Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Boresha uelewa wako kuhusu Ebola

Mlipuko wa homa ya Ebola katika kanda ya Afrika Magharibi,umewaua watu 1,000.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

TZ: Wengi wana uelewa finyu kuhusu HIV

Baadhi ya jamii ya wananchi hawana uelewa kuhusu elimu ya utoaji huduma za virusi vya ukimwi na uzuiaji virusi kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto.

 

10 years ago

Michuzi

KAMPENI YA UELEWA KUHUSU TATIZO LA USONJI YAZINDULIWA JIJINI DAR

Kampenii dhidi ya ugonjwa wa usonji yazinduliwa • 
Familia nyingi Tanzania hazina ufahamu wa hali hii
Kliniki ya Lotus kwa kushirikiana na Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, zimeanzisha kampeni mpya inayolenga kuelimisha uma kuhusu ugonjwa wa usonji (autism), ambao watanzania wengi hawaufahamu.Ugomjwa huu sasa unatishia familia nyingi kwani dalili zake huanza utotoni na zinaweza kuendelea hadi ukubwani.Akizugumza wakati wa uzinduzi huo Jijini Dar es Salaam, Mwenyekiti wa Chama cha Kuhudumia...

 

5 years ago

Michuzi

UJUMBE WA SADC KUELEKEA SIKU YA UELEWA KUHUSU UALBINO DUNIANI

 Na Leandra Gabriel, Michuzi

JUMUIYA ya Maendeleo kwa nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) imeungana na wanajamii kote duniani katika maadhimisho ya siku ya uelewa kuhus watu wanaoishi na ualbino inayoadhimishwa kila Juni 13 na hiyo ni kufuatia maazimio ya mkutano mkuu wa 69 wa umoja wa mataifa ambao iliazimiwa ushiriki wa kila nchi mwanachama katika kulinda na kuhifadhi haki za watu wenye ualbino katika maisha, utu, ulinzi na nchi wanachama walishauriwa kutumia siku hiyo kwa kujenga uelewa kwa...

 

10 years ago

Michuzi

Watanzania wengi hawana uelewa kuhusu tatizo la usonji - Mama Salma Kikwete

Na Anna Nkinda – Maelezo
Watanzania wengi hawana uelewa  wa tatizo la usonji (Autism)  kwa watoto hivyo basi uhamasishaji na utoaji wa elimu kwa jamii unahitajika  ili watu watambue  tatizo hilo na kuweza kuwasaidia watoto hao.
Hayo yamesemwa jana na Mke wa Rais Mama Salma kikwete wakati akiongea na Prof. Andy Shih ambaye ni Makamu wa Rais Mwandamizi wa Mambo ya kisayansi kutoka Taasisi ya Kimataifa ya Autism Speaks katika ofisi za Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) zilizopo jijini Dar es...

 

10 years ago

Michuzi

MH. MKAPA AZITAKA JAMII ZA KIAFRIKA KUWA NA UELEWA WA KUTOSHA KUHUSU MAMBO YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA

RAIS Mstaafu wa awamu ya tatu, Mhe. Benjamini William Mkapa amezitaka jamii nyingi za kiafrika kuwa na uelewa wa kutosha kuhusiana na mchango wa sayansi na teknolojia katika kuleta maendeleo nchini.
Mhe. Mkapa ameyasema hayo wakati alipokuwa akifungua mkutano wa Jiolojia uliowakutanisha wataalam mbalimbali wa mambo ya jiolojia ulimwenguni akiwa ameongozana na Waziri wa Nishati na Madini, Mhe. Profesa Sospeter Muhongo pamoja na Naibu Waziri wake, Mhe. Stephen Masele.
Mhe. Mkapa ameeleza...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mkapa azitaka jamii za Kiafrika kuwa na uelewa wa kutosha kuhusu mambo ya Sayansi na Teknolojia

PIX 4

Rais Mstaafu wa awamu ya Tatu, Mhe. Benjamini Wiliam Mkapa akiwahutubia wajumbe waliohudhuria mkutano wa Jiolojia uliofanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa J.K Nyerere Jijini Dar es Salaam.

Na Benedict Liwenga-MAELEZO.

RAIS Mstaafu wa awamu ya tatu, Mhe. Benjamini William Mkapa amezitaka jamii nyingi za kiafrika kuwa na uelewa wa kutosha kuhusiana na mchango wa sayansi na teknolojia katika kuleta maendeleo nchini.

Mhe. Mkapa ameyasema hayo wakati alipokuwa akifungua mkutano wa Jiolojia...

 

11 years ago

Michuzi

UFUNGUZI WA WARSHA YA KUJENGA UELEWA WA WADAU KUHUSU MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI — TASAF AWAMU YA TATU MKOANI KATAVI

 Meneja Uratibu kutoka TASAF Makao Makuu Tunu Munthali (aliyesimama) akiwasilisha kwa Mkuu wa Mkoa wa Katavi Dkt. Rajab Rutengwe (wa kwanza kulia) salaam za Mkurugenzi mtendaji wa TASAF Bw. Ladislaus Mwamanga. 
Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Dkt. Rajabu Rutengwe akihutubia washiriki wa Warsha ya kujenga uelewa wa wadau kuhusu mpango wa kunusuru Kaya maskini – TASAF awamu ya tatu Mkoani Katavi . Hawa nao ni sehemu ya washiriki wa warsha hiyo inayoshirikisha watendaji mbalimbali wa ngazi ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani