Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BBC yazungumza na wasichana 3 wa Chibok

Wasichana wa Chibok nchini Nigeria bado wanaendelea kushikiliwa licha ya mazungumzo kati ya serikali na wanaowazuilia.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Nigeria yawakumbuka wasichana wa Chibok

Nigeria imeadhimisha siku mia tano tangu wasichana wa shule ya upili ya Chibok walipotekwa nyara na wapiganaji wa Boko Haram

 

10 years ago

BBCSwahili

Wasichana wa Chibok washinikizwa kuua

Wasichana wa Chibok waliotekwa zaidi ya mwaka mmoja uliopita wadaiwa kushinikizwa kuwaua Wakristo

 

10 years ago

BBCSwahili

Buhari:Tutawarejesha wasichana wa Chibok

Rais mteule wa Nigeria Jenerali mstaafu Muhammadu Buhari amesema kuwa atafanya kila awezalo ili kuwarejesha nyumbani wasichana waliotekwa na boko Haram

 

10 years ago

BBCSwahili

Je, wasichana wa Chibok wako wapi?

Goodluck Jonathan amesema amesikitishwa kuwa siasa zilipewa kipau mbele kuliko hatma ya wasichana waliotekwa na Boko Haram.

 

10 years ago

BBCSwahili

Boko Haram lawaoza wasichana wa Chibok

Kundi la wanamgambo wa Boko Haram nchini Nigeria limekana madai kutoka kwa serikali ya Nigeria kuwa wameafikia makubaliano.

 

10 years ago

Vijimambo

BOKO HARAM WAUDHIBITI MJI WA CHIBOK-BBC


Wapiganaji wa kundi la Boko Haram.Ripoti kutoka kaskazini mashariki mwa Nigeria zinasema kuwa wanamgambo wa Boko Haram wameudhibiti mji wa Chibok , mji ambapo waliwateka nyara zaidi ya wasichana 200 mwezi Aprili.
Wenyeji walisema kuwa wanamgambo hao walivamia mji huo siku ya alhamisi na hadi sasa mji huo uko chini ya udhibiti wao.Seneta mmoja kutoka eno hilo ameiambia BBC kuwa wanajeshi waliokuwa wakiulinda mji huo walitoroka wakati wanamgambo hao walipofanya uvamizi.wasichana zaidi ya 200...

 

10 years ago

BBCSwahili

Afghanistan yazungumza rasmi na Taliban

Ujumbe wa kwanza rasmi wa serikali ya Afghanistan unasema mazungumzo hayo yamefanikiwa, na awamu nyengine itafanyika hivi karibuni

 

9 years ago

BBCSwahili

Mgogoro wa Burundi, Tanzania yazungumza

Muungano wa Afrika, AU, umetangaza kwamba umejiandaa kuwatuma zaidi ya wanajeshi 5,000 wa kudumisha amani nchini Burundi.

 

10 years ago

GPL

EFM RADIO YAZUNGUMZA NA WADAU WA HABARI ZA MITANDAO

Mtangazaji wa Radio 93.7 EFM ya jijini Dar es Salaam, Samira Kiango (pili kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Wadau wa Habari za Mitandao, Clarence Mulisa kutoka Global Publishers & General Enterprises Ltd (kulia), Fredrick Bundara kutoka Bongo 5 (pili kushoto) pamoja na Othman Michuzi wa Mtaa kwa Mtaa Blog chini ya Michuzi Media Group, mara baada ya kumalizika kwa kipindi cha Mezani, kilichokuwa kikijadili suala zima la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani