Belle 9 apata dili ya kwanza ya ubalozi wa kampuni hii
Wiki iliyopita muimbaji wa Rnb, Belle 9 alipost picha akisaini mkataba ambao kwa wakati ule hakuweka wazi ni wa kitu gani. Lakini sasa ameweka wazi kuwa ulikuwa ni mkataba wa ubalozi wa Owbaz.com.
Mafanikio haya yanakuja baada ya Belle kuanza kufanya kazi chini ya kampuni yake ya Vitamin Music inayosimamia kazi zake zote kwa sasa.
Mafanikio mengine ambayo Belle ameyapata toka abadili mfumo wake wa kufanya kazi ni pamoja na video yake ya ‘Shauri Zao’ kuanza kuchezwa na vituo vya nje...
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania08 Sep
Flavian Matata apata dili la ubalozi wa utalii Marekani
NA TUNU NASSOR
MWANAMITINDO wa Tanzania anayeishi Jiji la New York, Marekani, Flavian Matata, ameteuliwa kuwa balozi wa utalii nchini Marekani.
Uteuzi huo wa Wizara ya Maliasili na Utalii chini ya Bodi ya Utalii nchini umekuja baada ya Rais Jakaya Kikwete kuzindua tangazo la vivutio vya utalii litalokuwa likirushwa na vyombo vya habari vya kimataifa ambavyo ni Shirika la Habari la Uingereza (BBC) pamoja na CNN.
Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam, Katibu Mkuu wa...
10 years ago
Bongo Movies15 Mar
Wastara Apata Dili Kufanya Kazi Nchini Marekani
Staa wa Bongo Movie, Wastara Juma amepata shavu la kwenda kufanya kazi nchini marekani akiwa pamoja na mtengenezaji filamu mahiri kabisa hapa Bongo, Timoth Conrad Kachumia.
Japo kuwa hakutaka kueleza ni lini watakwenda nchini humo na kampuni iliyowapa chavu hilo, kupitia ukursasa wake mtandaoni alibandika baadhi ya picha akiwa na watu ambao ndio wame wapa dili hilo na kuandika;
“Ukipata nafasi ya kufanya kazi kimataifa usiichezee,,one mistake hundred goal............kosa la defense ni...
10 years ago
MichuziKampuni ya Simu Tanzania TTCL Yazinduwa Dili la Ukweli
Akizungumza leo jijini Dar es Salaam juu ya huduma hiyo, Meneja Huduma za Intaneti wa TTCL, Abdul Mombokaleo amesema kampuni ya Simu Tanzania imeamua kuzindua promosheni mpya ya “DILI LA UKWELI” inayotoa fursa ya mteja wa...
9 years ago
Bongo519 Oct
Video ya Belle 9 ‘Shauri Zao’ yatambulishwa kwa mara ya kwanza Trace Urban
10 years ago
Bongo513 Oct
Peter Okoye (P-Square) apata shavu la ubalozi wa Olympic Milk
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/OjPpHdqgJD0/default.jpg)
9 years ago
MillardAyo25 Dec
Lilipofikia dili la Mbwana Samatta kwenda Ulaya January 2016, hii ndio kauli ya meneja wake …
Usiku wa December 24 ulikuwa ni usiku ambao zilizagaa au kuvuja habari za mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga katika klabu ya TP Mazembe ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Mbwana Samatta kutajwa kwenda kucheza soka la kulipwa katika klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji. Stori zilianza kama tetesi na baadae mmoja kati ya mitandao […]
The post Lilipofikia dili la Mbwana Samatta kwenda Ulaya January 2016, hii ndio kauli ya meneja wake … appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
Bongo514 Dec
Director Enos Olik wa Kenya apata mtoto wa kwanza
![enos4](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/enos4-300x194.jpg)
Director wa video kutoka nchini Kenya, Enos Olik anaingia kwenye orodha ya mastaa wa Afrika Mashariki waliopata watoto mwaka huu.
December 12 ndio siku mke wake ambaye ni mtangazaji wa KTN alijifungua mtoto wao waliyempa jina la Aiden Olik.
“Welcome to the unforgiving world baby Aiden Olik… Daddy will always be here to support you.. Born 12/12/15…Your birthdays will be on a public holiday #FeelingBlessed.. With @misstamima” aliandika Enos Instagram iliyosindikizwa na picha ya mkono wa...