Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BOMOABOMOA ENEO LA KAMANGA, MWANZA

Taswira za bomoabomoa vibanda vya Machinga eneo la Kamanga jijini Mwanza. (Picha na Mdau wa Global WhatsApp 0753 715 779 kutoka mkoani Mwanza)

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

NHIF waomba kutengewa eneo Mwanza

MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), umeiomba Serikali ya Mkoa wa Mwanza kuupatia eneo la kujenga kitega uchumi chake ili kusogeza huduma karibu na wananchi. Ombi hilo lilitolewa...

 

11 years ago

GPL

UBOVU WA BARABARA ENEO LA VIWANDA VYA KUSAGA NA KUKAMUA MAFUTA ENEO LA SIDO MBEYA NI KERO KWA WAFANYA BIASHARA ENEO HILO

 Hii dimbwi ambalo maji yametuama na kutunza uchafu.  Barabara iendayo kutokea uwanja wa zamani wa ndege mbeya ukiwa umejaa maji.…

 

9 years ago

Michuzi

TANROADS kuendelea na ujenzi wa barabara ya Kamanga

Na Raymond Mushumbusi - MAELEZO
Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) inaendelea na ujenzi wa Barabara itokayo Kamanga Ferry kuelekea Sengerema kwa kiwango cha lami ili kurahisisha  usafiri na usafirishaji katika eneo hilo.
Hayo yamesemwa leo na Meneja wa TANROADS Mkoa wa  Mwanza Mhandisi Leonard Kadashi alipokuwa akizungumza na Mwandishi wa Habari ofisi kwake kutolea ufafanuzi suala la Barabara ya Kamanga Ferry mpaka Sengerema ambayo haipo katika hali nzuri na kusema mkandarasi yupo na...

 

9 years ago

Mwananchi

Bomoabomoa yasitishwa

Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kushirikiana na Baraza la Taifa la Hifadhi ya Mazingira (Nemc), imesitisha ubomoaji wa nyumba zilizojengwa katika Bonde la Mto Msimbazi ili kuwapa nafasi wakazi kuhama na kuokoa mali zao.

 

11 years ago

GPL

BOMOABOMOA KARIAKOO

Zoezi la bomoabomoa likiendelea katika mitaa ya Kariakoo jijini Dar es Salaam ikiwa ni mikakati ya kuweka jiji safi. (PICHA NA GLOBAL WHATSAPP 0753 715…

 

9 years ago

Habarileo

Bomoabomoa nchi nzima

WIZARA ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imesimamisha kazi ya bomoabomoa kwa siku 15 kwa wavamizi waliojenga katika Bonde la Mto Msimbazi, Dar es Salaam na kuwataka wavamizi hao kubomoa wenyewe na kuondoka maeneo hayo, kabla ya kazi hiyo kuanza tena Januari 5, mwakani.

 

9 years ago

Mwananchi

Bomoabomoa kupingwa mahakamani

Mbunge wa Kinondoni, Maulid Mtulia amesema leo anatarajia kwenda mahakamani kupinga ubomoaji nyumba katika Bonde la Msimbazi kwa madai kuwa Serikali haijatimiza ahadi ya kuwagawia wakazi wengi wa maeneo hayo viwanja Mabwepande.

 

9 years ago

Mtanzania

Bomoabomoa yanukia Kariakoo

DSC_0383Na Christina Gauluhanga, DAR ES SALAAM

MANISPAA ya Ilala imetoa siku saba kwa wamiliki wa nyumba, maduka, gereji bubu, sehemu za maegesho kuhakikisha wanaondoka katika maeneo waliyovamia kabla bomoabomoa haijawakumba.

Pia imeipa Mamlaka ya Maji Safi na Taka (DAWASCO) siku saba kuhakikisha inaunganisha mabomba ya maji taka yaliyopasuka, na kuondoa kero  ya kusambaa mitaani.

Mkurugenzi wa Ilala, Isaya Mngurumi, alikuwa akizungumza   Dar es Salaam jana alipotoa tathimini ya usafi katika...

 

9 years ago

Mwananchi

Bomoabomoa yatua mahakama kuu

Sakata la bomoabomoa kwa wakazi wa mabondeni limechukua sura mpya baada ya mbunge wa Kinondoni (CUF), Maulid Mtulia kufungua kesi katika Mahakama ya Ardhi kupinga ubomoaji wa nyumba bila kutoa njia mbadala za makazi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani