BENKI YA CRDB YAWASHAURI WAZAZI KUWAFUNGULIA WATOTO AKAUNTI YA JUMBO JUNIOR
![](http://4.bp.blogspot.com/-RcXmsxxaQ4c/U7qrDThkV1I/AAAAAAABCAA/Et20o0zs3aE/s72-c/w1.jpg)
Na Mwandishi Wetu
BENKI ya CRDB imewataka wazazi kuwafungulia watoto akaunti ya Junior Jumbo kwa ajili ya akiba yao ya baadae.
Akizungumza katika maonesho ya 38 ya biashara ya Kimataifa Dar es salaam, Ofisa Masoko wa CRDB, Nazareth Kipingo, alisema akaunti hiyo ni kwa ajili ya watoto ambapo mzazi huifadhi fedha kwa ajili ya ada au akiba ya mtoto katika maisha yake ya baadae.
Alisema akaunti hiyo itamsaidia mzazi kuweka fedha kimkakati ambapo atatakiwa kutoa mara nne kwa mwaka katika msimu...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziBENKI YA CRDB YAADHIMISHA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA KWA KUTUMIA AKAUNTI YA JUNIOR JUMBO
Benki ya CRDB imetoa misaada mbalimbali kwa watoto wasiojiweza katika kituo cha Msimbazi centre.
Hatua hiyo imetokana na maadhimisho ya siku ya mtoto wa Afrika yenye kauli mbiu ya elimu bora kwa wote.
Akizungumza Jana jijini Dar es salaam Meneja wa benki hiyo Tawi la Premier, Fabiola Mussula, alisema kuwa benki hiyo imeadhimisha siku ya mtoto wa Afrika kwa kupitia akaunti ya Junior Jumbo.
Alisema kuwa akaunti ya mtoto humsaidia mzazi kuhakikisha anahifadhi ada na...
10 years ago
MichuziBENKI YA CRDB TAWI LA MLIMANI CITY YAADHIMISHA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA NA JUMBO JUNIOR ACCOUNT
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/6dRkt71jUG8/default.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima09 Jul
CRDB yahamasisha akaunti za watoto
WAZAZI wameshauri kujenga mazoea ya kuwafungulia watoto wao akaunti ya Junior Jumbo itakayowasaidia katika maisha ya baadaye. Ushauri huo ulitolewa jijini Dar es Salaam jana na Ofisa Masoko wa CRDB,...
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-iPi2gSL8ffY/Uu4eGNfl7HI/AAAAAAAFKQw/oQshwggiR7I/s72-c/unnamed+(11).jpg)
WAZAZI WAKUMBUKENI WATOTO YATIMA-NBC BENKI
![](http://2.bp.blogspot.com/-iPi2gSL8ffY/Uu4eGNfl7HI/AAAAAAAFKQw/oQshwggiR7I/s1600/unnamed+(11).jpg)
11 years ago
GPLWAZAZI WAKUMBUKENI WATOTO YATIMA - BENKI YA NBC
9 years ago
MichuziWAFANYAKAZI WA BENKI YA CRDB WAKISHIRIKI MICHEZO MBALIMBALI KATIKA SIKU YA FAMILIA YA CRDB
Watoto wakifurahia michezo mbalimbali katika viwanja vya Olasiti Garden
leo katika sherehe za siku ya familia ya CRDB ambazo hufanyika kila mwaka
na kuhudhuriwa na familia za wafnayakazi wa benki pamoja na familia za
wateja.
KWA PICHA...
10 years ago
MichuziBENKI YA UWEKEZAJI YA ULAYA (E.I.B), YAIPIGA JEKI BENKI YA CRDB
Akizungumza jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB, Dk. Charles Kimei alisema benki yake kwa kushirikiana na EIB imeamuwa kusaidia jamii nchini hivyo mkataba huo ni mwanzo wa ushirikiano endelevu utakaohamasisha upatikanaji wa ajira.
Alisema kufanyakazi na benki ya EIB...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/--E_uFpYHl04/XqqlLaHKL3I/AAAAAAALooQ/dBPj22H9y2gasW2nHCwinA81h58nxGuzACLcBGAsYHQ/s72-c/OTMI2552.jpg)
Benki ya CRDB yaichangia Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete sh. milioni 50 kwa ajili ya upasuaji wa moyo kwa watoto
![](https://1.bp.blogspot.com/--E_uFpYHl04/XqqlLaHKL3I/AAAAAAALooQ/dBPj22H9y2gasW2nHCwinA81h58nxGuzACLcBGAsYHQ/s640/OTMI2552.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-7ofaNsobsXQ/XqqlMLa7SXI/AAAAAAALooU/BEw8MdRgB8Q0KyOtrrq6LnzGPBfNhVCtQCLcBGAsYHQ/s640/OTMI2559.jpg)
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10