MCHEZAJI BORA WA MWEZI "SURE BOY" AKABIIDHIWA ZAWADI YAKE
Kaimu Katibu Mtendaji wa Bodi ya Ligi Syephen Mguto (kulia) akimkabidhi tuzo Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya Vodacom kwa mwezi Oktoba,Abubakar Salum "Sure Boy" katika sherehe iliyofanyika kwenye uwanja wa Azam, Chamazi jijini Dar esSalaam jana.Afisa Udhamini na Matukio wa Vodacom Tanzania, Ibrahim Kaude (kulia) akimkabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni 1/=mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya Vodacom kwa mwezi Oktoba, Abubakar Salum "Sure Boy" katika sherehe iliyofanyika kwenye uwanja wa Azam eneo...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLMCHEZAJI BORA WA MWEZI "SURE BOY" AKABIIDHIWA ZAWADI YAKE
10 years ago
MichuziMCHEZAJI BORA WA MWEZI "SURE BOY" AKABIDHIWA ZAWADI YAKE
10 years ago
GPLVODACOM WATOA ZAWADI KWA MCHEZAJI BORA WA MWEZI
10 years ago
MichuziVODACOM WATOA ZAWADI KWA MCHEZAJI BORA WA MWEZI
10 years ago
MichuziBoko Beach Veterans wamkabidhi zawadi Mchezaji bora wa Mwezi
9 years ago
MichuziBoko Beach Veterans wamkabidhi zawadi Mchezaji bora wa Mwezi Oktoba 2015
9 years ago
MichuziMCHEZAJI WA STAND UNITED AKABIDHIWA KITITA CHAKE KWA KUIBUKA MCHEZAJI BORA WA MWEZI OKTOBA WA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA
Mchezaji huyo alikabidhiwa hundi hiyo wakati wa mazoezi yaliyokuwa yanafanywa na timu yake katika viwanja vya JKM Park ya kujiandaa na mchezo dhidi ya Yanga hapo kesho.Ofisa Udhamini na Matukio wa Vodacom Tanzania,Ibrahim Kaude(kushoto)akimkabidhi Mchezaji...
9 years ago
Michuzi21 Dec
TSHABALALA AKABIDHIWA TUNZO YA MCHEZAJI BORA WA MWEZI
MSHINDI wa mwezi wa Oktoba, 2015 ni Mohamed Hussein Tshabalala ambapo amepata kura nyingi zaidi zilizopigwa na mashabiki na wapenzi wa Simba na soka wa Tanzania kwa ujumla kupitia simu za mkononi ambao pia wamejiunga na huduma ya Simba News.
Akikabidhiwa tunzo pamoja na pesa taslim Tsh 500,000/= na Mwanachama na Shabiki wa Simba Mbunge wa...