Beyonce si mjamzito! Member wa zamani wa Destiny’s Child, Michelle Williams athibitisha
Baada ya Beyonce kupost picha mpya hivi karibuni ambayo imefanya watu wahisi labda anatoa taarifa kuwa anatarajia kupata mtoto wa pili kwa njia hiyo, member wa zamani wa kundi lao la Destiny’s Child, Michelle Williams amethibitisha kuwa Queen Bey si mjamzito. Kupitia kipindi cha ‘The View’, Michelle amesema: Michelle Williams “You know, when she was […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies03 Feb
Mpenzi wa zamani wa Wema Sepetu athibitisha kuwa ZARI ni mjamzito
Mwanamuziki maarufu nchini na sehemu nyingi za dunia – Diamond Platnumz ambaye aliwahi kuwa mpenzi wa mwanadada Wema Sepetu ameendelea kuuhakikishia ulimwengu kuwa, mpenzi wake wa sasa ZARI al-maarufu kama “The boss lady”, ni mama mtarajiwa aliyebeba ujauzito wa msanii huyo nguli nchini na kwamba hii sio project nyingine.
Huku akitumia mafumbo kwenye maneno yake ambayo wataalamu wetu wa Kiswahili ndio wametufafanulia kisanifu zaidi, Diamond aliandika
“Kileeeeeeee kinaanza kumuharibia mtu...
9 years ago
Bongo522 Sep
Baba yake na Beyonce agusia uwezekano wa ziara na album mpya ya Destiny’s Child
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BPpJiWHQYV0d-l9qZGiXWetbExokgtpEa37AuNMARjqMDL4Qxd3a9q4E-Oyl6AWy7dfulRHtVyg4gs0W2WHg2zR0mxAdElSc/JustinTimberlake600x560.png)
JUSTIN TIMBERLAKE ATHIBITISHA MKEWE KUWA MJAMZITO
9 years ago
Bongo516 Oct
Destiny’s Child kurekodi album mpya, asema baba yake Beyoncé
5 years ago
Showbiz Cheat Sheet24 Mar
Wendy Williams Heads to YouTube During Quarantine for 'The Wendy Williams Show'
5 years ago
BBCSwahili12 Jun
Thomas Thabane: Waziri Mkuu wa zamani wa Lesotho 'alilipa majambazi kumuua mke wake wa zamani''
11 years ago
TheCitizen22 Mar
Kikwete to CA: Our destiny in your hands