Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Boko Beach Veterans wamkabidhi zawadi Mchezaji bora wa Mwezi

Mwenyekiti wa Boko Beach Veterans (BBV),Danny Ole a.k.a Aguero (kushoto) akimkabidhi zawadi Mchezaji bora wa Mwezi,Richard Mwandya,baada ya kuonyesha kiwango kizuri kwa kipindi chote cha mwezi Februari 2015.Zawadi hutolewa na mdau mkubwa wa soka nchini na mmiliki wa maduka ya Zizzou Fashion, Othman Tippo Shabani (picha ya chini mwenye jezi nyeupe kati).

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Boko Beach Veterans wamkabidhi zawadi Mchezaji bora wa Mwezi Oktoba 2015

Mwenyekiti wa Timu ya Boko Beach Veterans (BBV), Danny Ole a.k.a Aguero (wa nne toka kushoto) akimkabidhi zawadi ya mpira Mchezaji bora wa Mwezi Oktoba, Henry Horombe (wa nne toka kulia), baada ya kuonyesha kiwango kizuri kwa kipindi chote cha mwezi mwezi huo 2015. Zawadi hizo hutolewa na mdau mkubwa wa soka nchini na mmiliki wa maduka ya Zizzou Fashion, Othman Tippo Shaaban ambaye nae ni mwanachama wa timu hiyo.Sehemu ya wachezaji wa Timu ya Boko Beach Veterans (BBV) wakimpongeza mchezaji...

 

10 years ago

Michuzi

MCHEZAJI BORA WA MWEZI "SURE BOY" AKABIDHIWA ZAWADI YAKE

KIUNGO mkabaji wa Azam FC, Salum Abubakar”Sure Boy”aliyeibuka Mchezaji Bora wa Oktoba juzi alikabidhiwa zawadi ya shilingi milioni 1/= na kombe dogo Makabidhiano hayo yalifanyika muda mfupi kabla ya mechi ya raundi ya saba kati ya mabingwa watetezi Azam FC na Costal Union katika mechi ya ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara iliyochezwa nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam katika uwanja wa Chamanzi, ambapo Azam FC waliichapa Coastal Union 2-1. Akizungumza na gazeti hili jijini Dar es Salaam...

 

10 years ago

Michuzi

VODACOM WATOA ZAWADI KWA MCHEZAJI BORA WA MWEZI

 Mkuu wa Wilaya ya Mbeya mjini Dr. Norman Sigela(mwenye suti nyeusi)pamoja na Mchezaji bora wa Mwezi wa Septemba wa Ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara Anthony Matogolo wa timu ya Mbeya City(kushoto)wakionesha hundi yenye thamani ya Tsh Milioni 1/= kwa mashabiki wa timu yake mara baada ya kukabidhiwa rasmi na  Mkuu wa wilaya hiyo kwa niaba ya wadhamini wakuu wa ligi kuu Vodacom Tanzania hapo jana kabla ya mechi kuanza baina ya timu Mbeya City na  Azam FC,Ambapo Azam FC iliilaza Mbeya City kwa...

 

10 years ago

Vijimambo

MCHEZAJI BORA WA MWEZI "SURE BOY" AKABIIDHIWA ZAWADI YAKE‏

Kaimu Katibu Mtendaji wa Bodi ya Ligi Syephen Mguto (kulia) akimkabidhi tuzo Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya Vodacom kwa mwezi Oktoba,Abubakar Salum "Sure Boy" katika sherehe iliyofanyika kwenye uwanja wa Azam, Chamazi jijini Dar esSalaam jana.Afisa Udhamini na Matukio wa Vodacom Tanzania, Ibrahim Kaude (kulia) akimkabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni 1/=mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya Vodacom kwa mwezi Oktoba, Abubakar Salum "Sure Boy" katika sherehe iliyofanyika kwenye uwanja wa Azam eneo...

 

10 years ago

GPL

VODACOM WATOA ZAWADI KWA MCHEZAJI BORA WA MWEZI‏

Mkuu wa Wilaya ya Mbeya mjini Dr. Norman Sigala(mwenye suti nyeusi)pamoja na Mchezaji bora wa Mwezi wa Septemba wa Ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara Anthony Matogolo wa timu ya Mbeya City (kushoto)wakionesha hundi yenye thamani ya Tsh Milioni 1/= kwa mashabiki wa timu yake mara baada ya kukabidhiwa rasmi na  Mkuu wa wilaya hiyo kwa niaba ya wadhamini wakuu wa ligi kuu Vodacom Tanzania hapo jana kabla ya mechi kuanza baina ya...

 

10 years ago

GPL

MCHEZAJI BORA WA MWEZI "SURE BOY" AKABIIDHIWA ZAWADI YAKE‏

Kaimu Katibu Mtendaji wa Bodi ya Ligi Syephen Mguto (kulia) akimkabidhi tuzo Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya Vodacom kwa mwezi Oktoba,Abubakar Salum "Sure Boy" katika sherehe iliyofanyika kwenye uwanja wa Azam, Chamazi jijini Dar esSalaam jana.…

 

9 years ago

Michuzi

MCHEZAJI WA STAND UNITED AKABIDHIWA KITITA CHAKE KWA KUIBUKA MCHEZAJI BORA WA MWEZI OKTOBA WA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA

Elias Maguli Mchezaji wa timu ya Stand United, amekabidhiwa hundi yake yenye thamani ya shilingi Milioni 1/= na wadhamni wakuu wa Ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara(Vodacom Tanzania) kwa kuibuka mchezaji bora wa mwezi Oktoba wa Ligi hiyo.
Mchezaji huyo alikabidhiwa hundi hiyo wakati wa mazoezi yaliyokuwa yanafanywa na timu yake katika viwanja vya JKM Park ya kujiandaa na mchezo dhidi ya Yanga hapo kesho.Ofisa Udhamini na Matukio wa Vodacom Tanzania,Ibrahim Kaude(kushoto)akimkabidhi Mchezaji...

 

9 years ago

Michuzi

TSHABALALA AKABIDHIWA TUNZO YA MCHEZAJI BORA WA MWEZI

Katika kuongeza morali na kuwazawadia wachezaji wanaofanya vizuri, Klabu ya Simba ilianzisha Tunzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi kuanzia mwezi wa Septemba 2015.
MSHINDI wa mwezi wa Oktoba, 2015 ni Mohamed Hussein Tshabalala ambapo amepata kura nyingi zaidi zilizopigwa na mashabiki na wapenzi wa Simba na soka wa Tanzania kwa ujumla kupitia simu za mkononi ambao pia wamejiunga na huduma ya Simba News.
Akikabidhiwa tunzo pamoja na pesa taslim Tsh 500,000/= na Mwanachama na Shabiki wa Simba Mbunge wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani