kwa umma Ismail Jussa.

Kufuatia taarifa iliyotolewa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) baada ya kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya chama hicho iliyokutana Zanzibar juzi, tarehe 27 Desemba, 2015, waandishi wengi wa habari wametupigia simu wakitaka kujua Chama Cha Wananchi (CUF) kimepokea vipi taarifa ile.

Vikao vya CCM ni vikao vya CCM. Si kawaida yetu kutolea taarifa maamuzi ya vikao vya vyama vyengine. Hata hivyo,...

 

11 years ago

Mwananchi

KKKT watoa tamko Kanisa la Mwanza

Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Mashariki ya Ziwa Victoria (DMZV), limeitaka Serikali kuhakikisha inawatafuta watu waliohusika na tukio la bomu lililolipuka kanisani hapo juzi.

 

10 years ago

Mwananchi

Bavicha Moro watoa tamko Jeshi la Polisi

Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bavicha) Mkoa wa Morogoro, limetoa tamko na kulitaka Jeshi la Polisi kuwachukulia hatua vijana wanaodaiwa kumfanyia fujo aliyekuwa Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji mstaafu Joseph Warioba.

 

10 years ago

GPL

BAVICHA WATOA TAMKO JUU YA DAFTARI LA WAPIGA KURA

Katibu wa BAVICHA, Julius Mwita, akitoa tamko kuhusu muda mfupi uliopangwa wa kuandikisha wapiga kura nchini kwa ajili ya uchaguzi mkuu.  Kulia ni Mratibu Uhamasishaji wa BAVICHA, Edward Simbeye. BARAZA la Vijana wa Chadema (BAVICHA) wametoa tamko juu ya daftari la wapiga kura kwa mfumo wa ‘BVR’. Akizungumza na wanahabari jijini Dar es Salaam leo Katibu Mkuu wa BAVICHA, Julius Mwita, amesema kuwa Tume ya Taifa ya...

 

11 years ago

Mwananchi

CCT watoa tamko zito kwa Rais Kikwete

Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) imetoa tamko zito ikieleza kushangazwa na kauli ya Rais Jakaya Kikwete ya kupinga mapendekezo yaliyomo katika Rasimu ya Katiba iliyotokana na maoni ya Watanzania na kusema kitendo hicho kimeishusha hadhi Tume ya Mabadiliko ya Katiba aliyoiteua.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani