BIMAAFYA TANZANIA YACHAGULIWA KWENYE MPANGO WA KUJENGEWA UWEZO
MPANGO wa bima ya afya kwa njia ya simu za kiganjani unaolenga kaya maskini na sekta isiyokuwa rasmi ujulikanao kama BimaAfya umechaguliwa kushiriki katika mpango wa miezi mitatu wa kujengewa uwezo unaoitwa Startupbootcamp InsurTech utakaofanyika jijini London.
Kupitia Startupbootcamp InsurTech, mpango wa BimaAfya utaweza kujipatia jumla ya Euro 15,000 (sh 35.3m) kwa ajili ya uwekezaji na Euro 450,000 ( zaidi ya sh 1bn) kwa ajili ya huduma mbali mbali kwenye utekelezaji wake.
Zaidi mawazo ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima15 Jul
Wajasiriamali kujengewa uwezo
SERIKALI kupitia Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC), itaendelea kutoa mafunzo ya wafanyabiashara wadogo na wakati (SMEs) ili kuboresha uhusiano wao kibiashara na wafanyabishara wakubwa na makampuni. Kauli hiyo ilitolewa na...
11 years ago
Tanzania Daima14 Jul
Wajasiriamali nchini kujengewa uwezo
SERIKALI kupitia Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC), itaendelea kutoa mafunzo ya wafanyabiashara wadogo na wakati (SMEs) ili kuboresha uhusiano wao kibiashara, wafanyabishara wakubwa na makampuni. Kauli hiyo ilitolewa na Waziri...
11 years ago
MichuziWajasiriamali nchini kujengewa uwezo zaidi-Dr Nagu
9 years ago
StarTV26 Dec
Mapambano dhidi ya Ukimwi Kamati za Shehia zatakiwa kujengewa uwezo
Uwezeshaji wa kamati za shehia na kuzijengea uwezo katika kupambana na udhalilishaji wa kijinsia na mapambano ya vitendo vinavyosababisha maambukizi ya virusi vya ukimwi ni njia muhimu inayoweza kuiepusha jamii na majanganga yanayowaathiri zaidi vijana.
Uundaji wa kamati katika shehia na ufuatiliaji unahitajika ili kuishirikisha jamii moja kwa moja hasa ikizingatiwa kuwa pamoja na jitihada za wadau mbalimbali juu ya matatizo hayo bado yanaendelea kwa kasi.
Shehiya ya Koani iliopo wilaya ya...
11 years ago
Dewji Blog21 Jul
RC na RAS nchini kujengewa uwezo na kuhuisha uhai wa utekelezaji wa majukumu yao
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ally Idd akifungua mafunzo ya Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala Mikoa nchini leo jijini Dar es salaam.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Hawa Ghasia akimpongeza Mgeni Rasmi Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ally Idd na mara baada ya kufungua mkutano wa mafunzo ya Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala Mikoa nchini leo jijini Dar es salaam.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ally Idd akiteta jambo na Waziri wa Nchi Ofisi...
5 years ago
MichuziASKARI ZIMAMOTO KIWANJA CHA NDEGE DODOMA KUJENGEWA UWEZO KATIKA KUKABILIANA NA MAJANGA
Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi wa Zimamoto na Uokoaji (ACF) Gilbert Mvungi, akizungumza na Maafisa na Akari wa Jeshi hilo wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya siku tano ya kuwajengea uwezo Maafisa na Akari wa Kiwanja cha Ndege Jijini Dodoma. Mafunzo hayo yanafanyika katika Ofisi za Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Kiwanja cha Ndege jijini Dodoma na kuratibiwa na Mamlaka ya Viwanja vya Ndege nchini (TAA) kwa kushirikiana na Jeshi la...
9 years ago
MichuziTANZANIA YACHAGULIWA NA UNESCO KUWA MJUMBE WA KAMATI YA URITHI WA DUNIA
10 years ago
VijimamboTANZANIA YACHAGULIWA MJUMBE WA BARAZA LA SHIRIKA LA HALI YA HEWA DUNIANI
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dkt. Agnes Kijazi (mwenye suti nyeusi) akiongoza ujumbe wa Tanzania kwenye Mkutano Mkuu wa 17 wa Shririka la Hali ya Hewa Duniani unaofanyika Mjini Geneva, Uswisi. Wengine katika picha ni Mkurugenzi wa Ushirikiano wa Kimataifa katika Wizara ya Mambo ya Nje, Balozi Celestine Mushy (Kulia)
TANZANIA YACHAGULIWA KUWA MJUMBE KATIKA BARAZA LA UTENDAJI (EXECUTIVE COUNCIL) LA SHIRIKA LA HALI YA HEWA DUNIANI–WORLD METEOROLOGICAL ORGANIZATION...
9 years ago
Dewji Blog24 Nov
Tanzania yaula UNESCO yachaguliwa kuwa mjumbe wa kamati ya Urithi Dunia!
Katibu Mkuu wa Wizara ya Utalii na Maliasili, Dk. Adelhelm Meru akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani juu ya Tanzania kupata nafasia hiyo kutoka UNESCO kuwa mjumbe wa urithi wa Dunia kwa kipindi cha miaka minne.
Nafasi hiyo ni baada ya uchaguzi uliofanyika hivi karibuni jijini Paris, Ufaransa Makao makuu ya UNESCO.
Mkurugenzi Msaidizi Mafunzo na takwimu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Bi Eliwasa Maro akitoa ufafanuzi wa nafasi hiyo kwa waandishi wa habari (hawapo...