Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bella Fasta awawashia moto wasanii wa filamu walioandamana (Video)

Msanii wa muziki na filamu, Bella Fasta amefunguka kwa kudai kuwa hajapendezwa na kitendo cha baadhi ya wasanii wa filamu nchini kuandamana kupinga filamu za nje, kwa madai hatua hiyo ilitakiwa kujadiliwa na wasanii wote wa filamu na siyo vikundi vya watu fulani ndani ya tasnia hiyo.

Wasanii hao ambao waliandamana wakiongozwa na Jacob Stephan ‘JB’, waliiomba ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam kupiga marufuku wafanyabiashara wa filamu za nje kwa madai hawalipi kodi wakati wasanii wa...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

KAMANDA MPINGA AONYA WENYE MABASI KUONGEZA NAULI, AZINDUA HUDUMA FASTA FASTA KWA BODABODA

 Kamanda wa Polisi wa kikosi cha usalama Barabarani nchini Kamishna Msaidizi wa Polisi, Mohammed Mpinga, akipata maelezo jinsi ya kujiunga na huduma mpya kwa abiria wa bodaboda inayopatikana kwa njia ya mtandao wa simu za mikononi ijulikanayo kwa jina la “Fasta Fasta Services”. Huduma hiyo umwezesha abiria kupata huduma ya usafiri huo kwa kufuatwa mahali alipo. Picha/Mpiga Picha wetuKamanda wa Polisi wa kikosi cha usalama Barabarani nchini Kamishna Msaidizi wa Polisi, Mohammed Mpinga pamoja...

 

11 years ago

Mwananchi

Bunge la Bajeti kuendeshwa ‘fasta fasta’

>Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa ajili ya kujadili Bajeti ya Serikali 2013/14 linatarajiwa kuanza Mei 6, mwaka huu huku likiwa limetengewa siku chache ambazo zitasababisha liendeshwe kwa kasi ili kukamilisha shughuli zake.

 

10 years ago

Bongo Movies

Bei Mpya za Filamu:Mtitu Aendelea Kuwaponda Baadi ya Wasanii wa Filamu

Mtengenezaji wa filamu mkongwe hapa nchini, William Mtitu ameendela kuwaponda baadhi ya wasanii ambao wanafanya kazi na kampuni ya Steps Entertainment  kwa kukubali kushisha bei ya kazi zao kutoka shilingi 3000/= hadi  shilingi 1,500 /= kwa CD moja kwa rejareja.

Kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM, Mtitu aliweka picha hiyo hapo juu na kuandika maneno haya;

"Wakati tukiangaika maporini kushuti sinema zenye ubora wasanii wenzetu sijui tuite upumbavu au kutojielewa wanajifungia ndani na wàhindi...

 

11 years ago

Michuzi

Shirikikisho la Wasanii wa Filamu Tanzania lawasilisha maoni ya utafiti wa tasnia ya filamu nchini

 Mkurugenzi wa Sera na Mipango kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Joyce Mwakisyala  (katikati )akipokea maoni ya  Utafiti  kuhusu Tasnia ya Filamu Tanzania kutoka kwa Rais wa Shirikisho la Wasanii wa Filamu Tanzania (TAFF) Bwana Simon Mwakifwamba wa kwanza kulia, kushoto ni Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Bi Joyce Fissoo  Rais wa Shirikikisho la Wasanii wa Filamu Tanzania (TAFF) Bwana Simon Mwakifwamba wa pili kutoka kulia akionyesha maoni ya  Utafiti ...

 

10 years ago

Bongo5

New Video: Cassim Mganga atoa video ya ‘Moto Moto’ aliyoshoot na Ogopa mwaka 2013

Hatimaye Cassim Mganga a.k.a Tajiri wa mahaba ameachia video ya wimbo wake ‘Moto Moto’ iliyoshutiwa toka mwaka 2013. Mwaka jana Mganga alikanusha taarifa kuwa video hiyo imeharibika kutokana na kuchelewa kutoka, na kusema kuwa video ilikuwepo lakini ilikuwa inahitaji kuongezewa vipande vichache na kutoka (Ingia hapa). Video ya ‘Moto Moto’ imefanywa na kampuni ya Ogopa […]

 

9 years ago

Bongo5

Wasanii wengi Bongo ni wanaweza, hawana nyota tu — Christian Bella

Christian Bella amesema licha ya kufanya vizuri kimuziki hapa Tanzania haoni kama yeye ni bora kuliko wenzake. Bella ameiambia Bongo5 kuwa hapa Bongo kuna wasanii wazuri kuliko hata yeye ila bado hawajapata nafasi ya kutosha. “Hongera za watu kwangu ni zaidi ya tuzo, kwa muda huu game ni ngumu sana, kwahiyo kukubalika sio kitu rahisi […]

 

9 years ago

Bongo5

Alikiba na Christian Bella watangaza ‘dili’ kwa anayetaka kufanya filamu ya ‘Nagharamia’

Bella na Ali Kiba

Mashabiki wa Alikiba na Christian Bella muda si mrefu watapata kusikia na kuona collabo ya wakali hao waliyokuwa wakiisubiri kwa hamu kwa muda mrefu.

Bella na Ali Kiba

Kiba na Bella ambao wameshoot video ya wimbo wao mpya ‘Nagharamia’ nchini Afrika Kusini, wamesema kuwa wimbo huo una story nzuri ambayo inaweza hata kutengenezewa filamu.

“Nyimbo tuliyoimba inaweza ikawa hata sound track ya movie kwasababu ni story ambayo inavutia, inapendeza…” Alikiba alifunguka kupitia 255 ya XXL. “Ni idea nzuri ambayo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani