Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BODABODA ACHINJWA KWENYE FUMANIZI

HATARI! Wimbi la mauaji yanayohusishwa na matukio ya mafumanizi yanazidi kushika kasi mkoani hapa ambapo mwishoni mwa wiki iliyopita dereva mwingine wa bodaboda aliyetajwa kwa jina moja la Kambi (33), anadaiwa kuchinjwa na kufa papohapo huku kifo chake kikihusishwa na matukio hayo. Marehemu Kambi enzi za uhai wake. Tukio hilo lilitokea juzikati majira ya saa 11:00 alfajiri ambapo mwili wa bodaboda huyo uliokotwa maeneo ya...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

BODABODA ACHINJWA-KISARAWE II KIGAMBONI

Bi. Sakina, ambaye ni mama mzazi wa John Thobias akiweka shada la maua kwa uchungu. Katekista Millinga akiweka msalaba. Jeneza likiwa ndani ya…

 

10 years ago

Michuzi

MADEREVA WA BODABODA WAENDELEA KUSAJILIWA KWENYE MFUMO MAALUM WA KUMBUKUMBU


 Waendesha bodaboda mkoani Mbeya wakiwa katika maandamano kuelekea kwenye Uwanja wa CCM Iromba kwenye uzinduzi wa mradi wa kuwasajili na kuwapatia sare maalumu za kuwatumbua.


 Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Mh. Nyerembe Mnase akihutubia hadhira kubwa ya waendesha bodaboda katika uzinduzi wa mradi wa kuwasajili katika mfumo wa kumbumbuku pamoja na kuwapatia sare maalumu.


 Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Kampuni ya Matangazo na Masoko ya Alternative Communications Bw. Edward Mgaya akizungumza na hadhira...

 

10 years ago

Michuzi

JAMBO LEO YAICHABANGA BODABODA FC TAMASHA LA BODABODA UKONGA

 Mlinda mlango Maganga Benjamin wa timu ya Bodaboda Wilaya ya Ilala, akiudaka mpira katikati ya wachezaji wa timu ya Jambo Leo 'Wagumu Stars' Zahoro Mlanzi (kushoto) na Ali Salum wakati wa Tamasha la Bodaboda lililofanyika kwenye Uwanja wa Ukonga Gerezani, Dar es Salaam. Mgeni rasmi katika tamasha hilo alikuwa Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa. Jambo Leo ilishinda mabao 2-1. Moja ya kizazaa langoni mwa Bodaboda FC iliyosababishwa na washambuliaji wa Jambo Leo Mshambuliaji wa timu ya...

 

9 years ago

Habarileo

Mfanyabiashara achinjwa Maswa

MFANYABIASHARA mmoja, Robert Dwese (43), mkazi wa Biafra Maswa Mjini ameuawa kwa kukatwa na kitu chenye ncha kali shingoni na usoni na kufa papo hapo.

 

11 years ago

Habarileo

Achinjwa kwa imani za kishirikina

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Katavi, Dhahiri KidavashariMKAZI wa Kijiji cha Kakese-Mkwajuni, wilayani Mpanda, Shoma Salum (78) ameuawa kwa kuchinjwa kwa kile kinachodaiwa ni kutokana na imani za kishirikina.

 

11 years ago

Habarileo

Binti achinjwa kama kuku

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, Geofrey KamwelaWATU wasiojulikana wilayani Manyoni wamemchinja mithili ya kuku binti mmoja anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 16.

 

9 years ago

GPL

DENTI ACHINJWA, ATOLEWA UTUMBO!

Inatisha! Kijana anayedaiwa ni denti wa sekondari aliyetajwa kwa jina la Manka Omari (19), mkazi wa Golani-Kimara jijini Dar, anadaiwa kuuawa kikatili kwa kuchinjwa na kutolewa utumbo na watu wenye hasira kali akituhumiwa kupora simu kutoka kwa mtu. Marehemu Manka Omari enzi za uhai wake. Tukio hilo lililozizima maeneo hayo lilitokea usiku wa manane wa kuamkia Agosti 31, mwaka huu ambapo awali inaelezwa kuwa Manka alipoteza simu...

 

10 years ago

GPL

MWALIMU ACHINJWA KAMA KUKU

Stori  stori: Mwandishi Wetu MARA
HUZUNI, vilio, majonzi vilitawala kwa wakazi wa Kiabakari na vitongoji vyake kufuatia Mwalimu Alfred Ghozi (26) (pichani) wa Shule ya Sekondari ya Kukirango iliyopo Kata ya Kukirango, Halmashauri ya Butiama mkoani Mara kukutwa amechinjwa kama kuku kwa kutumia panga, Uwazi lina mkasa wote. Mama wa marehemu Alfred Ghozi (26) akihuzunika kumpoteza mwanaye. Tukio hilo la kutisha lilijiri...

 

9 years ago

Habarileo

Mkuu wa Upelelezi TANAPA achinjwa

POLISI mkoani Arusha imewatia mbaroni watu wawili wanaohusishwa na tukio la kuuawa kinyama kwa kuchinjwa shingo kwa Mkuu wa Idara ya Upelelezi ya Ulinzi wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA), Stephen Kisamo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani