Bomoa bomoa kuanza leo nchi nzima
CHRISTINA GAULUHANGA NA IDDY ABDALLAH, DAR ES SALAAM
SERIKALI imetangaza kampeni maalumu ya kubomoa nyumba, vibanda vya biashara pamoja na kuwaondoa watu waliovamia maeneo ya wazi kinyume cha sheria.
Bomoa bomoa hiyo inatarajiwa kuanza leo katika maeneo kadhaa jijini Dar es Salaam, huku mkakati huo ukitarajiwa kuendelea nchini kote kuanzia sasa.
Uamuzi huo wa Serikali ulitangazwa Dar es Salaam jana mbele ya waandishi wa habari na Kamishna wa Ardhi wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya...
Mtanzania
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania