BIA KINARA ONGEZEKO LA MFUMUKO WA BEI
Mfumuko wa bei wa taifa unaopimwa kwa kipimo cha mwaka umeendelea kuongezeka kutoka asilimia 6.4 Juni, mwaka huu hadi asilimia 6.5 mwezi uliopita, huku pombe aina ya bia, ikiwa ni moja ya sababu za mfumuko huo. Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Takwimu za Jamii kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Ephraim Kwesigabo, alisema hayo wakati akizungumza kuhusu mfumuko wa bei wa taifa unaopimwa kwa kipimo cha mwaka, mwezi na uwezo wa Sh. 100 katika kununua bidhaa na huduma kati ya vipindi...
KwanzaJamii
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi08 Apr
Bei za vyakula zapaa, mfumuko wa bei mwezi Machi wafikia asilimia 4.2
10 years ago
Mtanzania09 May
Mfumuko wa bei wapaa
NA EVANS MAGEGE
WAKATI thamani ya shilingi ikiendelea kuporomoka katika soko la fedha za kimataifa, mfumuko wa bei za bidhaa nao umepaa kutoka asilimia 4.3 hadi 4.5.
Taarifa iliyotolewa jana na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) kwa waandishi wa habari ilieleza kuwa mfumuko wa bei kwa mwezi Aprili mwaka huu umepaa kwa sababu ya ongezeko la bei za bidhaa za vyakula na vinywaji baridi.
Akizungumza kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Mkurugenzi wa Sensa na Takwimu za Jamii,...
11 years ago
Tanzania Daima10 Jul
Mfumuko wa bei wapungua
OFISI ya Takwimu ya Taifa imesema mfumuko wa bei wa Juni umepungua hadi asilimia 6.4 kutoka asilimia 6.5 ilivyokuwa Mei mwaka huu. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es...
11 years ago
Tanzania Daima09 Feb
Mfumuko wa bei wafikia 6%
OFISI ya Takwimu imesema mfumuko wa bei umeongezeka kutoka asilimia 5.6 hadi asilimia 6.0 kwa kipindi kilichoishia Desemba mwaka jana. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana,...
10 years ago
Mwananchi09 Feb
Mfumuko wa bei washuka
11 years ago
Tanzania Daima09 May
Mfumuko wa bei wafikia 6.3%
OFISI ya Taifa ya Takwimu imesema mfumuko wa bei kwa mwezi Aprili umeongezeka kwa kiwango cha asilimia 6.3. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Mkurugenzi wa...
11 years ago
Tanzania Daima09 Mar
Mfumuko wa bei waongezeka
OFOISI ya Taifa ya Takwimu imesema kuwa mfumuko wa bei wa bidhaa za vyakula nyumbani na migawani umeongezeka Februari hadi asilimia 6.9 ukilinganishwa na asilimia 6.6 Januari mwaka huu. Akizungumza...
10 years ago
Mwananchi09 Jan
Mfumuko wa bei wapungua nchini
11 years ago
BBCSwahili05 Jun
Hofu ya mfumuko wa bei Ulaya