Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BREAKING NEWS

ajaliHabari ziliotufikia hivi punde ni kwamba Basi la abiria lililokua likitokea Mbeya limepata ajali maeneo ya Mafinga-Changarawe, baada ya kugongana na Lori lililokuwa likitokea Dar es salaam na kupelekea basi kuangukiwa na kontena na kuua abiria 65.

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

JIUNGE NA GLOBAL BREAKING NEWS

JIUNGE NA GLOBAL BREAKING NEWS SASA KWA SHILINGI 100 TU KWA SIKU: KUJIUNGA TUMA GLOBAL KWENDA 15778. HUDUMA HII NI KWA WATUMIAJI WA VODACOM TU!

 

9 years ago

Habarileo

BREAKING NEWS: Magufuli aapishwa

MHESHIMIWA dkt John Pombe Joseph Magufuli ameapishwa kuwa Rais wa Serikali ya Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kipindi cha miaka mitano ijayo. 

Sherehe ya kuapishwa kwake imehudhuriwa na viongozi mbalimbali wa ndani na nje ya Tanzania.

Aidha Rais Magufuli anashika wadhifa huo baada ya Rais Jakaya Kikwete kumaliza kipindi chake cha miaka 10.

Fuatilia tovuti yetu kwa habari zaidi.

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

BREAKING NEWS!!! - KAFULILA KUPANDISHWA KIZIMBANI



David Kafulila (Mbg)
SAKATA la Kampuni ya Kufua Umeme ya Independent Power Tanzania (IPTL), kutuhumiwa kuchota fedha katika akaunti ya Escrow, limechukua sura mpya baada ya kampuni hiyo kuamua kumburuta mahakamani Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila (NCCR-Mageuzi) na kumfungulia kesi ya madai ya sh. bilioni 310.
IPTL kwa kushirikiana na Kampuni ya Pan African Power Solutions (T) Limited na Mtendaji Mkuu wa kampuni hizo, Harbinder Sign Seth, wamemburuta Kafulila katika Mahakama Kuu ya...

 

9 years ago

GPL

BREAKING NEWS: DK. MAGUFULI NDIYE RAIS

Dk. John Pombe Magufuli. Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemtangaza Dk. John Pombe Magufuli kuwa ndiye Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kupata kura 8,882,935  sawa na asilimia 58.46%.

 

11 years ago

GPL

JIUNGE NA GLOBAL BREAKING NEWS SASA!

Kuwa wa kwanza kupata Breaking News za wasanii, watu maarufu na zingine kutoka Magazeti Pendwa ya IJUMAA WIKIENDA, UWAZI, RISASI, AMANI, IJUMAA na CHAMPIONI moja kwa moja kwenye simu yako ya mkononi kwa shilingi 100 tu kwa SIKU! Kujiunga tuma GLOBAL kwenda 15778
Huduma hii ni kwa watumiaji wa Vodacom pekee. Kwa maelezo zaidi…

 

9 years ago

GPL

BREAKING NEWS: MWENYEKITI WA CHADEMA GEITA AUAWA

Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo enzi za uhai wake. Alphonce Mawazo alipokimbizwa Hospitali ya Mkoa wa Geita kabla ya kukumbwa na mauti. Katoro, Geita MWENYEKITI  wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Geita na aliyekuwa mgombea ubunge wa jimbo la Busanda kupitia Chadema, Alphonce Mawazo ameuawa leo baada ya kushambuliwa kwa mapanga kichwani na watu wasiofahamika wakati akifanya kampeni...

 

9 years ago

Habarileo

BREAKING NEWS: Magufuli rais wa awamu ya tano

MGOMBEA urais wa Jamhauri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk John Pombe Joseph Magufuli amechaguliwa kuwa Rais wa Awamu ya Tano ya Serikali ya Tanzania kwa asilimia 58.46 ya kura zote zilizopigwa kufuatia uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani uliofanyika tarehe 25 mwezi huu.

 

10 years ago

Vijimambo

BREAKING NEWS ! DR. SLAAS ARRIVES IN THE US, DISCUSSES CONSTITUTION‏

By Ron Tackket,
[Picture: Dr. Slaa , his wife Josephine and constitutional experts, Professors  J.M Curtis and Dickson Ramsey]

CHADEMA  Secretary General, Dr. Wilbrod Slaa has arrived safely into the United States, in the State of Indiana, where he was met by the State Governor Mike Pence at Indianapolis International Airport before proceeding to the State Capital, (Governors mansion) where they exchanged ideas and planned a follow up discussions in a couple of days to come. 
Dr. Slaa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani