Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watu sita wauawa katika ghasia Somali

Takriban watu sita wameuawa katika ghasia katikati mwa Somali.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Makumi wauawa katika ghasia za kabla ya uchaguzi Burundi

Serikali ya Burundi imekiri kuua watu 22 ndani ya siku chache zilizopita, kwa tuhuma za kufanya 'makosa' yanayohusishwa na uchaguzi mkuu ujao.

Vyombo vya dola nchini humo vimeripoti kuwa, watu hao waliuawa katika mji mkuu Bujumbura, na kwamba maafisa wawili wa polisi wameuawa pia katika ghasia hizo za kabla ya uchaguzi.

Vyombo vya usalama nchini Burundi vimesema kuwa, vimewatia mbaroni watu sita wanaohusishwa na uhalifu huo wa kabla ya uchaguzi unaotazamiwa kufanyika mwezi Mei mwaka huu....

 

9 years ago

BBCSwahili

Watu sita wauawa msikitini Nigeria

Watu sita wanahofiwa kufariki katika mji wa Maiduguri, Nigeria baada ya mshambuliaji wa kujitoa mhanga kujilipua katika msikiti mmoja mjini humo.

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS AONGOZA MAELFU KATIKA MAZISHI YA WATU SITA WA FAMILIA MOJA WALIOFARIKI KATIKA AJALI YA MOTO



 Baba wa watoto wawili waliokufa katika ajali ya moto, Emmanuel Mpila akiweka shada la maua katika kaburi la mmoja wa watoto wake, Pauline.
 Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal akiweka shada la maua. Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam akiweka shada la maua. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Kazi Maalum), Prof. Mark Mwandosya akiweka shada la maua. Jaji Mkuu mstaafu, Agustino Ramadhani akiweka shada la maua.Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

10 years ago

BBCSwahili

Watu 10 wauawa katika mlipuko Nigeria

Ripoti za kaskazini mwa Nigeria zinasema kuwa watu kadhaa wameuawa na mlipuko wa bomu karibu na mashine ya kutoa pesa ya ATM.

 

11 years ago

BBCSwahili

Watu 70 wauawa katika milipuko Nigeria

Zaidi ya watu 70 wameripotiwa kuuawa katika milipuko miwili mjini Abuja, Nigeria

 

11 years ago

Habarileo

Watu 29 wauawa katika mashambulizi Kenya

WATU wenye silaha wameua watu 29 katika mashambulizi mawili tofauti eneo la Pwani ya Kenya.

 

10 years ago

StarTV

Watu 9 wauawa katika shambulio Marekani

Polisi nchini Marekani wamesema kuwa watu tisa wameuawa katika shambulio lililotekelezwa na watu wenye silaha waliokuwa kwenye pikipiki katika mkahawa mmoja katika mji wa Waco.

Hata hivyo watu wengine 18 walipelekwa hospitali kupatiwa matibabu kutokana shambulio hilo.

 

Maofisa katika mji huo wanasema kuwa walibaini mkusanyiko kati ya watu watano walioonekana kupanga jambo lisilo la kawaida.

 

Watu waliokuwa katika mkahawa huo walijificha katika chumba cha majokofu katika harakati za...

 

10 years ago

StarTV

Watu 3 wauawa katika maandamano Burundi.

Takriban watu wawili wameuawa wakati wa ghasia kati ya polisi na waandamanaji kwenye mji mkuu wa Burundi Bujumbura .

Polisi walifyatua risasi huku waandamanaji wakirusha mawe na guruneti.


Ghasia Burundi

Polisi wawili na waandamanaji sita nao walijeruhiwa.

Waandamanaji hao wanalalamikia hatua ya rais Pierre Nkurunziza ya kuwania urais kwa muhula wa tatu.

viagra online pharmacy in australia BBC

 

10 years ago

BBCSwahili

Watu 10 wauawa katika mkanyagano India

Takriban watu 10 wameuawa na wengine 20 kujeruhiwa katika mkanyagano uliofanyika katika hekalu moja katika jimbo la mashariki la Jharkhand nchini India .

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani