Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Binti apambana na mamba kwa dk. 30, amwokoa mamaye

MTOTO wa kike mwenye umri wa miaka tisa ameonesha ujasiri wa kipekee kwa kumwokoa mama yake mzazi, Magreth Ibrahim (50) kuuawa na mamba baada ya kupambana na mnyama huyo kwa zaidi ya nusu saa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Apambana na Mamba aliyemla mkewe,Uganda

Mwanaume aliyepambana na Mamba,kulipiza kisasi aitwa Shujaa

 

10 years ago

Habarileo

Apambana na mamba zaidi ya nusu saa

MWENYEKITI wa Kamati ya Shule ya Msingi Udasi mwambao mwa Ziwa Tanganyika, kata ya Kabwe wilayani Nkasi mkoani Rukwa, Ismail Ndomboya (42) amenusurika kuuawa na mamba kwa kupambana kijasiri na mnyama huyo kwa zaidi ya nusu saa.

 

10 years ago

Vijimambo

APAMBANA NA MAMBA ALIYEMLA MKEWE HI NI HUKO UGANDA

Mamba anaelezwa kuwa na uzito wa kilo 600
Miezi minne iliyopita, Demeteriya Nabire aliliwa na mamba alipokwenda mtoni karibu na makazi yake kuchota maji. Mnyama huyu alirudi tena baaae katika eneo lilelile na kumkuta mume wa Nabire anasubiri, tayari kwa kulipa kisasi.Demeteriya Nabire alikuwa kwenye kingo za mto akiwa na wanawake wengine kutoka kwenye Kijiji anachoishi, walikuwa wakichota maji kutoka katika Mto Kyoga nchini Uganda, Mamba alifika na kumnyaka.alimburuza kisha mwanamama huyu...

 

9 years ago

Dewji Blog

Mh.Lukuvi apambana na migogoro ya Ardhi kwa vitendo DAR ES SALAAM

1Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi akiongea na wananchi wa Dar es salaam waliokuja kuwasilisha malalamiko yao kuhusu migogoro ya ardhi, kulia ni naibu wake Mhe. Angela kairuki na Kamishna wa Ardhi Msaidizi kanda ya Dar es salaam Methew Nhonge, kushoto ni Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Dkt.  Selasie Mayunga na Kamishna wa Ardhi Tanzania Dkt. Moses Kusiluka

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi akutana na wananchi wa Dar es salaam...

 

9 years ago

Mwananchi

Mbunge Chadema amwokoa mwenyekiti CCM

Mbunge wa Serengeti (Chadema), Marwa Ryoba amemnusuru Mwenyekiti wa Serikali ya Kijiji cha Merenga (CCM), Mathias Kibuko mikononi mwa nguvu ya umma, baada ya kumlipia Sh100,000 anazotuhumiwa kutafuna kwa kuuza mifugo ya wananchi aliyoikamata.

 

9 years ago

BBCSwahili

Kwa Picha: Ndovu dhidi ya mamba

Ndama wa tembo alinusurika kibahati baada ya kuvamiwa na mamba akinywa maji nchini Zimbabwe.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mume ajilipiza kisasi kwa kuua mamba

Yapata miezi minne sasa Demeteriya Nabire alipouawa na mamba wakati alipokwenda ziwani kwa ajili ya kwenda kuteka maji

 

10 years ago

Vijimambo

Mtoto albino aliyenyang'anywa mikononi mwa mamaye akutwa amekatwa miguu, mikono yote. Kiwiliwili chake chatelekezwa msituni


Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Joseph Konyo.

Siku tatu baada ya mtoto mwenye ulemavu wa ngozi (albino), Yohana Bahati (1), kutekwa na watu wasiofahamika, hatimaye mwili wake umepatikana ukiwa umekatwa miguu, mikono yote na kiwiliwili chake kufukiwa shambani katika Kitongoji cha Mapinduzi, Kijiji cha Rumasa ndani ya hifadhi ya msitu wa Biharamulo Wilaya ya Chato, mkoani Geita.

Mtoto huyo alinyakuliwa Jumapili iliyopita nyumbani kwao saa 2:15 usiku akiwa amebebwa na mama yake mzazi, Esther...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani