MCHEZAJI BORA WA MWEZI "SURE BOY" AKABIDHIWA ZAWADI YAKE
![](http://3.bp.blogspot.com/-n2ZCV5ONbSk/VF8ludLxUDI/AAAAAAAGwG4/-UJjAsFXkzE/s72-c/unnamed%2B(18).jpg)
KIUNGO mkabaji wa Azam FC, Salum Abubakar”Sure Boy”aliyeibuka Mchezaji Bora wa Oktoba juzi alikabidhiwa zawadi ya shilingi milioni 1/= na kombe dogo Makabidhiano hayo yalifanyika muda mfupi kabla ya mechi ya raundi ya saba kati ya mabingwa watetezi Azam FC na Costal Union katika mechi ya ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara iliyochezwa nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam katika uwanja wa Chamanzi, ambapo Azam FC waliichapa Coastal Union 2-1. Akizungumza na gazeti hili jijini Dar es Salaam...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo09 Nov
MCHEZAJI BORA WA MWEZI "SURE BOY" AKABIIDHIWA ZAWADI YAKE
10 years ago
GPLMCHEZAJI BORA WA MWEZI "SURE BOY" AKABIIDHIWA ZAWADI YAKE
9 years ago
MichuziMCHEZAJI WA STAND UNITED AKABIDHIWA KITITA CHAKE KWA KUIBUKA MCHEZAJI BORA WA MWEZI OKTOBA WA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA
Mchezaji huyo alikabidhiwa hundi hiyo wakati wa mazoezi yaliyokuwa yanafanywa na timu yake katika viwanja vya JKM Park ya kujiandaa na mchezo dhidi ya Yanga hapo kesho.
9 years ago
Michuzi21 Dec
TSHABALALA AKABIDHIWA TUNZO YA MCHEZAJI BORA WA MWEZI
![](https://images-blogger-opensocial.googleusercontent.com/gadgets/proxy?url=http%3A%2F%2Fsimbasports.co.tz%2Ffile%2F2015%2F12%2FDSCF1094-768x403.jpg&container=blogger&gadget=a&rewriteMime=image%2F*)
MSHINDI wa mwezi wa Oktoba, 2015 ni Mohamed Hussein Tshabalala ambapo amepata kura nyingi zaidi zilizopigwa na mashabiki na wapenzi wa Simba na soka wa Tanzania kwa ujumla kupitia simu za mkononi ambao pia wamejiunga na huduma ya Simba News.
Akikabidhiwa tunzo pamoja na pesa taslim Tsh 500,000/= na Mwanachama na Shabiki wa Simba Mbunge wa...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-mC74vysAM3M/VEOE-QoXveI/AAAAAAAGr54/QT4n1lF-ATY/s72-c/unnamed%2B(44).jpg)
VODACOM WATOA ZAWADI KWA MCHEZAJI BORA WA MWEZI
![](http://1.bp.blogspot.com/-mC74vysAM3M/VEOE-QoXveI/AAAAAAAGr54/QT4n1lF-ATY/s1600/unnamed%2B(44).jpg)
10 years ago
MichuziBoko Beach Veterans wamkabidhi zawadi Mchezaji bora wa Mwezi
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/szrS1FfaDDLqJzDF4UGyrWS*X3w6YziWfdKEOXEg6dlCCYs8bL17jI5eE9oMJVjcnMFSvrVlaphJLkNxFY9fJb029g01N31K/No2.jpg?width=650)
VODACOM WATOA ZAWADI KWA MCHEZAJI BORA WA MWEZI
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-HZItvX_BGe4/Vj3SWLYeJkI/AAAAAAAIEyE/yy4G5OyuPlQ/s72-c/ApEqc3bfiHuw9aIVyQpow0yy0rDp_sSuE87ZRes2Xrb2.jpg)
Boko Beach Veterans wamkabidhi zawadi Mchezaji bora wa Mwezi Oktoba 2015
![](http://2.bp.blogspot.com/-HZItvX_BGe4/Vj3SWLYeJkI/AAAAAAAIEyE/yy4G5OyuPlQ/s640/ApEqc3bfiHuw9aIVyQpow0yy0rDp_sSuE87ZRes2Xrb2.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-eUQdNvKGXKE/Vj3SWJoeLZI/AAAAAAAIEyI/hReKxAZNyV4/s640/AsAFY4U7XZWFMgdn4DjB-V91mdxZA3eVCWOjfdANRz9d.jpg)