Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wasambazaji bora wa bidhaa za TBL wazawadiwa magari na tuzo

-Wafanyakazi bora kitengo cha mauzo nao wapatiwa tuzo
Kampuni ya Tanzania Breweries Limited (TBL) chini ya Kampuni ya kimataifa ya ABInBEV, imekutana jijini Dar es Salaam na wasambazaji wa bidhaa zake kutoka nchini pote kwa ajili ya kuweka mikakati ya kuboresha zaidi usambazaji sambamba na kuwashukuru ambapo wasambazaji bora 2 wamejipatia zawadi ya magari ya kubeba mizigo kwa ajili ya kurahisisha usambazaji wa bidhaa kwa wateja na wasambazaji wengi wamejipatia vyeti na vikombe vya kutokana na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Wasambazaji bidhaa za TBL wanavyoneemeka

BIASHARA ya usambazaji wa vileo nchini kupitia kampuni ya Bima Tanzania (TBL), imeendelea kuwainua kiuchumi wasambazaji maeneo mbalimbali nchini. Mojawapo ya faida ambayo mawakala wanapata kupitia biashara hiyo ni uwezo...

 

10 years ago

Michuzi

TBL YAPATA TUZO YA NSSF YA MWAJIRI BORA

 Mkurugenzi wa Fedha wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Cavin O'Flaherty (wa pili kulia), akipokea tuzo ya mwajiri bora wa kwanza katika idara ya matekelezo ya Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) kutoka kwa Meneja Kiongozi wa NSSF mkoa wa Temeke, Bw. Chieldrick Komba, Dar es Salaam jana. Wengine kulia ni Meneja wa Huduma za TBL, Alois Maleck Qande (wa pili kulia), Afisa Uhusiano Doris Malulu (kulia) na baadhi ya maofisa wa NSSF (waliosimama kushoto. Mkurugenzi wa Fedha wa Kampuni ya...

 

10 years ago

GPL

TBL YAPATA TUZO YA NSSF YA MWAJIRI BORA‏

 Mkurugenzi wa Fedha wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Cavin O'Flaherty (wa tatu kulia), akipokea tuzo ya mwajiri bora wa kwanza katika idara ya matekelezo ya Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) kutoka kwa Meneja Kiongozi wa NSSF mkoa wa Temeke, Bw. Chieldrick Komba, Dar es Salaam jana. Wengine kulia ni Meneja wa Huduma za TBL, Alois Maleck Qande (wa pili kulia), Afisa Uhusiano Doris Malulu (kulia) na baadhi ya maofisa...

 

9 years ago

Dewji Blog

TBL Group yashinda tuzo ya mwajiri bora mwaka 2015

TBL ATE 2

Waziri Mkuu Mh.Kassim Majaliwa (kulia) akimkabidhi  kombe la tuzo ya mwajiri bora kwa Mkurugenzi wa Raslimali Watu wa TBL Group, David Magese (Kushoto) katika hafla iliyoandaliwa na Chama Cha Waajiri Tanzania na kufanyika katika ukumbi wa Mlimani City mwishoni mwa wiki ambapo TBL iliibuka kwa mshindi wa tuzo hiyo kwa mwaka 2015,(katikati) ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck sadiki.

TBL ATE 3

Mkurugenzi wa Raslimali Watu wa TBL Group, David Magese akionyesha kombe la tuzo ya mwajiri bora...

 

11 years ago

Michuzi

TBL YAIBUKA MSHINDI WA PILI TUZO ZA MZALISHAJI BORA WA MWAKA 2013

Rais Jakaya Kikwete akikabidhi kombe  kwa mshindi wa pili wa tuzo wa mzalishaji bora wa mwaka 2013, kwa  Mkurugenzi wa Huduma ya Makampuni na Masuala ya Sheria wa kampuni ya Bia ya TBL, Stephen  Kilindo wakati wa hafla ya makabidhiano ya tuzo hizo yalifanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Wengine ni Mwenyekiti wa Chama Cha Wenye Viwanda Tanzania (CTI), Dk. Samwel Nyantahe ( wa pili kulia)  wakati wa kushoto ni Mwenyekiti Mstaafu wa CTI, Dk. Reginald Mengi ambaye ni Mwenyekiti...

 

10 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI WA TBL WALIOPIMWA VIRUSI VYA UKIMWI WAZAWADIWA

Mgeni rasmi Ofisa Uendeshaji, Rasirimali watu wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Collins Constantine, akishishirikiana na wafanyakazi wenzake wa TBL kuwasha mishumaa kuwakumbuka wenzao waliopoteza maisha kwa ugonjwa wa Ukimwi.
  Mgeni Ofisa Uendeshaji, Rasirimali watu wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Collins Constantine akikabidhi zawadi ya jiko la gesi kwa Christopher Mchome, baada ya kushinda bahati nasibu ya wafanyakazi waliopima afya zao, wakati wa maadhimisho ya siku ya Ukimwi, Dar...

 

10 years ago

Bongo5

Benki ya BOA kuwawezesha wasambazaji wa bidhaa za Vodacom

Benki ya Africa (BOA)-Tanzania imeingia ubia na kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania, ambao utawawezesha mawakala wa kuuza na kusambaza bidhaa za Vodacom kupata mikopo ya masharti nafuu na bila amana ili kuwawezesha kutoa huduma bora kwa wateja wao. Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Rene Meza (kulia) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati […]

 

10 years ago

Tanzania Daima

Washindi wa Keki Bora wazawadiwa

MAKUNDI yaliyoshinda katika shindano la kutengeneza keki bora yaliyofanyika mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam, yametangazwa huku vigezo vikiwa ni ubora katika utengenezaji, ubunifu na radha. Kupitia maonesho hayo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Shule, wanafunzi bora Dar wazawadiwa

KAIMU Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Raymond Mushi, amewataka viongozi wa elimu pamoja na wamiliki wa shule nchini kuwa na utaratibu wa kufanya tathimini za mara kwa mara...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani