Bheki Makhubu: Mwandishi anayesifika kwa ujasiri Swaziland
JUNI 30, mwaka huu Mahakama Kuu ya Swaziland ilimwachia huru mwandishi wa habari, Bheki Makhubu aliyekuwa anatumikia kifungo gerezani baada ya upande wa mashitaka kuamua kutokupinga uamuzi wake wa kukata rufani dhidi ya kifungo chake.
Makhubu, ambaye ni mhariri wa jarida la kila wiki la The Nation, alikamatwa na kufunguliwa mashitaka ya kuidharau mahakama na kuukashifu mfumo mzima wa mahakama nchini humo.
Mashitaka dhidi ya mwandishi wa habari huyo yalihusiana na makala aliyokuwa...
Raia Tanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi11 Sep
Sri Mulyani: Mkurugenzi wa Benki ya Dunia anayesifika kwa kupinga rushwa
10 years ago
Dewji Blog09 Dec
Ujasiri ulivyotengeneza maisha ya ushindi kwa mama wa nyumbani
Meneja Mauzo wa Serengeti Breweries Ltd Mkoa wa Morogoro Bw.Moses Bartazary (mwenye kofia) akikabidhi Funguo ya Bajaj Limo yenye uwezo wa kubeba abiria saba kwa mshindi wa kwanza wa shindano la Tutoke na Serengeti Bi Rukia Almas ambaye ni mkazi wa Kihonda na mfanyakazi katika Bar ya Kambarage iliyopo manispaa ya Morogoro.
Kwa miaka kadhaa, Rukia Almasi, mkazi wa Morogoro amekuwa akizongwa na uvumi kwamba kushiriki promosheni za bahati nasibu ni kupoteza muda, na kwamba ushindi...
10 years ago
Mwananchi16 Nov
Stars vitani kusaka heshima kwa Swaziland leo
10 years ago
MichuziPOLISI WAJIFUA TAYARI KWA MICHUANO YA MAJESHI NCHINI SWAZILAND
Picha na Maktaba ya Polisi.Na Frank Geofray wa Jeshi la Polisi.Timu za Jeshi la Polisi Tanzania zitakazoshiriki michezo ya Umoja wa Wakuu wa Majeshi ya Polisi kwa nchi za kusini mwa Afrika (SARPCCO), mwishoni mwa mwezi julai nchini Swaziland zinaendelea kujifua vyema katika kambi yao inayoendelea katika chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es Salaam (DPA). Akizungumza...
10 years ago
MichuziTaifa Stars yaendelea kujifua tayari kwa kuwakabili Swaziland
9 years ago
Bongo509 Oct
Morali ya biashara na ujasiri wa kufanya miradi mipya kwa wasanii wetu ifufuliwe!
10 years ago
TheCitizen22 Oct
Makhubu is a big media hero meriting praise deserving prais
11 years ago
MichuziMALKIA NOMSA MATSEBULA WA SWAZILAND AZURU TANZANIA KWA MWALIKO WA MKE WA RAIS MAMA SALMA KIKWETE.
Mke wa Mfalme Mswati III wa Swaziland Malkia Nomsa Matsebula akisalimiana na Mwenyekiti wa...
5 years ago
BBCSwahili07 Jun
George Floyd: Mwandishi aelezea kwa nini ilikuwa vigumu kwa yeye kutazama video ya mauaji.