Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Director Enos Olik wa Kenya apata mtoto wa kwanza

enos4

Director wa video kutoka nchini Kenya, Enos Olik anaingia kwenye orodha ya mastaa wa Afrika Mashariki waliopata watoto mwaka huu.

enos4

December 12 ndio siku mke wake ambaye ni mtangazaji wa KTN alijifungua mtoto wao waliyempa jina la Aiden Olik.

enos mtoto

“Welcome to the unforgiving world baby Aiden Olik… Daddy will always be here to support you.. Born 12/12/15…Your birthdays will be on a public holiday #FeelingBlessed.. With @misstamima” aliandika Enos Instagram iliyosindikizwa na picha ya mkono wa...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Director Enos Olik wa Kenya azungumzia kuhusu wasanii kushoot video SA, na baadhi ya video kutoka EA kutochezwa Trace na MTV Base

enos4

Enos Olik ni muongozaji na mtayarishaji wa video za muziki kutoka Kenya, ambaye ameshafanya kazi na wasanii wengi wa Afrika kuanzia A-list hadi wale wa kawaida.

enos-2

Shaa, Young Dee, Alikiba na Christian Bella ni baadhi ya wasanii wa Bongo ambao wameshampa ulaji director huyo kufanya video zao. Video zingine alizofanya ni ‘Kioo’ ya Jaguar, ‘Sura Yako remix’ ya Sauti Sol na Iyanya, ‘Never Been Loved’ ya Maurice Kirya, ‘Touch Me There’ ya Redsan ft. Nyla na zingine kadhaa wa kadhaa.

enos4

Bongo5...

 

10 years ago

Bongo5

Wizkid na Victoria Kimani washoot video Kenya na Enos Olik

Staa wa Nigeria Wizkid amekuwepo Afrika Mashariki kwa takribani wiki moja. Alianzia jijini Nairobi Kenya ambapo Jumapili iliyopita alitumbuiza kwenye viwanja vya The Carnivore, na baadae kuelekea jijini Kampala Uganda ambako alitumbuiza kwenye Party ya Guiness na kisha akarudi tena Kenya ambako imefahamika alirudi kushoot video. Victoria Kimani (kushoto) Wizkid (Kulia) Staa huyo wa ‘If […]

 

9 years ago

Bongo5

One Africa: Enos Olik wa Kenya aongoza video ya Butera Knowles wa Rwanda aliyemshirikisha Roberto wa Zambia

12145346_998184826935184_1820880905_n

Kiwanda cha muziki cha Afrika kinazidi kuungana pamoja.

12145346_998184826935184_1820880905_n
Kuanzia Kushoto: Butera Knowles, Enos Olik na Roberto

Miaka ya hivi karibuni wasanii wa Afrika wamekuwa wakishirikiana kwenye nyimbo zao za hivyo kuzidi kuusogeza karibu zaidi muziki wa bara hili.

Baada ya kutoka kuongoza video ya wimbo wa Christian Bella na Alikiba ‘Nagharamia’ iliyofanyika nchini Afrika Kusini, Enos Olik ameongoza tena video ya collabo ya wasanii wa Afrika.

1941275_1656963451187936_1818602726_n
Butera na Roberto walipokuwa wakielekea Nairobi kushoot...

 

10 years ago

Bongo5

Enos Olik aongoza video ya wimbo mpya wa Shaa

Muongozaji wa video ya Weusi, Gere, Mkenya Enos Oliki ndiye aliyeongoza video mpya ya wimbo wa Shaa. Hii ni picha aliyopost muongozaji huyo kwenye akaunti yake ya Instagram.

 

10 years ago

Bongo5

Director Kevin Bosco wa Kenya: Hanscana is the director to watch, trust me

Director Kevin Bosco Jnr aliyeongoza video mpya ya Mwana FA ‘Kiboko Yangu’ na zingine kibao, amemtabiria makubwa director mpya wa Bongo ambaye ameanza kuonesha dalili njema kupitia video chache alizofanya ikiwemo WCD ya kina Vanessa Mdee, pamoja na ‘Moyoni ‘ ya Navy Kenzo. Kevin Bosco Jnr Director huyo wa Kenya aliulizwa ma-director wa Bongo anaowazimia: […]

 

11 years ago

Bongo5

Director Kevin Bosco wa Kenya anatoza 10% tu ya wanachotoza madirector wengine wa Kenya, vijue vigezo vyake vya kupokea kazi

Miaka ya karibuni wasanii wengi wa Tanzania wamekuwa wakienda Kenya kufanya video zao na madirector kama Ogopa na Enos Olik pamoja na Kevin Bosco Jnr aliyefanya video ya AY ‘Asante. Director Kevin Bosco Jnr aliyekuja Tanzania wiki iliyopita kushoot video ya wimbo wa Victoria Kimani aliyowashirikisha Diamond na Ommy Dimpoz iliyofanyika Dar es salaam, amesema […]

 

9 years ago

BBCSwahili

Mtoto apata mtoto Paraguay.

Binti wa miaka kumi na mmoja nchini Paraguay aliyedai kubakwa na baba yake wa kambo amejifungua mtoto wa kike salama.

 

10 years ago

Bongo5

Nisher ataja pesa aliyolipwa kama director kwenye video ya kwanza kutengeneza

Kila kitu kikubwa huanzia kwenye hatua ya chini, kama ni msanii basi lazima utakuta wakati anaanza alifanya show nyingi za bure, kama ni producer wa muziki basi utakuta ametenegezea wasanii wengi mastaa nyimbo bure ili ajitangaze. Safari ya director wa video Nisher kutoka Arusha pia ilianzia katika hatua za kufanya video bure hadi sasa amefikia […]

 

9 years ago

Bongo5

Belle 9 apata dili ya kwanza ya ubalozi wa kampuni hii

Belle ubalozi2

Wiki iliyopita muimbaji wa Rnb, Belle 9 alipost picha akisaini mkataba ambao kwa wakati ule hakuweka wazi ni wa kitu gani. Lakini sasa ameweka wazi kuwa ulikuwa ni mkataba wa ubalozi wa Owbaz.com.

Belle ubalozi2

Mafanikio haya yanakuja baada ya Belle kuanza kufanya kazi chini ya kampuni yake ya Vitamin Music inayosimamia kazi zake zote kwa sasa.

Belle ubalozi3

Mafanikio mengine ambayo Belle ameyapata toka abadili mfumo wake wa kufanya kazi ni pamoja na video yake ya ‘Shauri Zao’ kuanza kuchezwa na vituo vya nje...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani