BONGE APATA MSALA!
![](http://api.ning.com:80/files/DGjgPH8*8vmenolyrueODpT2K5oXclGXHBu9cAxdEWVzwXRwbRNNSyzej4oTX-JGogiD0gyGs61kRqyidAfizq7S0FO7opnS/12.3.jpg?width=650)
Richard Bukos na Issa Mnally Mwanamke mmoja mwenye umbo la miraba minne ambaye unaweza kumuita Bonge baada ya jina lake kutopatikana mara moja, wikiendi iliyopita alifikwa na msala mkubwa alipo bambwa na sungusungu akifanya mapenzi kwenye kichaka na dereva wa teksi. Chanzo chetu kilidai kuwa Bonge huyo alikuwa na wenzake wakitoka kwenye kicheni party, walipofika maeneo ya Sinza-Afrika Sana jijini Dar, aliwachenga wenzake na baada...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/OmzXdzxeBqwrKXRuiHyJ709zLLFfxLNI9m2N8UOm*SwYMGUq64a7YsUt1AOf8zMMnUgd9Dap70*hARFuDHSGI7hqWiCd86mo/msala.jpg?width=650)
HUU NI MSALA!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/QgF49CmXFSb-nMPFVhu5rNB2eDY7lUF-EPWAFeqpd7ijFbRY-jMO7Ohye2xXPrqPm74Kk05Vo*PTjKD0aZD7eaVXCmR5m7ns/DUDE.jpg)
GARI LA DUDE LAIBUA MSALA MAPYA!
9 years ago
Bongo504 Jan
Chris Brown aukwaa msala mwingine tena
![Chris-Brown-PNG](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/08/Chris-Brown-PNG-300x194.png)
Chris Brown ni mtuhumiwa wa kumpiga na kumjeruhi mtu pamoja na wizi uliotokea Jumamosi iliyopita kwenye kiota cha Palms Casino Resort, jijini Las Vegas.
Polisi wanadaiwa kuitwa hapo asubuhi na walimkuta mwanamke aliyekuwa na majereha mwilini mwake kufuatia kupigwa.
Kwa mujibu wa The Hollywood Reporter, mwanamke huyo anadai kupigwa na Chris Brown baada ya kuchukua simu yake kupiga naye picha. Anadai kuwa muimbaji huyo alichukua simu yake.
Mwakilishi wa Brown alidai kuwa tuhuma hizo si za...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/afJNJUtdOc6ry6pcKHXg3wFhmrXDTR2nYam7Pnt8vBAyy5KZTceS-XzrMyiVDAygXNUXJEABOAWhC1Twl*LgIlDh*YxQDBfr/1.jpg?width=650)
TID JELA YAMUITA BAADA YA KUHUSISHWA NA MSALA MWINGINE
10 years ago
Bongo Movies20 May
Msala wa Aunt Ezekiel apewa Monalisa, Kisa Kufanana!
Kutoka Mtandaoni: Kupitia ukurasa wake mtandaoni, staa wa Bongo movies, Aunty Ezekiel aliweka picha hiyo hapo mtandaoni akiwa na staa mwenzake, Monalisa nakuwauliza mashabiki kama wawili hao wanafanana huku akikumbushia msala mabao aliufanya yeye na kukamatwa Monalisa.
“Eti tumefanana???Nishawahi kukosa mm akakamatwa yy jaman!!! Mi sijui ww je?Mtag kama unajuana nae bac....!!!”- Aunty aliandika.
Monalisa Ajibu
Monalisa naye kamjibu Aunty kwa kuweka picha hiyo kwenye ukurasa wake na...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/9pVNH1qXqqyyG9fMtFeHPxFthba192rgu3Vy801y8*PvyYNdfWAbfhQLKI1MQrLeiPAbK9lrYecH07bHSrqtrR*jxZGjzkYn/bonge...jpg?width=650)
BONGE ANASWA!
11 years ago
Mwananchi20 Apr
Bonge la Bunge la bongo
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/JZGbW9HPbv4/default.jpg)
9 years ago
Bongo530 Oct
Music: Sis P — Bonge la Bwana