Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kwa Picha: Ndovu dhidi ya mamba

Ndama wa tembo alinusurika kibahati baada ya kuvamiwa na mamba akinywa maji nchini Zimbabwe.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

BALOZI WA CHINA NCHINI APONGEZA MSIMAMO WA TANZANIA DHIDI YA BIASHARA HARAMU YA PEMBE ZA NDOVU

Mkurugenzi wa Idara ya Asia na Australasia, Balozi Mbelwa Kairuki akizungumza na Balozi wa China nchini Tanzania, Mhe. Lu Youqing alipofika Wizarani tarehe 10 Novemba, 2014 kwa mazungumzo. Katika mazungumzo yao Mhe. Lu aliishukuru na kuipongeza Serikali ya Tanzania kwa msimamo wake kuhusu tuhuma dhidi yake na China kuhusu biashara haramu ya pembe za ndovu na pia alisifu   jitihada za Serikali ya Tanzania katika kupambana na biashara hiyo na kusema China inaunga mkono jitihada hizo na ipo...

 

11 years ago

CloudsFM

PICHA 9 ZIKIONESHA CHUI AKIENDA KUMLA MAMBA BAADA YA KUMVIZIA NA KUMZIDI NGUVU

Chui aina ya 'Jaguar' akimnyemelea mamba katika mto Cuiaba nchini Brazil.Chui huyo akimkaribia mamba aliyekuwa akila upepo nje ya maji....Mamba akiwa hana hili wala lile.Chui akimshambulia mamba huyo.Mamba akizidi kushambuliwa na chui.Mamba hoi kwa chui huyo.Chui akitokomea na mamba huyo baada ya kumzidi nguvu.

 

5 years ago

BBCSwahili

Zoom yashtakiwa na Kanisa baada ya mafunzo ya bibilia kuvamiwa kwa picha za ngono dhidi ya watoto

Mvamizi adukua mkutano wa mafundisho ya bibilia na kuonyesha picha mbaya zinazoonyesha watoto wakinyanyaswa.

 

10 years ago

Habarileo

Binti apambana na mamba kwa dk. 30, amwokoa mamaye

MTOTO wa kike mwenye umri wa miaka tisa ameonesha ujasiri wa kipekee kwa kumwokoa mama yake mzazi, Magreth Ibrahim (50) kuuawa na mamba baada ya kupambana na mnyama huyo kwa zaidi ya nusu saa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mume ajilipiza kisasi kwa kuua mamba

Yapata miezi minne sasa Demeteriya Nabire alipouawa na mamba wakati alipokwenda ziwani kwa ajili ya kwenda kuteka maji

 

11 years ago

BBCSwahili

Hatari kwa usalama wa Ndovu

Mkutano wa kimataifa kuhusu masilahi ya wanyamapori, ulifanyika mjini London siku ya Alhamisi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kortini kwa pembe za ndovu

WAKAZI wawili wa Tabata, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam kwa makosa ya kukutwa na meno ya tembo ya sh. milioni 275.5 bila kibali. Mbele...

 

11 years ago

Mwananchi

Kizimbani kwa pembe za ndovu za Sh5 bilioni

Wafanyabiashara wawili wakazi wa Dar es Salaam wamepandishwa kizimbani mbele ya Hakimu Frank Moshi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jana na kusomewa mashtaka matatu ya kufanya biashara ya pembe za ndovu zenye thamani ya zaidi ya Sh5.4 bilioni.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani