TZ: Wengi wana uelewa finyu kuhusu HIV
Baadhi ya jamii ya wananchi hawana uelewa kuhusu elimu ya utoaji huduma za virusi vya ukimwi na uzuiaji virusi kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziWatanzania wengi hawana uelewa kuhusu tatizo la usonji - Mama Salma Kikwete
Watanzania wengi hawana uelewa wa tatizo la usonji (Autism) kwa watoto hivyo basi uhamasishaji na utoaji wa elimu kwa jamii unahitajika ili watu watambue tatizo hilo na kuweza kuwasaidia watoto hao.
Hayo yamesemwa jana na Mke wa Rais Mama Salma kikwete wakati akiongea na Prof. Andy Shih ambaye ni Makamu wa Rais Mwandamizi wa Mambo ya kisayansi kutoka Taasisi ya Kimataifa ya Autism Speaks katika ofisi za Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) zilizopo jijini Dar es...
10 years ago
Habarileo13 Dec
Watanzania wana uelewa, imani na EAC
WATANZANIA wengi wametajwa kuwa wanafahamu, kuelewa, na wana maoni chanya kuhusu Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC).
11 years ago
Habarileo25 Mar
‘Wahitimu wengi hawana uelewa’
BAADHI ya wahitimu wa vyuo mbalimbali nchini, wameelezwa licha ya kumaliza vyuo na kupata vyeti kwa ngazi mbalimbali bado hawana uelewa wa kutosha kwa mambo wanayosomea.
10 years ago
Habarileo24 Sep
‘Wengi hawana uelewa wa Katiba’
KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimesema kimebaini Watanzania wengi hasa walio mikoa ya pembezoni, kutokuelewa kuhusu mchakato wa Katiba mpya unaoendelea.
10 years ago
Habarileo19 Dec
‘Watu wengi hawana uelewa wa usonji’
WATANZANIA wengi hawana uelewa wa tatizo la usonji (autism) kwa watoto, hivyo uhamasishaji na utoaji wa elimu kwa jamii unahitajika ili watu watambue tatizo hilo na kuweza kuwasaidia watoto hao.
11 years ago
Dewji Blog06 Jun
Wananchi wengi wanaamini kuwa gesi imeleta neema nchini Tanzania, lakini wengi wana wasiwasi kuwa Serikali na matajiri watafaidika zaidi
Mabomba ya kusafirisha gesi kutoka Mtwara kwenda Dar es Salaam.
Wananchi wanne kati ya watano wanaamini kuwa mafuta na gesi yatawanufaisha wao, watoto wao na nchi yao kwa ujumla. Wakati huo huo, wananchi wanne kati ya kumi (37%) wanaamini kuwa viongozi wa Serikali na matajiri ndio wataofaidika zaidi. Pia, zaidi ya nusu (55%) wangependa baadhi ya mapato ya mafuta na gesi wapewe wananchi moja kwa moja kama fedha taslimu.
Matokeo haya yametolewa na Twaweza katika muhtasari wa utafiti wenye...
10 years ago
BBCSwahili14 Aug
Boresha uelewa wako kuhusu Ebola
10 years ago
GPL14 Jul
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-vIsRoygPXgA/VWuMQ5bFa_I/AAAAAAABgyc/_7zhr0brRAc/s72-c/A.jpg)
KAMPENI YA UELEWA KUHUSU TATIZO LA USONJI YAZINDULIWA JIJINI DAR
Familia nyingi Tanzania hazina ufahamu wa hali hii
Kliniki ya Lotus kwa kushirikiana na Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, zimeanzisha kampeni mpya inayolenga kuelimisha uma kuhusu ugonjwa wa usonji (autism), ambao watanzania wengi hawaufahamu.Ugomjwa huu sasa unatishia familia nyingi kwani dalili zake huanza utotoni na zinaweza kuendelea hadi ukubwani.Akizugumza wakati wa uzinduzi huo Jijini Dar es Salaam, Mwenyekiti wa Chama cha Kuhudumia...