BRAND NEW TRACK-Ammy Chiba ft Barnaba Boy - Tunda langu
![](http://4.bp.blogspot.com/-9ra5C1kT4Gk/VEdGJyjDo6I/AAAAAAADKWU/YPgon67dOJI/s72-c/10623071_468693249938786_7737430154881907448_n.jpg)
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi22 Oct
10 years ago
Dewji Blog01 Nov
Brand New Track “Gimme A Call” — Hisia
Baada ya ukimya mdogo star kutoka TPF ambaye ametamba na ngoma zake kama Mawazo na Just fo you amerudi tena,”nimeona nifanye kitu kitogo kwaajili ya mashabiki wangu huku nikiendelea kuboresha tamasha la muziki wa hisia,nawapenda sana”,anasema Hisia,hii ni ngoma yake mpya inaitwa “Gimme A Call” ikiwa ni mkono wa John Blass wa Grandmaster Records.
Sikiliza/Download Gimme A Call hapa; https://mkito.com/song/gimme-a-call/3054
Song;Gimme A Call
Artist;Hisia
Studio:Grandmaster...
10 years ago
Africanjam.Com![](http://4.bp.blogspot.com/-KS-7EQZavqs/VYLY9QJsDkI/AAAAAAAACI4/SZEx3MbdFKQ/s72-c/i%2Bbelieve%2Bartwork.png)
11 years ago
CloudsFM18 Jun
BARNABA BOY APATA MANAGER WA KUMSIMAMIA KAZI ZAKE
Msanii wa Bongo Fleva,Barnaba Boy Classic kwa mara ya kwanza ametafuta meneja tangu aanze rasmi ‘game’ ya muziki wa Bongo Fleva.
Barnaba ameamua kutafuta mtu wa ku'manage' kazi zake za muziki ndani na nje Tanzania pamoja na michongo yote ya kijamii na mitonyo, hajawahi kufanya hivi tangu atoke na wimbo wake Wrong Number mwaka 2009, na meneja wake ni Lumuliko Mengele.Barnaba huyu hapa anafunguka.
10 years ago
Michuzi02 Feb
11 years ago
Michuzi27 Feb
Video: Mr. Blue, Dyna, Barnaba Boy na Amini warekodi wimbo wa kampeni ya dereva makini 2014
Katika kuunga mkono jitihada za kupunguza ajali barabarani wakali katika muziki wa bongo fleva Mr Blue, Amini, Barnaba Boy na Dyna Nyange wameshiriki kurekodi wimbo wao utakaotumika kwenye kampeni ya dereva makini inayolenga kuhamasisha uzingatiaji wa usalama barabarani na kwenye vyombo vya usafiri.
Wimbo huo umerekodiwa na...
11 years ago
CloudsFM24 Jul
Brand New Song: Country Boy Ft. Blue Mchaka Mchaka
![](http://4.bp.blogspot.com/-0YW-XoYKOcA/U9DSBuMCcqI/AAAAAAAAFWE/3wB5P6wpE4A/s1600/Cb.jpg)
unaweza kuiskiliza kwakubonyeza play
10 years ago
Michuzi14 Feb
BARNABA BOY NA AMINI WATINGA RADIO KASIBANTE 88.5 FM RADIO BUKOBA, TAYARI KWA KUTOA BURUDANI LEO VALENTINE DAY LINA'S NIGHT CLUB
9 years ago
Bongo527 Oct
Barnaba aanzisha bendi yake ‘Barnaba Classic’