Ghasia zasababisha mauaji ya watu Libya
Zaid ya watu kumi wameuawa katika msururu wa ghasia viungani mwa mji mkuu wa Libya Tripoli.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili19 Oct
Marekani yataka ghasia kusitishwa Libya
Marekani na mataiafa manne ya bara Ulaya yamelaani ghasia zinazoendelea nchini Libya na kutaka mapigano hayo kusitishwa mara moja.
9 years ago
BBCSwahili25 Nov
Ghasia:Watu 75 waachiliwa huru Burundi
Mahakama nchini Burundi imetangaza kuachiliwa huru kwa watu 75 kati ya zaidi ya watu 250 waliozuiliwa kuhusiana na ghasia zinazoendelea nchini humo.
11 years ago
BBCSwahili09 Aug
Watu sita wauawa katika ghasia Somali
Takriban watu sita wameuawa katika ghasia katikati mwa Somali.
10 years ago
BBCSwahili29 Apr
Ulanguzi wa watu ni mkubwa Libya
Uchunguzi wa BBC nchini Libya umebainisha mtandao mpana unaosafirishaji watu kinyume cha sheria.
9 years ago
BBCSwahili04 Sep
Zaidi wa watu 50 wahofiwa kuzama-Libya
Zaidi ya watu hamsini hawajulikani waliko baada ya meli walimokuwa wakisafiria kuanza kuzama katika pwani ya Libya
10 years ago
BBCSwahili20 Feb
Mlipuko wa bomu wawaua watu 30 Libya
Zaidi ya watu 30 wameuawa na wengine kujeruhiwa kutokana na bomu lililokuwa limetegwa kwenye gari huko Libya
11 years ago
BBCSwahili18 May
Watu 70 wauawa katika vita nchini Libya
Maafisa nchini Libya wanasema kuwa idadi ya watu waliofariki katika vita mjini Benghazi imeongezeka na kufikia zaidi ya 70.
11 years ago
BBCSwahili11 Jul
Watu 20 wanaochochea mauaji C.A.R
Marais 2 wa CAR miongoni mwa watu 20 waliotajwa na Amnesty International kwa kuchochea mauaji
10 years ago
BBCSwahili21 Jul
Brazil inachunguza mauaji ya watu 35
Mamlaka nchini Brazil katika mji wa Manaus wameanzisha uchunguzi kufuatia mauaji mabaya ambapo zaidi ya watu 35 wameripotiwa kuuwauwa kati ya ijumaa na jana Jumatatu.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania