Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BONGO MUVI KUFANYA WHATSAPP GROUP PARTY

 Mratibu wa party hiyo, Abdul Ally ‘Mangi wa Vocha’ akizungumza na waandishi wa habari (Hawapo Pichani) kulia kwake ni mwakilishi wa Bongo Muvi, Vanessa Msofe, Kushoto ni mweka hazina wa party hiyo, Pinnar Sangawe. Waliosimama kuanzia kushoto ni Ismail Mussa mwakilishi wa TMT mwaka 2015, mwakilishi wa video Queen, Sophia Hassan, Mwakilishi wa Comedy, Sharo Mahela. Mwakilishi wa Bongo Muvi, Vanessa Msofe akifafanua jambo.

Wasanii wa filamu Bongo wanaounda kundi la mtandao wa kijamii la...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

The Verge

How to make group calls on WhatsApp

How to make group calls on WhatsApp  The VergeWhatsapp: How to do a group video call for catch ups whilst in lockdown  Evening Standard3 ways to message a number on WhatsApp without adding them as a contact first  Android PoliceWhatsApp Group Calling Made Easier Amid Coronavirus Lockdown  Gadgets 360WhatsApp makes group calling easier: All you need to know  Hindustan TimesView Full coverage on Google News

 

10 years ago

GPL

BONGO MUVI WACHAFUKA!

Na: Gladness Mallya na Imelda Mtema
JAMBO limezua jambo! Baada ya hivi karibuni wasanii wa Bongo Muvi (Movie) kufanya dua kwa ajili ya wenzao waliofariki dunia, baadhi ya ndugu wa marehemu wamecharuka na kudai kuwa waandaaji wa kisomo hicho walifanya kwa manufaa yao binafsi. Mwenyekiti wa Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ . Kwa mujibu wa chanzo makini, baadhi ya ndugu wa marehemu wanalalamika kuwa...

 

11 years ago

GPL

BONGO MUVI KIMENUKA

Na Hamida Hassan
BONGO Muvi kimenuka! Viongozi wapya wa Klabu ya Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ (mwenyekiti) na William Mtitu (katibu), wametofautiana kauli na kuanza kurushiana maneno mazito wakitaka kukunjana mbele ya wajumbe wa klabu hiyo. Mwenyekiti wa Bongo Muvi, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’. Chanzo makini kilitonya kuwa, kilichosababisha kuibuka kwa ugomvi huo ni baada ya...

 

10 years ago

GPL

CATHY: BONGO MUVI INAKUFA

Stori: Gladness Mallya
MSANII wa filamu ambaye pia ni mweka hazina msaidizi wa klabu ya Bongo Movie Unity, Sabrina Rupia ‘Cathy’ amefunguka kwamba anaona kundi hilo linakwenda kufa na halitakuwepo kabisa kutokana na kujiuzulu kwa mwenyekiti wao, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’. Msanii wa filamu Bongo Movie Unity, Sabrina Rupia ‘Cathy’. Akistorisha na paparazi wetu, Cathy alisema...

 

11 years ago

GPL

MISS BONGO MUVI KUSAKWA

Mwenyekiti wa Bongo Muvi, Steve Nyerere. Stori: Hamida Hassan
MWENYEKITI wa Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘Nyerere’ amesema watafanya shindano la kumsaka mlimbwende wa kundi lao, siku ya sherehe ya kuadhimisha miaka mitatu ya klabu hiyo ambayo itafanyika Machi 28, mwaka huu. Akizungumza na Stori Mix, Nyerere alisema, wana imani ndani ya kundi lao kuna walimbwende wengi hivyo wametoa nafasi ya kuwashindanisha...

 

10 years ago

GPL

WAMEONDOKA NA BONGO MUVI YAO!

Marehemu Steven Charles Kanumba enzi za uahi wake. Kwenye familia yangu mama alipotangulia mbele ya haki, familia ilikuwa juu mno kwa kila kitu lakini ghafla iliyumba vibaya hivyo tukapata kazi ya kuisimamisha upya, jambo ambalo limekuwa gumu kufikia pale tulipokuwa awali. Ishu hapa ni mchango wa mtu katika eneo lake. Anapoondoka ni lazima ‘gepu’ lake huonekana na kuliziba inahitaji nguvu kubwa na ya ziada. Kanumba...

 

10 years ago

GPL

MASTAA WAJIENGUA BONGO MUVI

Stori: Hamida Hassan na Imelda Mtema
HALI bado tete! Siku chache baada ya Mwenyekiti wa Klabu ya Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ kujiuzulu, upepo mbaya unaendelea kuitafuna klabu hiyo ambapo sasa wasanii wengine watano wamejiengua, Risasi Mchanganyiko linakupa mchapo kamili. Msanii wa filamu Bongo, Halima Yahya ‘Davina’. Kutokana na wasanii hao kujitoa, klabu hiyo inaonekana...

 

11 years ago

GPL

BONGO MUVI KUNA MASHOGA!

IMEBAINIKA kuwa ndani ya tasnia ya filamu Bongo kuna baadhi ya wasanii wanaofanya mapenzi ya jinsia moja yaani mashoga, Risasi Mchanganyiko limenyetishwa. Mwenyekiti wa Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’. Hilo limeibuka ikiwa ni siku chache baada ya Rais wa Uganda, Yoweri Museven, kupitisha sheria nchini mwake ya kupiga marufuku mavazi yasiyo na staha, uvunjifu wa maadili na mapenzi ya jinsia moja.
...

 

11 years ago

GPL

BONGO MUVI KWAWAKA MOTO

Stori: Gladness Mallya na Hamida Hassan PENYE wengi pana mengi! Lile kundi la mastaa waigizaji wa Kibongo, Bongo Movie Unity, linadaiwa kuparanganyika baada ya kuwaka moto kufuatia mwenyekiti wao, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ kudaiwa kuwa na upendeleo kwa baadhi ya wanachama wa jinsia ya kike. Mmoja wa waasisi wa Bongo Muvi Jimmy mafufu (kushoto), Mtitu na baadhi ya wadau wa Bongo Muvi pichani. Habari za uhakika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani