Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BIASHARA KWANZA, USALAMA BAADAE....

BIASHARA KWANZA, USALAMA BAADAE: Kauli hiyo ndio inayoonekana kwa vijana hawa wanaojihusisha na biashara ndogo ndogo ya kuuza machungwa eneo la Segera, Mkoani Tanga. maana wakiona basi limesimama mahala hapo, basi hawaangalii kabisa usalama wao, bali wanavuka tu kulifata hata kama kuna magari mengine yanapita.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo Movies

JB:Ubora wa Filamu Kwanza,Pesa Baadae

Staa mkongwe wa Bongo Movies, Jacob Steven ‘JB’ amesema anachoangalia kwenye kazi yake ni kutengeneza filamu zenye ubora kuliko pesa atakayoipata kwenye mauzo ya filamu yenyewe.

jb06

Jacob Steven ‘JB’

‘’Wakati mwingine nakuwa kama kichaa nikitengeneza movie zangu siangalii namna ambavyo nitapata faida kubwa,naangalia jinsi ambavyo naweza kutengeneza kitu kizuri,naaamini katika maisha kuacha historia bora kuliko kitu chochote,hadi sasa nimeshatengeneza zaidi ya filamu 37 kutoka kwenye kampuni...

 

10 years ago

GPL

TTCL YASHINDA NAFASI YA KWANZA SEKTA YA HABARI NA MAWASILIANO MAONESHO YA 39 YA BIASHARA YA KIMATAIFA (SABASABA)

Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete (katikati) akimkabidhi tuzo ya ushindi wa kwanza katika sekta ya habari na mawasiliano Kaimu Ofisa Mtendaji Mkuu wa TTCL Bw. Jotham Lujara. Mmoja wa maofisa wa Kampuni ya TTCL (kulia) akitoa maelezo kwa mteja juu ya huduma mbalimbali zinazotolewa na kampuni hiyo ndani ya Banda la TTCL kwenye Maonesho ya 39 ya Biashara Kimataifa jana jijini Dar es Salaam. Eneo la...

 

10 years ago

Vijimambo

JESHI LA MAGEREZA LAIBUKA MSHINDI WA KWANZA KATIKA UTENGENEZAJI WA SAMANI MAONESHO YA 39 YA BIASHARA KIMATAIFA, "SABASABA", MWAKA 2015

Muonekano wa Samani za Ofisi ambazo hutengenezwa kwa Ustadi mkubwa katika Viwanda mbalimbali vinavyoendeshwa na Jeshi la Magereza zikiwa tayari zimekamilika kwa matumizi ya kiofsi kama inavyoonekana katika picha.
Na; Lucas Mboje wa Jeshi la Magereza

Jeshi la Magereza limeibuka Mshindi wa kwanza kwa upande wa Utengenezaji bidhaa za Samani kwenye Maonesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea Jijini, Dar es Salaam Maarufu "SABASABA" kwa Mwaka huu 2015.

Akizungumzia ushindi huo Kamishna...

 

11 years ago

Michuzi

JESHI LA MAGEREZA LAIBUKA MSHINDI WA KWANZA KATIKA UTENGENEZAJI BORA WA SAMANI ZA NDANI MAONESHO YA 38 YA BIASHARA YA KIMATAIFA, JIJINI DAR ES SALAAM

 Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mhe. Balozi  Seif Idd akikabidhi zawadi ya Mshindi wa kwanza kwa Kamishna wa Fedha na Utawala wa Jeshi la Magereza, Gaston Sanga. Jeshi la Magereza limeibuka Mshindi wa kwanza kwa utengenezaji wa bidhaa bora za Samani za ndani katika Maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa yanayofanyika katika Viwanja wa Mw. Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam.Maafisa na Askari wa Jeshi la Magereza wanaoshiriki katika Maonesho ya 38 ya Biashara ya...

 

9 years ago

Vijimambo

HAPA BIA TU KAZI BAADAE

John Sita na Kishai Temba wanasema badala ya kazi  hapa bia tu kiroho safi.

 

5 years ago

BBCSwahili

Hali ya watoto ya baadae ni ya utata, wataalamu waonya

Shirika la afya Duniani (WHO) linasema kuwa ''mabadiliko makubwa'' yanahitajika kabla haijafikiwa kiwango cha kutoweza kutatuliwa.

 

9 years ago

Bongo5

Kuiga muziki wa nje itatuletea athari baadae — Inspekta Haroun

Mkongwe wa Bongo fleva Inspekta Haroun amesema kuwa kitendo cha wasanii wengi wa sasa kuiga mitindo ya muziki wa nje inachangia kupoteza ladha ya muziki wetu. Inspekta ambaye anatakumbulika kwa hits kali ikiwemo ‘Mtoto Wa Geti kali’ aliyofanya akiwa Gangwe Mob, amesema wasanii wa sasa wanaimba vizuri na kufanya vizuri, lakini muziki wao una vionjo […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani