Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Destiny’s Child kurekodi album mpya, asema baba yake Beyoncé

Mathew Knowles amedai kuwa kundi la Destiny’s Child linaloongozwa na mwanae, Beyoncé – litarekodi album yake mpya na Michelle Williams tayari amethibitisha. Baba yake Beyoncé aliyelisimamia kundi hilo amedai kuwa mipango inaendelea kwa wasichana hao, Michelle, mwanae na Kelly Rowland, kuingia studio na kurekodi album mpya. Mathew aliliambia jarida la Heat kuwa alipokea email kutoka […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Baba yake na Beyonce agusia uwezekano wa ziara na album mpya ya Destiny’s Child

Ikiwa ni takriban miaka 10 tangu itoke album mpya ya Destiny’s Child, baba yake na Beyonce, Mathew Knowles amesema huenda kundi hilo likaungana kwa mara nyingine. Akiongea na mtandao wa The Huffington Post, Knowles ambaye bado anasimamia kazi za kundi hilo alisema mashabiki watarajie kitu. “Nina matumaini makubwa kuwa wasichana hawa watarejea na album na […]

 

10 years ago

Bongo5

Tyga atangaza tarehe ya kuachia album yake mpya ‘The Gold Album’

Baada ya rapper Tyga kuitupia lawama label yake ya Young Money (YMCMB) hivi karibuni kuwa inambania album yake kutoka, rapper huyo ametumia Twitter kutangaza tarehe ya kutoka album yake inayoitwa “The Gold Album” ambayo sasa itatoka mwezi ujao. Kupitia Twitter Tyga ameandika sasa album hiyo itatoka siku mbili kabla ya sikukuu ya Christmas Dec 23. […]

 

9 years ago

Bongo5

Davido atangaza tarehe mpya ya kuachia album yake mpya ‘Baddest’

Mwenyekiti wa label ya HKN records inayomsimamia Davido, Adewale Adeleke ambaye pia ni kaka yake ametangaza tarehe mpya ya kuachia album mpya ya star huyo wa Nigeria, ‘Baddest’ baada ya kushidwa kutoka mwezi September kama ilivyopangwa awali. Album hiyo ambayo imekuwa ikipangwa kuachiwa na kuahirishwa mara tatu, sasa itatoka Jumamosi ya October 10, 2015. Mastaa […]

 

9 years ago

Bongo5

Wizkid asema R.Kelly alimpigia simu kumwomba kufanya naye collabo kwaajili ya album yake

wizkidayoWizkid kutoka Nigeria ambaye tayari yuko jijini Dar kwaajili ya show ya leo (Oct.31), amezungumzia kuhusu mafanikio yaliyoletwa na hit song yake ‘Ojuelegba’ kimataifa. Katika mahojiano na East Africa Radio, Wizkid amesema miongoni mwa mafanikio yaliyoletwa na wimbo huo ambao Drake alivutiwa nao na kuamua kufanya Remix, ni pamoja na kumkutanisha na wasanii wengi wakubwa […]

 

10 years ago

Bongo5

One the Incredible kuzindua album yake mpya, R.A.P

Rapper One the Incredible anatarajia kufanya uzinduzi wa album yake mpya iitwayo R.A.P utakaofanyika viwanja vya posta, December 5. One ameiambia Bongo5 kuwa uzinduzi huo, utafunguliwa na kilinge ambacho kitaaza saa kumi jioni kabla ya kuanza kwa shughuli hiyo ya uzinduzi. Katika uzindizi huo kiingilio kitakuwa ni shilingi 10,000 bila album na 15,000 kwa backstage […]

 

9 years ago

Bongo5

One The Incredible kuachia album yake mpya

One Incredible

Rapper One The Incredible amesema yupo kwenye maandalizi ya kuachia album yake mpya ambayo bado hajaipa jina.

One Incredible

One ameiambia Bongo5 kuwa album hiyo ataifanya iwe bora ili kuhakikisha kuwa mashabiki wake wanapata kitu chenye ubora wa hali ya juu.

“Sasa nina nyimba 18 tayari nimesharekodi na bado ninaendelea kurekodi ndio nianze kupanga ipi itoke na ipi ibaki. Lakini najua na ninajipanga vizuri album iwe kali kila mwenye bahati ya kuwa nayo anufaike na kile nilichokifannya. Na mpaka sasa hivi...

 

9 years ago

Bongo5

Rihanna atangaza jina la album yake mpya

Hatimaye Rihanna ametangaza jina album yake ya nane. Album hiyo inaitwa Anti. Muimbaji huyo pamoja na kutaja jina la album yake, alizindua pia artwork yake usiku wa Jumatano jijini Los Angeles mbele ya umati wa watu. Cover hiyo ni picha yake akiwa mtoto kwenye siku yake ya kwanza kwenye daycare. Ameshirikiana na mchoraji aitwaye Roy […]

 

9 years ago

Bongo5

Iggy Azalea atangaza jina la album yake mpya

Hit maker wa ‘Fancy’, Iggy Azalea yuko kwenye foleni ya wasanii wanaotarajia kuachia album zao mpya hivi karibuni, na tayari ametangaza album yake itaitwa ‘Digital Distortion’. Rapper huyo wa Australia ametoa taarifa kuhusu album yake Oct.6 kupitia Twitter alipokuwa akijibu maswali ya mashabiki wake. Pia alisema kuwa single ya kwanza ya kwenye album hiyo itatoka […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani