Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TANZANIA YACHAGULIWA NA UNESCO KUWA MJUMBE WA KAMATI YA URITHI WA DUNIA

 Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Adelhelm Meru akizungumza na Waandishi wa Habari (hawako pichani) leo tarehe 23/11/2015 katika Ofisi za Wizara hiyo ambapo amesema kuwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imechaguliwa kuwa Mjumbe wa Kamati ya Urithi wa Dunia kwa kipindi cha miaka minne. Uchaguzi huo umefuatia uamuzi wa Mkutano Mkuu wa 20 wa nchi Wanachama wa Mkataba wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) unaohusu Urithi wa Dunia uliofanyika mjini...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Tanzania yaula UNESCO yachaguliwa kuwa mjumbe wa kamati ya Urithi Dunia!

IMG_1417

Katibu Mkuu wa Wizara ya Utalii na Maliasili, Dk. Adelhelm Meru akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani juu ya Tanzania kupata nafasia hiyo kutoka UNESCO kuwa mjumbe wa urithi wa Dunia kwa kipindi cha miaka minne.

Nafasi hiyo ni baada ya uchaguzi uliofanyika hivi karibuni jijini Paris, Ufaransa Makao makuu ya UNESCO.

IMG_1413

Mkurugenzi Msaidizi Mafunzo  na takwimu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Bi Eliwasa Maro akitoa ufafanuzi wa nafasi hiyo kwa waandishi wa habari  (hawapo...

 

10 years ago

Dewji Blog

Tanzania yachaguliwa kuwa mwenyekiti wa kamati ya mawaziri wa fedha, uchumi na mipango ya nchi wanachama wa (AU) na kamisheni ya (ECA)

DSC_0196

Tanzania imechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa kamati ya Watalaam wa Fedha,Uchumi na Mipango kwa nchi wanachama wa Umoja wa Afrika (AU) na Kamisheni ya Uchumi ya Afrika (ECA) kwa kipindi cha mwaka mmoja. Uchaguzi huo ulifanyika baada ya ufunguzi wa kikao cha Kamati ya watalaam wa Fedha,Uchumi na Mipango ambacho kinaendelea Mjini Addis Ababa –Ethiopia. Kabla ya uteuzi huo nafasi hiyo ya Mwenyekiti ilikuwa inashikiliwa na Nigeria. Ukanda wa nchi za Mashariki mwa Afrika ulipewa nafasi ya kuwa...

 

10 years ago

Vijimambo

TANZANIA YACHAGULIWA MJUMBE WA BARAZA LA SHIRIKA LA HALI YA HEWA DUNIANI


Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dkt. Agnes Kijazi (mwenye suti nyeusi) akiongoza ujumbe wa Tanzania kwenye Mkutano Mkuu wa 17 wa Shririka la Hali ya Hewa Duniani unaofanyika Mjini Geneva, Uswisi. Wengine katika picha ni Mkurugenzi wa Ushirikiano wa Kimataifa katika Wizara ya Mambo ya Nje, Balozi Celestine Mushy (Kulia) 
TANZANIA YACHAGULIWA KUWA MJUMBE KATIKA BARAZA LA UTENDAJI (EXECUTIVE COUNCIL) LA SHIRIKA LA HALI YA HEWA DUNIANI–WORLD METEOROLOGICAL ORGANIZATION...

 

10 years ago

Michuzi

SERIKALI YA TANZANIA NA UNESCO KUADHIMISHA WIKI YA UKOMBOZI WA BARA LA AFRIKA NA KUZINDUA MRADI WA NYARAKA ZA URITHI WA TANZANIA

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kushirikiana na Shirika la Umoja wa Mataifa linalo shughulikia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) itaadhimisha Wiki ya Ukombozi wa Bara la Afrika kuanzia tarehe 25 hadi 29 Mei, 2015 kwa kufanya maonesho ya picha na kumbukumbu mbalimbali zinazoonesha na kuelezea harakati za ukombozi wa bara la Afrika pamoja na midahalo mbalimbali itakayowahusisha wasomi na baadhi wa watu mashuhuri walioshiriki katika harakati za ukombozi. Maadhimisho hayo...

 

10 years ago

Michuzi

TANZANIA IMECHAGULIWA KUWA MJUMBE KATIKA BARAZA LA UTENDAJI LA WMO,GENEVA USWISI.

Dr. Kijazi amechaguliwa tarehe 4 June 2015 bila kupingwa wakati wa Mkutano Mkuu wa kumi na saba wa Shirika la Hali ya Hewa Duniani (WMO-Congress wa 17) ulioanza tarehe 25 Mei ambao unatarajiwa kumalizika tarehe 12 Juni, 2015 jijini Geneva, Uswisi.
Kuchaguliwa kwa Dr. Agnes Kijazi kumetokana na jitihada kubwa za Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa kupitia Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa na Ubalozi wetu wa Kudumu Umoja wa Mataifa, Geneva.


Dr. Kijazi anaongoza ujumbe wa Tanzania...

 

11 years ago

Habarileo

Magofu Kilwa yarejeshewa Urithi wa Dunia

MAGOFU ya Kilwa Kisiwani na Songo Mnara yaliyokuwa yamewekwa katika orodha ya Urithi wa Dunia ulio hatarini kutoweka, yamerudishiwa hadhi yake ya awali ya Urithi wa Dunia.

 

10 years ago

Mwananchi

‘Misitu ya tao la Mashariki iwe urithi wa dunia’

Shirika la Kuhifadhi Misitu (TFCG) limemwomba Rais Jakaya Kikwete kurejesha mchakato wa kuingiza misitu ya Tao la Mashariki katika urithi wa dunia ili ipewe kipaumbele katika uhifadhi wake.

 

11 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA WIZARA YA HABARI AZUNGUMZA NA KAMATI YA URITHI WA UKOMBOZI WA BARA LA AFRIKA

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga akiongea na Kamati ya Uongozi wa Programu ya Urithi wa Ukombozi wa Bara la Afrika jijini Dar es Salaam leo. Mshauri kutoka UNESCO Dr. Daniel Ndagala akiwaelezea wajumbe juu ya Umuhimu wa Programu ya Urithi wa Ukombozi wa Bara la Afrika jijini Dar es Salaam Leo. (Picha zote na Benjamin Sawe wa WHVUM)

 

10 years ago

Vijimambo

MJUMBE WA KAMATI KUU YA CCM NA MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT. BILAL AONGOZA MAADHIMISHO YA MIAKA 38 YA CCM DAR ES SALAAM

 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea CD yenye mashairi  maalum ya kukipongeza chama cha Mapinduzi CCM kwa kutimiza miaka 38 tangu kuanzishwa kwake kutoka kwa msanii Ahmad Amour Nyangany, kwenye maadhimisho ya miaka 38 ya CCM yajiyofanyika jana kwenye uwanja wa Tawi la CCM Mwinjuma Kinondoni Dar es salaam. Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani