Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BOSI SHIRIKA LA AFYA LA DUNIA AOMBA SIASA ISIINGILIE CORONA


Mkuu wa shirika la Afya duniani WHO ametaka kuwepo kwa umoja huku shirika hilo likiendelea kushambuliwa na rais Donald Trump.Akizungfumza siku ya Jumatano, mkurugenzi mkuu wa shirika hilo Tedros Adhanom Ghebreyesus alitetea kazi ya shirika hilo na kutoa wito wa kusitishwa kwa siasa katika mlipuko wa virusi vya corona.Bwana Trump alionya kwamba atafikiria kusitisha ufadhili dhidi ya shirika hilo la Umoja wa Mataifa.Rais huyo alilishutumu shirika hiko kwa kuipendelea China na kudai kwamba...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

MKAZI DAR AOMBA KUKUTANA NA WAZIRI WA AFYA BAADA YA KUDAI AMEGUNDUA DAWA YA KUTIBU CORONA


Mkazi wa Chanika jijini Dar es Salaam Seleman Mwamsumbwe ambaye anadai kugundua dawa ya kutibu Corona(kushoto) akizungumza na waandishi wa habari leo akiwa nyumbani kwake kuhusu dawa hiyo ambapo ameomba kukutana na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu ili kuzungumza naye kwa kina. Kulia ni dada wa Mwamsumbwe Ashura Mwinyimkuu.
Na Said Mwishehe, Michuzi TV

MKAZI wa Chanika jijini Dar es Salaam Seleman Mwamsumbwe ameomba kukutana na Waziri wa Afya, Maendeleo...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Mkuu wa WHO Tedros Adhanom Ghebreyesus aomba siasa kutochanganywa na virusi

Matamshi yake yanajiri huku rais Donald Trump akiendelea kushambulia kile alichokitaja kuwa upendeleo wa WHO kwa China.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Shirika la Afya Duniani lasema huenda virusi vya corona visiishe

Shirika la Afya Duniani latoa angalizo juu ya ubashiri wa lini virusi vya corona vitatoweka

 

5 years ago

Michuzi

WIZARA YA AFYA ZANZIBAR YAPOKEA MSAADA KUTOKA SHIRIKA LA AFYA DUNIANI (WHO)



Na Khadija Khamis –Maelezo Zanzibar 28/04/2020.WIZARA ya Afya Zanzibar imepokea msaada wa vifaa mbali mbali vya kuthibiti maambukizi ya Corona kutoka Shirika la Afya Duniani (WHO) vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 110.
Akipokea msaada huo, huko Wizara ya Afya Mnazimmoja Mkurugenzi Mkuu wa Wizara ya Afya Zanzibar Dkt Jamala Adam Taib amelishukuru shirika hilo kwa kutoa msaada ambao utawasaidia wafanyakazi kutekeleza kazi zao kwa ufanisi pamoja na kujikinga na maambukizi ya...

 

9 years ago

Dewji Blog

Shirika la SEMA mkoani Singida lachangia vifaa vya afya kwa wahudumu 43 wa afya ngazi ya vijiji na mitaa

IMG_1449

Meneja wa shirika lisilo la kiserikali la SEMA mkoani Singida, Ivo Manyaku, akizungumza kwenye hafla ya makabidhiano ya vifaa mbalimbali vikiwemo miavuli vyenye thamani ya zaidi ya shilingi 6.5 milioni vivyogawiwa kwa wahudumu wa afya ngazi ya vijiji na mitaa manispaa ya Singida. Kulia ni Mganga mkuu halmashauri ya manispaa ya Singida, Dk John Mwombeki.

IMG_1463

Meneja wa shirika lisilo la kiserikali la SEMA mkoani Singida, Ivo Manyaku, akimkabidhi Mganga Mkuu halmashauri ya manispaa ya Singida, Dk...

 

11 years ago

Habarileo

Bosi UN asifu jitihada za Kikwete sekta ya afya

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moonKATIBU Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Ban Ki-moon amesifu jitihada za Rais Jakaya Kikwete na mchango wake mkubwa katika kupigania Afya ya Mama na Mtoto.

 

11 years ago

Habarileo

Ziara ya bosi Benki ya Dunia leo

MKURUGENZI Mtendaji na Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa Benki ya Dunia, Sri Mulyani Indrawati, anatarajiwa kuwasili nchini kwa ziara ya kikazi kuanzia leo mpaka Jumapili ijayo, Septemba 14, ambayo ni ya kwanza kwake tangu alipoteuliwa kushika wadhifa huo Juni, 2010.

 

5 years ago

CCM Blog

BOSI WA AMAZON AZOA BILIONI 24 KUTOKANA NA MLIPUKO WA CORONA

Amazon founder and chief executive Jeff BezosHaki miliki ya pichaGETTY IMAGESMwanzilishi wa kampuni ya Amazon ameshuhudia utajiri wake ukichupa kwa kiasi cha dola bilioni 24 (sawa na pauni bilioni 19) kutokana na uhitaji mkubwa wa manunuzi kwa njia ya mtandao.Jeff Bezos sasa ana utajiri wa dola bilioni 138, kwa mujibu wa orodha ya mabilionea inayojumuisha na jarida maarufu la biashara la Bloomberg, akisalia katika nafasi yake kuwa ni mtu tajiri zaidi duniani.Amazon imepata faida zaidi kutokana na manunuzi yaliyofanywa na watu ambao...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI WA AFYA AKUTANA NA WATAALAM WA AFYA KUJADILI HALI YA MWENENDO WA UGONJWA WA CORONA

 Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani