Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Benki ya BOA kuwawezesha wasambazaji wa bidhaa za Vodacom

Benki ya Africa (BOA)-Tanzania imeingia ubia na kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania, ambao utawawezesha mawakala wa kuuza na kusambaza bidhaa za Vodacom kupata mikopo ya masharti nafuu na bila amana ili kuwawezesha kutoa huduma bora kwa wateja wao. Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Rene Meza (kulia) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Wasambazaji bidhaa za TBL wanavyoneemeka

BIASHARA ya usambazaji wa vileo nchini kupitia kampuni ya Bima Tanzania (TBL), imeendelea kuwainua kiuchumi wasambazaji maeneo mbalimbali nchini. Mojawapo ya faida ambayo mawakala wanapata kupitia biashara hiyo ni uwezo...

 

5 years ago

Michuzi

Wasambazaji bora wa bidhaa za TBL wazawadiwa magari na tuzo

-Wafanyakazi bora kitengo cha mauzo nao wapatiwa tuzo
Kampuni ya Tanzania Breweries Limited (TBL) chini ya Kampuni ya kimataifa ya ABInBEV, imekutana jijini Dar es Salaam na wasambazaji wa bidhaa zake kutoka nchini pote kwa ajili ya kuweka mikakati ya kuboresha zaidi usambazaji sambamba na kuwashukuru ambapo wasambazaji bora 2 wamejipatia zawadi ya magari ya kubeba mizigo kwa ajili ya kurahisisha usambazaji wa bidhaa kwa wateja na wasambazaji wengi wamejipatia vyeti na vikombe vya kutokana na...

 

10 years ago

TheCitizen

Vodacom and BOA enter into financing deal

Bank of Africa Tanzania has entered into partnership with the Vodacom to enable telecoms company’s distributors to secure loans for additional working capital financing in the form of overdraft facilities without collateral, the two firms announced yesterday.

 

9 years ago

Mwananchi

Benki ya BOA kunufaisha watanzania

Watanzania wataanza kunufaika na huduma ya kutuma fedha kimataifa, baada ya Benki ya Afrika (BOA), kufungua huduma mpya iitwayo Wari.

 

9 years ago

Michuzi

Benki ya NBC yazidi kuwawezesha vijana kiuchumi

Ofisa wa Benki ya NBC kitengo cha ATM, Pendo Clement (kushoto) akizungumza na baadhi ya wanafunzi wa ​ ​Chuo cha ufundi stadi cha Future World, Gongo la mboto Chuo cha Ufundi Stadi cha Future World, kuhusu masuala mbalimbali ya kimaisha ikiwa ni sehemu ya mradi mradi wa Kuendeleza Vijana Kiuchumi Dar es Salaam wa kuendeleza vijana kiuchumi Dar es Salaam unaodhaminiwa na benki hiyo. Hafla hiyo ilifanyika chuoni hapo, Gongo la Mboto nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam jana. M ​eneja wa ATM...

 

9 years ago

Michuzi

Benki ya Afrika(BOA Bank) yapigia chapuo matumizi bora ya mikopo

Na Mwandishi wetu, BagamoyoWATANZANIA wametakiwa kujenga tabia ya kukopa na kurejesha kwa wakati mikopo katika taasisi za fedha kwani huo ni msingi muhimu wa kujipatia maendeleo kwa mtu binafsi na katika ngazi ya taasisi pia.
Mkurugenzi wa Fedha wa Benki ya Afrika, Bw. Mussa Mwachaga amesema mwishoni mwa juma wakati akikabidhi msaada wa Tsh. milioni 10 kwa shule ya Sekondari ya Baobab kuwa uaminifu katika kurejesha mikopo huleta maendeleo ya haraka kwa watu binafsi na taasisi mbalimbali.
“Hili...

 

5 years ago

Michuzi

MTUMISHI WA BENKI YA BOA KIZIMBANI AKIKABILIWA NA MASHTAKA SABA YA WIZI, UTAKATISHAJI FEDHA


Na Karama Kenyunko Michuzi TV MTUMISHI benki ya Boa, Nahami Mwaipyana, amefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashtaka saba ya wizi akiwa Mtumishi na shtaka moja la utakatishaji wa fedha wa zaidi ya USD 35 elfu na Tsh. Milioni mbili.
Akisoma hati ya mashtaka, wakili wa serikali Mwandamizi Anna Chimpaye amedai mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu Thomas Simba kuwa mshtakiwa ametenda makosa ya wizi akiwa mtumishi katika tarehe tofauti tofauti kuanzia Januari 2017 hadi Novemba...

 

9 years ago

Dewji Blog

Benki ya BOA waletea wateja wake huduma mpya ya kutuma fedha Kimataifa ya ‘WARI’

boa

Mkurugenzi wa ICT , Bw. Willington Munya  akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa utambulisho wa huduma hiyo mpya ya BOA. anayefuatia ni  Meneja wa E.Banking, Bi. Editha Jumbe na wa mwisho ni Afisa masoko Danieli Sarungi. ( Picha na Niccomediatz).

Benk ya BOA Tanzania imeleta huduma mpya kwa wateja wake ijulikanayo kama WARI-huduma ya kutuma fedha kimataifa ambapo kwa sasa huduma hiyo imeingia nchini na mteja anaweza kutuma na kupokea  fedha ndani na nje bila ya kuwa...

 

9 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI BOA BENKI KUPEPERUSHA BENDERA YAO NA CCBRT MLIMA KILIMANJARO KUANZIA JUMAPILI HII

Naibu Mkuruenzi wa BOA benki, Wasia Mushi akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na wanao kwenda kupeperusha bendera ya benki hiyo pamoja na bendera ya CCBRT katika kilele cha mlima wa Kilimanjaro ikiwa ni kukamilisha mchango wao kama benki kwaajili ya watoto waliozaliwa ikiwa miguu yao imepoza ili wapatiwe matibabu katika Hospitali ya CCBRT, ikiwa ni mchango wao kama benki kusaidia jamii inayosumbuliwa na ugonjwa wa kupinda miguu unaojulikana kwa jina la (KIBWIKO) benki ya BOA...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani