Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CRDB yahamasisha akaunti za watoto

WAZAZI wameshauri kujenga mazoea ya kuwafungulia watoto wao akaunti ya Junior Jumbo itakayowasaidia katika maisha ya baadaye. Ushauri huo ulitolewa jijini Dar es Salaam jana na Ofisa Masoko wa CRDB,...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

BENKI YA CRDB YAWASHAURI WAZAZI KUWAFUNGULIA WATOTO AKAUNTI YA JUMBO JUNIOR

Na Mwandishi Wetu
BENKI ya CRDB imewataka wazazi kuwafungulia watoto akaunti ya Junior Jumbo kwa ajili ya akiba yao ya baadae.

Akizungumza katika maonesho ya 38 ya biashara ya Kimataifa Dar es salaam, Ofisa Masoko wa CRDB, Nazareth Kipingo, alisema akaunti hiyo ni kwa ajili ya watoto ambapo mzazi huifadhi fedha kwa ajili ya ada au akiba ya mtoto  katika maisha yake ya baadae.

Alisema akaunti hiyo itamsaidia mzazi kuweka fedha kimkakati ambapo atatakiwa kutoa mara nne kwa mwaka katika msimu...

 

10 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI AZANIA BANK TAWI LA MOSHI YAHAMASISHA WATEJA KUFUNGUA AKAUNTI YA DHAMIRA

Meneja Msaidizi wa Benki ya Azania Joseph Msase akikabidhi fomu ya Akaunti ya Dhamira kwa mmoja wa wateja wa Benki hiyo Benjamini Mengi.Mteja wa Benki ya Azania Benjamini Mengi akionesha fomu yake baada ya kujiunga na Akaunti ya Dhamira ,wengine ni wafanyakazi wa Benki ya Azania tawi la Moshi,Hajira Mmambe(mwenye kilemba) na familia ya Mengi.Mtoa huduma kwa wateja katika Benki ya Azania tawi la Moshi ,Happy Msengi akimshawishi Mama Mengi kufungua akaunti ya Dhamira iliyoanzishwa katika Benki...

 

11 years ago

Michuzi

BENKI YA CRDB YAADHIMISHA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA KWA KUTUMIA AKAUNTI YA JUNIOR JUMBO

Na Mwandishi Wetu
Benki ya CRDB imetoa misaada mbalimbali kwa watoto wasiojiweza katika kituo cha Msimbazi centre.
Hatua hiyo imetokana na maadhimisho ya siku ya mtoto wa Afrika yenye kauli mbiu ya elimu bora kwa wote.


Akizungumza Jana jijini Dar es salaam Meneja wa benki hiyo Tawi la Premier, Fabiola Mussula, alisema kuwa benki hiyo imeadhimisha siku ya mtoto  wa Afrika kwa kupitia akaunti ya Junior Jumbo.


Alisema kuwa akaunti ya mtoto  humsaidia mzazi kuhakikisha anahifadhi ada na...

 

10 years ago

Michuzi

CRDB ARUSHA WAFURAHI NA WATOTO

 Meneja biashara CRDB tawi la Arusha, Rose  Mkumbwa (kulia) pamoja na wafanyakzi wengine wa Benki hiyo wakiwapa zawadi watoto  ambao ni wateja wa benki hiyo kupityia akaunti ya wateja wa account ya Junior Jumbo wakati wa maadhimisho ya siku ya mtoto wa Afrika mjini Arusha jana. Mkurugenzi wa CRDB tawi la Arusha  Chiku Issa wa pili kutoka kulia (Alie beba mtoto) na Meneja biashara tawi la Arusha Rose Mkumbwa (kulia) wakiwa na wateja wa account ya Junior Jumbo, wakati wa maadhimisho ya siku ya...

 

10 years ago

Michuzi

CRDB-TAWI LA LUMUMBA WASHEREKEA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA NA WATOTO JIJINI DAR

 Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB wa tawi la Lumumba, Saugata Bandyopadhiyay akimlisha keki mtoto  katika hafla ya kuadhimisha Siku ya Mtoto  wa Afrika iliyofanyika katika Benki hiyo Tawi la Lumumba,Naibu Mkurugenzi huyo aliitaka jamii kuwawekea watoto akiba kwenye akaunti ya Junior Jumbo akaunti ambayo itawasaidia watoto baadae katika kutimiza malengo yao. Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya  CRDB, Tawi la Lumumba, Saugata Bandyopadhiyay akilishwa keki na Mkurugenzi wa Benki...

 

10 years ago

Michuzi

BANKI YA CRDB TAWI LA WATER FRONT WATOA MISAADA KWA WATOTO WANAOLELEWA MSIMBAZI CENTER.


Baadhi ya Wafanyakazi wa benki ya CRDB tawi la Water Front wakitoa misaada katika kituo cha kulelea watoto wa chini ya miaka minne(4) yatima katika kituo cha Msimbazi Chidrens Home kilichopo Msimbazi Centre jijini Dar es Salaam leo.
Crediti manaja wa Benki ya CRDB, tawi la Water front, Isaya Lyimo akimpa maelekezo Sista wa kituo cha watoto yatima cha Msimbazi Chidrens Home kilichopo Msimbazi Centre, Sista Anna Marandu mara baada ya wafanykazi wa tawi hilo kutoa msaada wa vitu mbalimbali...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA CRDB UKIONGOZWA NA MWENYEKITI WA BODI YA CRDB .


 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikilizaMwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB Ndg. Ally Hussein Laay, akitowa maelezo ya mafanikio ya Benki ya CRDB wakati wa mazungumzo hayo na kumtambulisha Mkurugenzi Mtendaji mpya wa CRDB Ndg. Abdulmajid Mussa Nsekela, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar,13-2-2020. (Picha na Ikulu)RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi...

 

9 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI WA BENKI YA CRDB WAKISHIRIKI MICHEZO MBALIMBALI KATIKA SIKU YA FAMILIA YA CRDB


 Watoto wakifurahia michezo mbalimbali   katika viwanja vya Olasiti Garden
leo katika sherehe za siku ya familia ya CRDB ambazo  hufanyika kila mwaka
na kuhudhuriwa na familia za wafnayakazi wa benki pamoja na familia za
wateja. Malindi band ya mkoani kilimanjaro ikitumbuiza sherehe za siku ya familia ya CRDB ambazo  hufanyika kila mwaka na kuhudhuriwa na familia za wafanyakazi wa benki pamoja na familia za wateja.Mfanyakazi wa Benki ya CRDB tawi la USA akikabidhi zawadi kwa mtoto.
KWA PICHA...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani