BOKO HARAM WAUDHIBITI MJI WA CHIBOK-BBC
Wapiganaji wa kundi la Boko Haram.Ripoti kutoka kaskazini mashariki mwa Nigeria zinasema kuwa wanamgambo wa Boko Haram wameudhibiti mji wa Chibok , mji ambapo waliwateka nyara zaidi ya wasichana 200 mwezi Aprili.
Wenyeji walisema kuwa wanamgambo hao walivamia mji huo siku ya alhamisi na hadi sasa mji huo uko chini ya udhibiti wao.Seneta mmoja kutoka eno hilo ameiambia BBC kuwa wanajeshi waliokuwa wakiulinda mji huo walitoroka wakati wanamgambo hao walipofanya uvamizi.wasichana zaidi ya 200...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/zCFAyXbrZcu9Z1QPIUN2tMkeWrTZcs8GTSBtxTLMnpr69dyL8iu3vZZA-H5RTzuvzVoDlN4OVbQyOD47KP9uw0*ChuTJAb8M/boko.jpg?width=650)
BOKO HARAM LAUDHIBITI MJI WA CHIBOK
10 years ago
BBC![](http://c.files.bbci.co.uk/10A65/production/_83879186_chibokgirls.jpg)
Chibok girls 'fighting for Boko Haram'
10 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/78987000/jpg/_78987694_78994918.jpg)
Boko Haram militants 'seize Chibok'
10 years ago
BBCSwahili01 Nov
Boko Haram lawaoza wasichana wa Chibok
10 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/78365000/jpg/_78365930_022230272-1.jpg)
Will 'truce' with Boko Haram free Chibok girls?
10 years ago
BBCSwahili16 May
Boko Haram yateka mji wa Marte
10 years ago
BBCSwahili01 Feb
Boko Haram laushambulia mji wa Maiduguri
10 years ago
BBCSwahili30 Oct
Boko Haram lakaribia mji wa Mabu
10 years ago
BBCSwahili08 Sep
Boko Haram wauteka mji mwingine