Brazil inachunguza mauaji ya watu 35
Mamlaka nchini Brazil katika mji wa Manaus wameanzisha uchunguzi kufuatia mauaji mabaya ambapo zaidi ya watu 35 wameripotiwa kuuwauwa kati ya ijumaa na jana Jumatatu.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili28 Jul
FIFA inachunguza ubaguzi wa rangi
10 years ago
StarTV24 Oct
Nigeria inachunguza utekaji mpya
Serikali nchini Nigeria inasema inachunguza taarifa ya idadi kubwa ya wanawake na wasichana waliotekwa nyara na wanamgambo wa Boko Haram Kaskazini Mashariki mwa nchi hiyo, pamoja na kwamba tangazo la kusitisha mapigano lililotolewa na majeshi ya serikali.
Msemaji wa Serikali ya Nigeria Mike Omeri, ameiambia BBC kuwa serikali ya Nigeria inajaribu kuthibitisha kile kilichotokea.
Mwanakijiji mmoja anasema wanawake na wasichana arobaini wametekwa na kundi hilo.
Makubaliano ya...
11 years ago
BBCSwahili11 Jul
Watu 20 wanaochochea mauaji C.A.R
9 years ago
Mwananchi27 Nov
Mauaji haya ya watu yakomeshwe
10 years ago
Dewji Blog21 Nov
23 washikiliwa na Polisi kwa mauaji ya watu 4
Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Singida, ACP, Thobias Sedoyeka.
Na Nathaniel Limu, Singida
JESHI la polisi mkoa wa Singida, linawashikilia watu 23 wakazi wa kijiji cha Nkyala kata ya shelui wilaya Iramba mkoa wa Singida, kwa tuhuma ya kudaiwa kuuawa kwa makusudi wezi wanne wa madume ya Ng’ombe.
Akizungumza na waandishi wa habari jana ofisini kwake, Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Singida, ACP, Thobias Sedoyeka, alisema watu hao kati yao 21 wanatuhumiwa kwa mauaji na wawili...
11 years ago
Mwananchi04 Feb
Watu 10 wahojiwa kwa mauaji Tarime
10 years ago
Mwananchi17 Nov
Watu 13 mbaroni kwa mauaji ya Kiteto
10 years ago
BBCSwahili18 Apr
Ghasia zasababisha mauaji ya watu Libya
10 years ago
BBCSwahili04 Jun
Watu 5 washtakiwa kwa mauaji ya Garissa