Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BREAKING NEWSSS!!!! UONGOZI WA NCCRA-MAGEUZI WATOFAUTIANA NDANI YA "UKAWA"

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-MAGEUZI,Reticia Ghati Mosore akizungumza na vyombo mbalimbali vya habari katika Hoteli ya Land Mark jijini Dar es Salaam  muda huu kuhusiana na ukiukwaji wa taratibu katika umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) na kutangaza kuendelea na mapambano nje ya umoja huo wa vyama pinzani. 
Katibu Mkuu wa NCCR-MAGEUZI, Mosena Nyambabe akizungumza na waandishi wa habari juu ya hatima yao ya kupambana kama wenyewe NCCR-MAGEUZI bila ya UKAWA na  kuwa  chama cha...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

BREAKING NEWSSS!!!! UONGOZI WA JUU WA NCCRA-MAGEUZI WAONGEA NA WANAHABARI SASA HIVI KATIKA HOTELI YA LAND MARK JIJINI DAR.

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-MAGEUZI,Reticia Ghati Mosore akizungumza na vyomo mbalimbali vya habari katika Hoteli ya Land Mark jijini Dar es Salaam kuhusiana na ukiukwaji wa taratibu katika umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA)

 

5 years ago

CCM Blog

MBUNGE CHADEMA ATANGAZA KUHAMIA NCCRA MAGEUZI


Mbunge wa Jimbo la Rombo, Joseph Selasini, leo Aprili 28, 2020 ametangaza rasmi kukihama Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kujiunga na chama cha NCCR-Mageuzi baada ya kumalizika kwa vikao vya  Bunge.


Jana, Selasini alidai kutengwa na wabunge wenzake wa chama chake cha CHADEMA ikiwemo  kuondolewa bila kupewa taarifa kwenye 'Group la WhatsApp' la Wabunge wa chama hicho  ambalo pia yumo Mwenyekiti wa chama Freeman Mbowe

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS MAGUFULI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA JAMES MBATIA NCCRA MAGEUZI NA PROFESA IBRAHIM LIPUMBA CUF IKULU DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF Profesa Ibrahim Lipumba mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha NCCR Mageuzi James Mbatia Ikulu jijini Dar es SalaamRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo ya faragha na...

 

10 years ago

Dewji Blog

Breaking Newsss!!! Mtoto wa mwaka mmoja na nusu aanguka gorofa ya 5 flati za Mwenge Magorofani

DSC00528

Katika hali hisiyo ya kawaida, mtoto mmoja ambaye jina lake halijafahaamika ameanguka mchana wa leo kutoka juu ya jengo la gorofa, gorofa ya tano, huko maeneo ya kota za jeshi, Mwenge Magorofani..

Kwa mujibu wa mashuhuda walioshuhudia tukio hilo wameelea kuwa, mtoto huyo hadi sasa ameumia vibaya sehemu za kichwani na kutoka damu nyingi, ambapo awali alikimbizwa hospitali ya Lugalo na baadae amepelekwa Muhimbili.

 kwa taarifa zaidi zitaendelea kuwajia hivi punde.

0719076376.

 

9 years ago

Michuzi

BREAKING NYUZZZZZ.....: RAIS MAGUFULI AVUNJA BODI YA UONGOZI WA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI, ATEUA UONGOZI MPYA WA MUDA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli , leo mchana amefanya ziara ya kushtukiza katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili na kukutana na hali ya kumsikitisha.
“ Rais  amesikitishwa na kuhuzunishwa na hali ya huduma kwa wagonjwa hususan wanaolala chini. Pia amekasirishwa na hali ya kutokujali wala kushughulikia vifaa vya kufanyia kazi ambapo amekuta mashine muhimu za uchunguzi wa magonjwa kama vile MRI na CT-SCAN zikiwa hazifanyi kazi kwa muda wa miezi miwili...

 

11 years ago

Mwananchi

Mbatia, Ruhuza kuwania tena uongozi NCCR-Mageuzi

>Chama cha NCCR-Mageuzi kitafanya Uchaguzi Mkuu wake Januari 18 mwaka huu, huku Mwenyekiti wa chama hicho, James Mbatia na  Katibu Mkuu wake, Samwel Ruhuza wakijitosa.

 

10 years ago

Habarileo

Mbatia: NCCR-Mageuzi haitajiondoa Ukawa

Mwenyekiti wa NCCR - Mageuzi, James Mbatia.CHAMA cha NCCR - Mageuzi kimesema hakitajitoa katika kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kwa vile lengo lake si mgawanyo wa madaraka bali Katiba.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani