Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Binti wa Mtemvu hakubebwa Miss Chang’ombe’

MRATIBU wa shindano la Miss Chang’ombe 2014, Tom Chilala, amesema hakukuwa na upendeleo wowote wa kumtangaza mtoto wa Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu, Sitti Mtemvu, kuwa malkia wa kitongoji hicho....

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

SITTI MTEMVU KUVUA LA TEMEKE, CHANG’OMBE

Stori: Mwandishi Wetu
HAIJAKAA sawasawa! Siku chache baada ya Sitti Abbas Mtemvu (25) kujivua taji la Miss Tanzania 2014 kwa madai ya kusakamwa na vyombo vya habari kuhusu umri wake, wadau wamemwangushia uwajibikaji  mwingine wakimtaka avue mataji mengine mawili. Aliyekuwa Miss Tanzania 2014 Sitti Abbas Mtemvu. Baadhi ya wadau wa sanaa waliozungumza na Risasi Mchanganyiko Jumatatu iliyopita jijini Dar walisema kama...

 

10 years ago

Bongo5

YP kuagwa TCC Chang’ombe na kuzikwa kesho (Oct 22) katika makaburi ya Chang’ombe

Msanii wa kundi la Wanaume Family YP aliyefariki usiku wa kuamkia leo kwa ugonjwa wa kifua, anatarajiwa kuagwa kesho (October 22) kwenye viwanja vya TCC Chang’ombe na baada ya hapo atazikwa katika makaburi ya Chang’ombe karibu na maduka mawili. Akizungumza ba BONGO 5 jioni hii, kiongozi wa kundi la TMK Wanaume Family amesema mpaka sasa […]

 

11 years ago

Michuzi

MO MUSIC KUTUMBUIZA MISS CHANG'OMBE


Warembo wanaowania taji la  Miss Chang'ombe wakiwa katika pozi, shindano hilo litafanyika Juni 27 katika ukumbi wa TCC Chang'ombe jijini Dar es Salaam.    Na Mwandishi Wetu
MKALI wa kibao cha Basi Nenda Moshi Katemi 'Mo Music' anatarajia kutumbuiza katika shindano la kanda ya Temeke, litakalofanyika Julai 27, katika ukumbi wa TCC Club Chang’ombe. Mo Music ambae anatamba na kibao hicho atakuwa sambamba na bendi ya Ruvu Stars, mchekeshaji nyota na msanii wa muziki Mussa 'Kitale' na...

 

11 years ago

Michuzi

REDD'S MISS CHANG'OMBE ZAWADI ZA WASHINDI ZATANGAZWA

 Mratibu wa Shindano la kumtafuta mrembo wa Redd's Miss Chang'ombe, Tom Chilala (katikati), akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, leo wakati wa kuitangaza zawadi za washindi. Kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Marie Stopes, Dk. Jophn Bosco na Ofisa Uhusiano  wa TV1, Mponjoli Katule.   Warembo wa shindano la Redd's Miss Chang'ombe wakiwa katika picha ya pamoja na wadhamini wa shindano hilo, wasanii watakaotoa burudani siku ya fainali.   Mkuu wa Kitengo cha...

 

10 years ago

Michuzi

Miss Temeke 2014 apatikana usiku huu,TCC Club Chang'ombe jijini Dar

Mshindi wa taji la Miss Temeke 2014,Sitti Mtemvu akipungia mkono mara tu baada ya kutangazwa rasmi kuwa ndie aliestahili kupata taji hilo katika shindano lililomalizika usiku huu kwenye Ukumbi wa TCC Club,Chang'ombe jijini Dar es salaam.Kushoto ni Mshindi wa pili,Salama Saleh na kulia ni Mshindi wa tatu,Neema Mollely.
Miss Temeke 2014,Sitti Mtemvu akiwa ni mwenye tabasamu zito mara baada ya kutwaa taji hilo usiku huu.Mwanalibeneke Othman Michuzi akimvisha taji la Michuzi Blog Miss Photogenic...

 

10 years ago

Michuzi

Redd's Miss Temeke kujulikana ijumaa ndani ya TCC Club,Chang'ombe, jijini Dar es Salaam.

 Warembo watakaoshiriki mashindano ya Redd's  Miss Temeke, wakiwa katika picha ya pamoja na Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Khalid Mohamed (TID), anayemiliki bendi ya  Top in Town,itakayotoa burudani katika mashindano hayo.Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Khalid Mohamed (TID), anayemiliki bendi ya  Top in Town, akielezea katika mkutano na waandishi wa habari, katika  klabu ya City Sports & Lounge jinsi alivyojiandaa kutoa burudani katika mashindano ya Redd's Miss Temeke yatakayofanyika...

 

11 years ago

GPL

REDD'S MISS CHANG'OMBE ZAWADI ZA WASHINDI ZATANGAZWA

Mratibu wa Shindano la kumtafuta mrembo wa Redd's Miss Chang'ombe, Tom Chilala (katikati),akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, leo wakati wa kuitangaza zawadi za washindi. Kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Marie Stopes, Dk. Jophn Bosco na Ofisa Uhusiano  wa TV1, Mponjoli Katule.…

 

10 years ago

Mwananchi

YP kuzikwa leo makaburi ya Chang’ombe

Msanii wa kundi la muziki la TMK Wanaume Family, Yesaya Ambikile ‘YP’ amefariki dunia usiku wa kuamkia jana katika Hospitali ya Temeke alikokuwa amelazwa akipatiwa matibabu ya kifua.

 

10 years ago

Vijimambo

JUBILEE YA MIAKA 50 YA MSONDO NGOMA , TCC CHANG’OMBE

 Bendi Kongwe ya Muziki wa Dansi hapa nchini iliyodumu kwa miaka 50 toka kuanzishwa kwake mwaka 1964,Msondo Ngoma Music Band imesherehekea jubilei yake hiyo iliyofanyika Novemba 1,2014 katika viwanja vya TCC Club,Chang'ombe jijini Dar es Salaam na kuwakutanisha mashabiki wake lukuki kutoka sehemu mbali mbali.
Mgeni Rasmi katika Sherehe hizo ya kusherehekea Jubilei ya miaka 50 ya Bendi ya Msondo Ngoma,alikuwa ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo,Prof. Elisante...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani