APAMBANA NA MAMBA ALIYEMLA MKEWE HI NI HUKO UGANDA
Mamba anaelezwa kuwa na uzito wa kilo 600
Miezi minne iliyopita, Demeteriya Nabire aliliwa na mamba alipokwenda mtoni karibu na makazi yake kuchota maji. Mnyama huyu alirudi tena baaae katika eneo lilelile na kumkuta mume wa Nabire anasubiri, tayari kwa kulipa kisasi.Demeteriya Nabire alikuwa kwenye kingo za mto akiwa na wanawake wengine kutoka kwenye Kijiji anachoishi, walikuwa wakichota maji kutoka katika Mto Kyoga nchini Uganda, Mamba alifika na kumnyaka.alimburuza kisha mwanamama huyu...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili04 Feb
10 years ago
Habarileo16 Mar
Apambana na mamba zaidi ya nusu saa
MWENYEKITI wa Kamati ya Shule ya Msingi Udasi mwambao mwa Ziwa Tanganyika, kata ya Kabwe wilayani Nkasi mkoani Rukwa, Ismail Ndomboya (42) amenusurika kuuawa na mamba kwa kupambana kijasiri na mnyama huyo kwa zaidi ya nusu saa.
10 years ago
Habarileo18 May
Binti apambana na mamba kwa dk. 30, amwokoa mamaye
MTOTO wa kike mwenye umri wa miaka tisa ameonesha ujasiri wa kipekee kwa kumwokoa mama yake mzazi, Magreth Ibrahim (50) kuuawa na mamba baada ya kupambana na mnyama huyo kwa zaidi ya nusu saa.
10 years ago
Bongo509 Dec
Rapper amuua mkewe na kujiua, mkewe alimsaliti na Trey Songz, Mayweather ashuhudia tukio zima la mauaji!
10 years ago
Mwananchi22 Mar
Tundu Lissu apambana dakika 125
9 years ago
VijimamboLUKUVI APAMBANA NA MIGOGORO YA ARDHI DAR ES SALAAM
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-mqVcGHdqQSI/VgIwwd4vLUI/AAAAAAAH63Q/G9mCzFiyNPY/s72-c/unnamed%2B%25281%2529.jpg)
WAZIRI LUKUVI APAMBANA NA MIGOGORO YA ARDHI DAR ES SALAAM
![](http://2.bp.blogspot.com/-mqVcGHdqQSI/VgIwwd4vLUI/AAAAAAAH63Q/G9mCzFiyNPY/s640/unnamed%2B%25281%2529.jpg)
9 years ago
Dewji Blog23 Sep
Mh.Lukuvi apambana na migogoro ya Ardhi kwa vitendo DAR ES SALAAM
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi akiongea na wananchi wa Dar es salaam waliokuja kuwasilisha malalamiko yao kuhusu migogoro ya ardhi, kulia ni naibu wake Mhe. Angela kairuki na Kamishna wa Ardhi Msaidizi kanda ya Dar es salaam Methew Nhonge, kushoto ni Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Dkt. Selasie Mayunga na Kamishna wa Ardhi Tanzania Dkt. Moses Kusiluka
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi akutana na wananchi wa Dar es salaam...
11 years ago
Mwananchi22 Jun
Jasiri wa kulishana na mamba
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10